Kwanini nchi nyingi za Kiislamu huwa kwenye migogoro?

Kuna mshamba atakuja hapa na kukuambia kuwa Uislam nii dini ya haki, subiri tu.
 
Kuna watu wanapenda hiyo kitu kuliko waislamu? Mfano mzuri kwa nchi kama Tz nenda Zanzibar au Tanga
 
Ni kwa sababu hawamjui mfalme wa amani. Yesu ndie Mfalme wa Amani.
 
7bu ni utajiri walio nao wa mafuta.
 
Kwa sababu wana utajiri basi shobo za Wala nguruwe kutaka kuingilia...Bora kupigana kufa kuliko kuruhusu makafiri wakuingilie kweny siasa zako.
 

Kwa wenye MAARIFA wanajua kuwa, nchi za kiislam hazina migogoro mingi; 85% ya migogoro hupandikizwa na mabeberu kwa faida yao binafsi. Mabeberu yanajua kuwa Dola ya Kiislam ikiachwa ikawa na Nguvu sana baadae itakuwa ngumu sana kui control...
baadhi ya faida zinazofanya Nchi mabeberu wachochee vita kwenye Nchi za Kiislam na hata Nchi nyingine maskini ILA zenye Raslimali kama Congo na Msumbiji ni;

1 . Kuiba mafuta
2. Kuiba raslimali kama madini/gas nk (Congo/msumbiji nk)
2. Kuuza Silaha
3. Kudhoofisha Dola ya Kiislam
 
Angalia gaidi huyu wa israel anatumia passport feki baadae akishafanya ugaidi wake atajifanya muislamu
 

Attachments

  • Screenshot_20240331-191326_Facebook.jpg
    396.2 KB · Views: 1
Hiyo dini tatizo....
Hiyo dini ndo tatizo....mud mwenyewe kashapigana sana na watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…