Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Umekuwa msemaji wa Misri na wa Yemen ??
Upo mbali na taarifa za habari.
Waziri Mkuu wa Yemen katangaza kuwa nchi yake haitaki wakimbizi wa Kiislamu pamoja na Nchi rafiki Misri.
Kisa walisha mwua Kiongozi wa Kisiasa wa Yemen na kutaka kupindua Serikali ya Yemen.
Sikiliza vyombo vya habari.
 
So what is your target point ? unazunguuka we sema 2 waislamu ni magaidi fwala ww ..
 
Uislam wenyewe ni ugaidi tosha. Toka enzi za Mohammed ambaye ndiye muasisi wa ugaidi hadi leo hii mambo ni yale yale tu. Mohammed alikuwa gaidi wa kwanza wa dini duniani kwani alikuwa anaua watu na kubaka wake zao.
 
Upo mbali na taarifa za habari.
Waziri Mkuu wa Yemen katangaza kuwa nchi yake haitaki wakimbizi wa Kiislamu pamoja na Nchi rafiki Misri.
Kisa walisha mwua Kiongozi wa Kisiasa wa Yemen na kutaka kupindua Serikali ya Yemen.
Sikiliza vyombo vya habari.
Redio Che mittoga
 
Uislam wenyewe ni ugaidi tosha. Toka enzi za Mohammed ambaye ndiye muasisi wa ugaidi hadi leo hii mambo ni yale yale tu. Mohammed alikuwa gaidi wa kwanza wa dini duniani kwani alikuwa anaua watu na kubaka wake zao.

Mfalme wa Amani pia anahubiri mafarakano na ugomvi:

"Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; sikuja kuleta amani, bali upanga." - Mathayo 10:34.

Baada ya kuwaambia mashabiki wake wawapende adui zao,, Yesu pia anawaambia wazigeuze familia kuwa maadui!

"Kwa maana nalikuja kumfitinisha mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwewe. Na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake." - Mathayo 10:35,36.

"Mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na watoto wake, na ndugu zake waume na wake, naam, na hata nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mfuasi wangu." - Luka 14:26.

Anaenda mbali zaidi kwa kusema

“Na ndugu atamsaliti ndugu yake ili auawe, na baba atamsaliti mtoto; - Mathayo 10:21.

Akiwa amewatenganisha wafuasi wake na familia zao na upuuzi huu wa uuaji, Yesu anashauri vikundi vyake vinavyomwabudu juu ya jinsi ya kushughulika na viungo vyao vya mwili vinavyowapeleka katika dhambi - kukatwa viungo! Wanapaswa kujikatakata kwa kukata mikono na kung'oa macho.

Anasema ni afadhali "kulemazwa" kuliko kuteseka na "moto wa milele" wa kuzimu.

“Na mkono wako ukikukosesha, ukate; ukate; ni afadhali kwako kuingia katika uzima ukiwa umesimama, kuliko kuwa na miguu miwili na kutupwa katika jehanum ... Na jicho lako likikukosesha, ling'oe; ni afadhali kwako kuingia katika ufalme wa Mungu. kwa jicho moja, kuliko kuwa na macho mawili na kutupwa katika jehanum ya moto." - Marko 9:43,47.

Kulingana na Yesu, kumwangalia tu mwanamke "kwa tamaa" ilikuwa dhambi.

Karne ya 3 Origen alikuwa Mkristo mshupavu ambaye alichukua maneno ya Yesu kuwa kihalisi na kujihasi.
 
Waislam wanaamini ukipigana vita kwa ajili ya Allah basi unaenda mbinguni.

Ukristu unaamini kuwa Mungu anaweza pigana vita vyake mwenyewe
Kasome kitabu cha Clash of Civilizations cha Samuel Huntington utapata majibu
 
Mhhh mara watu hawataki tamaduni zenu mara makundi ni ya kwenu😁😁,sasa waislam mnasimama wapi??na makundi kukataa mila za kishenzi au peke yenu kupigania hakhi???

Kitu nimejifunza,waislam ni jamii rahisi sana kupakwa mavi maana ina watu wenye kushika moto kijinga jinga.
 
Wewe kafiri unataka utufundishe bible sisi!!!!
Bible inamuita kafiri mtu asiyemtambua Yesu,quran inamuita kafir mtu asiyemtambua Mungu,
Ukituliza akili hapo utagundua umeachwa kafiri na chungu ya 12 ukila jioni.
 
Hivi umesoma kweli shule? Umeelewa nilichoandika?

Kaangalie ugomvi kati ya NATO na USSR , tatizo lilikuwa ni nn ?

Tabia ya jamii inapimwa kwa matukio na mwenendo wa tabia za ovyo kama ubakaji, wizi , utapeli etc ..Hao ni liberals wanapambania haki zao kule Afghanistan mpaka wameaondoka ndio maana nchi imepoa, hakuna haja nyie makafir kupeleka tamaduni zenu kule.

Mpaka leo mnagombana na Russia kisa eti mnataka democracy yenu kila mtu afuate ....Ugomvi utaendelea mpaka siku ya mwisho .

Ukisoma Qur an ilishataja haya "Hawatokuwa radhi mayahud na manaswar ,mpaka mfuate mila zao"

Ina maana mnalazimisha na hapo vita haitoisha milele, lazima vibaraka wenu watoke na mifumo yenu ya kitapeli😅😅😅
 
Somalia, Syria, Yemen, Pakistan, Afghanistan, Nigeria, Libya, Iraq,
Kote huko waislamu wanauana wenyewe kwa wenyewe.
 
Hivi umesoma kweli shule? Umeelewa nilichoandika?

Kaangalie ugomvi kati ya NATO na USSR , tatizo lilikuwa ni nn ?
Maslahi ya kiutawala na ushawishi ulimwenguni.
Tabia ya jamii inapimwa kwa matukio na mwenendo wa tabia za ovyo kama ubakaji, wizi , utapeli etc ..Hao ni liberals wanapambania haki zao kule Afghanistan mpaka wameaondoka ndio maana nchi imepoa, hakuna haja nyie makafir kupeleka tamaduni zenu kule.
Kama issue ni uhuru wa kitamaduni kwanini Allah anahusishwa,yaani wewe unapigania haki za ushoga halafu ukiua anayekunyanyapaa unapaza sauti"Allah akbar"!!!
Mpaka leo mnagombana na Russia kisa eti mnataka democracy yenu kila mtu afuate ....Ugomvi utaendelea mpaka siku ya mwisho .
Embu katafiti mambo,demokdasia hata US au western haipo,UK tu hapo kuna malkia na mfalme.
Ugomvi baina yao wala sio huo,huo ni mwamvuli tu.
Ukisoma Qur an ilishataja haya "Hawatokuwa radhi mayahud na manaswar ,mpaka mfuate mila zao"
Mfuate mara ngapi sasa!!!nitajie nchi moja inayoendesha kwa kanuni za Quran ama kiislam.
Ina maana mnalazimisha na hapo vita haitoisha milele, lazima vibaraka wenu watoke na mifumo yenu ya kitapeli😅😅😅
Ujinga ni kuamini hapa duniani kuna haki.
Ndio sababu saudia haungani na wajinga wajinga sababu anajua hatakula huo ujinga wao.
 
😅😅😅Tofautisha liberal movements na tabia za hovyo ,ukitaka tabia za hovyo angalia miji hatari duniani ,yaani unauliwa au kuporwa bila ya sababu nenda tu hapo south.

Ukweli ni kwamba hata Tanzania katiba sera yake ya foreign policy wamekataaa kuingiliwa kweny mambo yao ya ndani, China na Russia wanaingia kweny mgogoro na hao jamaa kwa sababu wanalazimisha utamaduni wao wa democracy.

Tangu afe Gaddaf kaangalie nn kinaendelea pale Libya ,je ushawahi kuona majeshi ya nchi za Asia huko America au Europe ?
 
😅😅😅Tofautisha liberal movements na tabia za hovyo ,ukitaka tabia za hovyo angalia miji hatari duniani ,yaani unauliwa au kuporwa bila ya sababu nenda tu hapo south.
Sasa kuporwa hovyo na kuuliwa kwa jina la Allah ipi ni dalili ga kuchukiza???
Ukweli ni kwamba hata Tanzania katiba sera yake ya foreign policy wamekataaa kuingiliwa kweny mambo yao ya ndani, China na Russia wanaingia kweny mgogoro na hao jamaa kwa sababu wanalazimisha utamaduni wao wa democracy.
Narudia tena,kafanye utafiti.
Tangu afe Gaddaf kaangalie nn kinaendelea pale Libya ,je ushawahi kuona majeshi ya nchi za Asia huko America au Europe ?
Hayapo kwa sababu wao sio super power,ila kwa sasa yameanza kuingizwa nchi mbali mbali.
China ana base zake hata russia pia humu africa.
 
Mafuta..

NCHI NYINGI ZA ISLAM ZIMEBARIKIWA RASILIMALI YA MAFUTA.

KaziKwelikweli/JobTrueTrue
Sio kweli,
US, Mexico, Canada, Brazil, Venezuela, Ecuador Colombia, Argentina, Urusi, China na Australia zinazalisha mafuta kwa wingi tu.
 
Sasa kuporwa hovyo na kuuliwa kwa jina la Allah ipi ni dalili ga kuchukiza???

Narudia tena,kafanye utafiti.

Hayapo kwa sababu wao sio super power,ila kwa sasa yameanza kuingizwa nchi mbali mbali.
China ana base zake hata russia pia humu africa.
😅😅😅Kwani " Allah" maana yake ni nn? Tafute hata kamusi usome.

Kulikuwa na haja gani nyie makafiri mpeleke majeshi kweny nchi za watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…