Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Wewe jamaa ni mjinga sasa ngoja tukusaidie...

Mtaalamu mmoja wa mauaji alisema;
UKIUA MTU WEWE NI MUUAJI (ASSASSIN), UKIUA WATU WENGI WEWE NI GAIDI (TERRORIST), NA UKIUA KILA MTU WEWE NI MUNGU(GOD)

Kwa tafsiri ya huyo mhuni sasa hebu tusaidie Hitler aliua watu wengi sana enzi yake je yeye ni nani? Hivi kuna nchi wanatunguana kama Marekani, mpaka kila raia anamiliki bunduki kujilinda... Wale nao ni waislamu?

Vipi kuhusu Majeshi ya Marekani na Ulaya the so called NATO wanavyoua watu miaka na miaka kwenye nchi za wenzao, vipi majeshi ya UN na kulinda amani kwenye nchi za watu umewahi kujua namna wanavyoua watu humo?

Vipi machafuko ya kisiasa yanavyopelekea watu kufa makundi kwa makundi kwenye nchi mbalimbali zisizo na harufu hata ya huo uislamu?

Vipi Marekani alivyopiga watu bomu la nyuklia kule Japan... Oosh! Kumbe ile ni zamani, basi vipi Urusi na Ukraine kinachoendelea sasa hivi ni waislamu wamejazana kwenye hizo nchi?

Chukua muda wa kujielimisha usilishwe propaganda
 
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi.

Sisemi tu kwa sababu nasema bali nasema kwa sababu zipo nadharia nyingi zinazoonesha kuwa ni kweli maeneo hayo ukumbwa na matukio ya kigaidi ama Vita.

Hata Tanzania miaka kadhaa ya nyuma kulikuwa na tetesi za matukio ya kigaidi maeneo ya Kibiti na jirani na maeneo hayo ambayo kwa wingi ukaliwa na watu wa Dini ya uislamu kitendo kilichopelekea Jeshi la Tanzania kuwekeza nguvu huko Kibiti na kutokomeza ugaidi huo ambao ulikuwa umeanza kumea katika maeneo hayo ya pwani ya Tanzania. Hata kijana mmoja wa kitanzania mwenye mlengo wa Dini ya kiislamu aliwahi kukamatwa Kenya akitumikia kikundi cha kigaidi cha Al-Shabab.

Ukiachilia mbali hayo, Duniani ukitamka neno ugaidi alafu ukasema tutajie dini yenye kuhusishwa na ugaidi moja kwa moja hata mtoto atakutajia Uislamu. Na hii ni kwa sababu Watu wote wanaokamatwa katika matukio hayo basi ujinasibu kama wanapigania Dini ama maslahi yao ya kidini. Ukiachilia mbali kupigania Dini au Maslahi ya Kidini. Nchi hizo hizo au maeneo hayo hayo yamekuwa yakikumbwa na Mapinduzi ya kijeshi na watu hao wakitaka kusimika dola la kiislamu.

Alikadharika maeneo hayo uwa yanakumbwa na vurugu za kivita za mara kwa mara.

Hapa Afrika ukitoa Congo DRC tu ambayo haina waislamu wengi, nchi nyingi zilizobaki zenye vita za mara kwa mara maeneo hayo yenye vita ukaliwa na waislamu kwa idadi kubwa.

Ukanda wote wa Sahel, yani kusini mwa mpaka wa jangwa la Sahara, nchi kama Sudan, Niger, Mali, Burkinafaso, Chad na nyinginezo na nchi zinazokumbwa na vikundi vya kigaidi mara kwa mara. Na ni nchi zenye uislamu mwingi na kama unavyoona zinapakana na nchi za waarabu wa kiafrika ambazo kwa asilimia 90 raia wa nchi hizo ni waislamu.
View attachment 2943395
Nigeria pia ni miongoni mwa nchi inayokumbwa na matukio ya kigaidi sana hususani Maeneo ya kaskazini ya nchi hiyo ambayo ukaliwa na waislamu wengi. Nchini Nigeria wakristo wengi wanapatikana Kusini katika majiji kama Lagos, na Abuja, na waislamu wengi upatikana maeneo ya Kaskazini mwa nchi ambayo mara nyingi majimbo ya Maeneo hayo uongozwa kwa Sheria za kiislamu, pia nadhani juzi kati katika mfungo wa ramadhani watu wa maeneo hayo walikamatwa kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani na waliadhibiwa. Maeneo hayo hayo ndio kituo cha Kundi la Boko Haram na vikundi vingine vya namna hiyo.

Tukiama barani Afrika tukaamia bara la Asia ukanda ya Middle East (Mashariki ya Kati) ambapo ndiko uislamu umeanzia huko ndiko kuna vikundi vingi vya kigaidi, na karibia kila nchi ina vikundi vyake. Nadhani wengi mnavifahamu vikundi kama Hamas kilichoishambulia Israel na kuteka na kuua watu katika tamasha la mziki, na kupeleka vita ambayo imeigharimu ardhi ya Palestina ukanda wa Gaza. Vilevile haikupita miezi mingi kuna kikundi kutoka Yemen nacho kinaitwa Hauthi kikaanza kulipa mashambulizi kwa kupiga meli zinazopita ukanda wa bahari ya sham bila kujali kuwa anaepigwa ni raia wa nchi gani.

Ukiachilia mzozo huo wa Israel na maadui zake, hakuna asiyejua kundi la kigaidi lenye mlengo wa kiislamu lililotikisa Dunia kwa matukio ya kutisha kwa kuchinja, kupiga risasi au kujitoa Mhanga. Hii ya kujitoa mhanga ikapelekea Waislamu hasa waliojifunika mwili mzima kuogopwa sana kuhisi labda wamebeba mabomu ya kujitoa mhanga. Chini ya Osama Bin Laden, kundi hili liliisumbua Dunia hasa Marekani kwa kuipa Jeraha lisilosahaulika la Septemba 11.

Kwa kifupi huko Middle East (Mashariki ya Kati) kuna vikundi vingi sana vya kigaidi, vingine vinakuwaga vimelala tu, vinakuwa (Inactive) lakini viko tayari kwa mashambulizi. Na vikundi hivi ndivyo vinafanya Dola za kiislamu zinaendelea kusimama na sheria kali za kiislamu zifatwe, mfano moja wapo ni Kundi la Taliban kutokea pale Afghanistan ambalo baada ya kushika dola tu likaweka sheria kali za kiislamu ikiwemo wanafunzi kusoma madarasa kwa kuzingatia jinsia mpaka chuo kikuu yani mtoto wa kike na wakiume kila mtu darasa lake.

Kundi jingine la Kigaidi ni kundi la ISIS yani Islamic State. Kundi hili juzi kati limekiri kupiga Tukio pale Russia kwa kumimina Risasi katika Mall moja pale Moscow kwenye tamasha la mziki na kuua watu zaidi ya 150 na kuchoma jengo kwa vilipuzi. Lakini Rais wa Russia Vladimir Putin hajawaacha salama, kawadaka watu kadhaa ambao wanahusika na tukio hilo ambao wengi wao wanasema wamekodiwa kutokea nchi ya Uturuki ambayo ni yenye mlengo wa kiislamu.

Kwa ufupi makundi haya ni mengi sana na yana uhusiano wa moja kwa moja, kwa sababu mengi yanakuwa na link au uhusiano.

Kwani ndugu zetu waislamu mnapokuwa mnafundishwa Dini uwa mnapewa maelezo gani yanayowatia baadhi yenu mioyo ya kikatili, kutaka kumwaga Damu?
Ndipo kilipo "KITI CHA ENZI" cha Shetani.
 
Maana ya Ugaidi

"Ugaidi ni matumizi ya nguvu au vurugu ili kufanya mashambulizi au vitendo vya kigaidi kwa lengo la kuleta hofu, kuua watu, au kusababisha uharibifu wa mali ili kufikia malengo ya kisiasa, kidini, au kijamii."

Cartels ni makundi ya uhalifu yanayojihusisha na biashara haramu kama vile biashara ya madawa ya kulevya, silaha, au usafirishaji haramu wa binadamu. Ingawa wanaweza kutumia vurugu, lengo lao kuu ni faida ya kifedha badala ya malengo ya kisiasa au kidini yanayofuatiliwa na makundi ya kigaidi.

Tafsiri hiyo umeitoa wapi ??
 
Ndugu zangu waislam tususie na Tuacheni kutumia bidhaa za makafir mashia kama mo Energy. Tutumie Azam energy na bidhaa zake.

Haiwezekani Iran na mashia kuwatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Haiji kabisa akilini rafiki mkubwa wa karibu wa Mtume swahaba Abubakar Caliph atukanwe na mashia halafu tumekaa kimya.

Inauma na kuhuzunisha hawa makafir Iran na mashia wamdhalilishe na kumtukana mke wa kipenzi chetu bi Ayesha eti alikuwa kahaba na anaoga uchi mbele ya wanaume.

Wanatuletea maulid ya hovyo wanaqufr, kweli kuna maulid ya Ali na Fatima kweli? Maulid ni moja tu ya Mtume Muhammad SAW.

Ndo maana siku ya Aaashuurah wanajipiga kujidhuru na majambia usoni utosini na mgongoni siyo wanahuzuni bali ni laana na majitu kutoka kwa maswahaba.

Tusikae kimya ndugu zangu waislam tuutetee uislam hata kwa nafs. Tukicheza tutakosa Janah na firdaus siku ya qyamah.

adriz Mrs Besyige Jagina
Nishakupuuza ,sitokujibu na sijibu ukinitag kwenye upuuzi kama huu .

Nina kawaida ya kuwaepuka wajinga nakupa taarifa usije kujistukia unapuuzwa bila kujua sababu.

#Nimemaliza
 
Hujajibu swali

Hiyo ni lugha ya Biblia

Hapana,

Allah swt hajinasibishi kwa upande wowote wa Ubaba au Uzazi kwake, kinyume chake kabisa.

Allah swt anasema hazai wala hakuzaliwa na hakuna yeyote na hakuna anayefanana naye.

Kwa kuwa hazai , na hakuwa zao la uzazi hana jinsia yoyote kwa jinsi tunavyoifikiria.

Anakataa waziwazi dhana ya ubaba jinsi inavyoweza kumhusu.

Allah swt anatuambia kwamba uumbaji wa Yesu ulikuwa kama uumbaji wa Adam, jambo rahisi.

Anasema kwa kitu KIWE nacho huwa.
 
Nishakupuuza ,sitokujibu na sijibu ukinitag kwenye upuuzi kama huu .

Nina kawaida ya kuwaepuka wajinga nakupa taarifa usije kujistukia unapuuzwa bila kujua sababu.

#Nimemaliza
Oh my God Adriz mtu wangu wa nguvu dont facken get angry. Jibu hoja wewe utakosa janah na firdaus kizembe.

Jitafakari.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Hiyo ni lugha ya Biblia

Hapana,

Allah swt hajinasibishi kwa upande wowote wa Ubaba au Uzazi kwake, kinyume chake kabisa.

Allah swt anasema hazai wala hakuzaliwa na hakuna yeyote na hakuna anayefanana naye.

Kwa kuwa hazai tena na hakuwa zao la uzazi hana jinsia yoyote kwa jinsi tunavyoifikiria.

Anakataa waziwazi dhana ya ubaba jinsi inavyoweza kumhusu.

Allah swt anatuambia kwamba uumbaji wa Yesu ulikuwa kama uumbaji wa Adam, jambo rahisi.

Anasema kwa kitu KIWE nacho huwa.
Hiloo. Allah alikuwa na mabinti watatu. Akiabudiwa na kina mudi wakia uchi wakiizunguka kaaba.

Hongera jitu jeus ukifa kwenye uislamu utabadilika kuwa mwarabu.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Hiloo. Allah alikuwa na mabinti watatu. Akiabudiwa na kina mudi wakia uchi wakiizunguka kaaba.

Hongera jitu jeus ukifa kwenye uislamu utabadilika kuwa mwarabu.

Hayo ni maongozi ya Roho mtakatifu wako , mimi sikuingilii mwache akuongoze huko
 
Hiloo. Allah alikuwa na mabinti watatu. Akiabudiwa na kina mudi wakia uchi wakiizunguka kaaba.

Hongera jitu jeus ukifa kwenye uislamu utabadilika kuwa mwarabu.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi.

Sisemi tu kwa sababu nasema bali nasema kwa sababu zipo nadharia nyingi zinazoonesha kuwa ni kweli maeneo hayo ukumbwa na matukio ya kigaidi ama Vita.

Hata Tanzania miaka kadhaa ya nyuma kulikuwa na tetesi za matukio ya kigaidi maeneo ya Kibiti na jirani na maeneo hayo ambayo kwa wingi ukaliwa na watu wa Dini ya uislamu kitendo kilichopelekea Jeshi la Tanzania kuwekeza nguvu huko Kibiti na kutokomeza ugaidi huo ambao ulikuwa umeanza kumea katika maeneo hayo ya pwani ya Tanzania. Hata kijana mmoja wa kitanzania mwenye mlengo wa Dini ya kiislamu aliwahi kukamatwa Kenya akitumikia kikundi cha kigaidi cha Al-Shabab.

Ukiachilia mbali hayo, Duniani ukitamka neno ugaidi alafu ukasema tutajie dini yenye kuhusishwa na ugaidi moja kwa moja hata mtoto atakutajia Uislamu. Na hii ni kwa sababu Watu wote wanaokamatwa katika matukio hayo basi ujinasibu kama wanapigania Dini ama maslahi yao ya kidini. Ukiachilia mbali kupigania Dini au Maslahi ya Kidini. Nchi hizo hizo au maeneo hayo hayo yamekuwa yakikumbwa na Mapinduzi ya kijeshi na watu hao wakitaka kusimika dola la kiislamu.

Alikadharika maeneo hayo uwa yanakumbwa na vurugu za kivita za mara kwa mara.

Hapa Afrika ukitoa Congo DRC tu ambayo haina waislamu wengi, nchi nyingi zilizobaki zenye vita za mara kwa mara maeneo hayo yenye vita ukaliwa na waislamu kwa idadi kubwa.

Ukanda wote wa Sahel, yani kusini mwa mpaka wa jangwa la Sahara, nchi kama Sudan, Niger, Mali, Burkinafaso, Chad na nyinginezo na nchi zinazokumbwa na vikundi vya kigaidi mara kwa mara. Na ni nchi zenye uislamu mwingi na kama unavyoona zinapakana na nchi za waarabu wa kiafrika ambazo kwa asilimia 90 raia wa nchi hizo ni waislamu.
View attachment 2943395
Nigeria pia ni miongoni mwa nchi inayokumbwa na matukio ya kigaidi sana hususani Maeneo ya kaskazini ya nchi hiyo ambayo ukaliwa na waislamu wengi. Nchini Nigeria wakristo wengi wanapatikana Kusini katika majiji kama Lagos, na Abuja, na waislamu wengi upatikana maeneo ya Kaskazini mwa nchi ambayo mara nyingi majimbo ya Maeneo hayo uongozwa kwa Sheria za kiislamu, pia nadhani juzi kati katika mfungo wa ramadhani watu wa maeneo hayo walikamatwa kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani na waliadhibiwa. Maeneo hayo hayo ndio kituo cha Kundi la Boko Haram na vikundi vingine vya namna hiyo.

Tukiama barani Afrika tukaamia bara la Asia ukanda ya Middle East (Mashariki ya Kati) ambapo ndiko uislamu umeanzia huko ndiko kuna vikundi vingi vya kigaidi, na karibia kila nchi ina vikundi vyake. Nadhani wengi mnavifahamu vikundi kama Hamas kilichoishambulia Israel na kuteka na kuua watu katika tamasha la mziki, na kupeleka vita ambayo imeigharimu ardhi ya Palestina ukanda wa Gaza. Vilevile haikupita miezi mingi kuna kikundi kutoka Yemen nacho kinaitwa Hauthi kikaanza kulipa mashambulizi kwa kupiga meli zinazopita ukanda wa bahari ya sham bila kujali kuwa anaepigwa ni raia wa nchi gani.

Ukiachilia mzozo huo wa Israel na maadui zake, hakuna asiyejua kundi la kigaidi lenye mlengo wa kiislamu lililotikisa Dunia kwa matukio ya kutisha kwa kuchinja, kupiga risasi au kujitoa Mhanga. Hii ya kujitoa mhanga ikapelekea Waislamu hasa waliojifunika mwili mzima kuogopwa sana kuhisi labda wamebeba mabomu ya kujitoa mhanga. Chini ya Osama Bin Laden, kundi hili liliisumbua Dunia hasa Marekani kwa kuipa Jeraha lisilosahaulika la Septemba 11.

Kwa kifupi huko Middle East (Mashariki ya Kati) kuna vikundi vingi sana vya kigaidi, vingine vinakuwaga vimelala tu, vinakuwa (Inactive) lakini viko tayari kwa mashambulizi. Na vikundi hivi ndivyo vinafanya Dola za kiislamu zinaendelea kusimama na sheria kali za kiislamu zifatwe, mfano moja wapo ni Kundi la Taliban kutokea pale Afghanistan ambalo baada ya kushika dola tu likaweka sheria kali za kiislamu ikiwemo wanafunzi kusoma madarasa kwa kuzingatia jinsia mpaka chuo kikuu yani mtoto wa kike na wakiume kila mtu darasa lake.

Kundi jingine la Kigaidi ni kundi la ISIS yani Islamic State. Kundi hili juzi kati limekiri kupiga Tukio pale Russia kwa kumimina Risasi katika Mall moja pale Moscow kwenye tamasha la mziki na kuua watu zaidi ya 150 na kuchoma jengo kwa vilipuzi. Lakini Rais wa Russia Vladimir Putin hajawaacha salama, kawadaka watu kadhaa ambao wanahusika na tukio hilo ambao wengi wao wanasema wamekodiwa kutokea nchi ya Uturuki ambayo ni yenye mlengo wa kiislamu.

Kwa ufupi makundi haya ni mengi sana na yana uhusiano wa moja kwa moja, kwa sababu mengi yanakuwa na link au uhusiano.

Kwani ndugu zetu waislamu mnapokuwa mnafundishwa Dini uwa mnapewa maelezo gani yanayowatia baadhi yenu mioyo ya kikatili, kutaka kumwaga Damu?
Nchi za Chad, niger, mali,Mauritania, chanzo sio dini, ni ubeberu wa mkoloni ufaransa, sasa wananchi wameamua kuchukua nchi zao, kuhusu vikundi vya kigaidi, ni kwasbabu ya tawala mbovu za kifisadi,
Kwa, nchi kama nigeria, inawezekana vipi kikundi kidogo kama Boko Haram, kipo kwenye eneo Dogo kama chalinze, lakini, jeshi, la, nchi nzima linashindwa kukimaliza?
Wanapata siraha wapi? Kuna mkono wa mabeberu wanawapa siraha, na, kuna viongozi, ndani ya, ningeria wananufaika na bokoharam
 
jibadilishe id uendelee kutukana maana hoja huna
Mbona una weweseka kila mtu unadai kabadili id?
images (14).jpeg
 
Oh my God Adriz mtu wangu wa nguvu dont facken get angry. Jibu hoja wewe utakosa janah na firdaus kizembe.

Jitafakari.
Wewe ndio menitafsiri kama nina hasira ,ila Mimi siwezi kuwa na hasira na jambo ambalo sina control nalo kama vile ujinga na ubishi wa mtu. Nitakuwa mpuuzi niruhusu mtu aniWin kisakolojia ignorantly toka utotoni mtu hata anitukane vipi na anitanie kiasi gani mimi kwangu shega zaidi nitampuuza tu.

Kanuni ya kujiupusha na majadiliano yasiyo na mshindi wala kufuata misingi sahihi ya kujadiliana ndio kawaida yangu na wala sio sababu ya hasira kozi ukijiingiza kwenye majadiliano ya kipuuzi ninaweza kugeuka mpuuzi bila kujijua.
 
Waislam wanaamini ukipigana vita kwa ajili ya Allah basi unaenda mbinguni.

Ukristu unaamini kuwa Mungu anaweza pigana vita vyake mwenyewe
wadanganye vipofu wenzio

Luka 19:27 - BIBLIA KISWAHILI​

Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa muwachinje mbele yangu.
 
Ni rahisi sana kumtawala mtu mweusi nani aliyoanzisha neno gaidi au terrosrism na akatunga hadi na sheria zake na kutaka nchi zote duniani zitumie sheria hiyo?
Unajua kwamba mandela nae aliitwa gaidi na hao hao waliokufundisha hilo neno?
Kwa akili yako wale wazungu au marekani kwa nini anaweka base kwenye nchi za kiarabu kama hana maslahi mapana na kuamua nani awe raisi na nani asiwe raisi ?

Marekani na israel wanatafuta nini syria hadi leo?
Kulikuwa na sababu gani ya westerners kutaka kumtoa gadafi madarakani na kumuua ?
Kulikuwa na sababu gani za marekani na washirika wao kumtoa na kumuua saddam hussein ?
Tatizo la africa ni elimu bado tunakaririshwa hatuwezi kufikiri
Jana lile tukio la russia, skynews wakasema ni isis kwenye comments wazungu wote wakakataa wakasema isis of cia, ila mswahili wa mbagala ukishasmbiwa tu na cnn ni isis tayari unaanza kuja kubwabwaja humu bila ya hata kufikiria
Una akili saana we jamaa
 
Wengi wanasingizia marekani ndo kaanzisha hivyo vikundi wakati huo huo wanakataa na kupinga vikali kuwa vatican ilianzisha dini ya uislam
 
Back
Top Bottom