Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Hii👆 ni Fact🙏🏼
Si fact , Wakristo ndio wa kwanza . Africa ilikuwa na waislamu ukiwachilia mbali Ethiopia na egypt na hao waislamu ndio walifanywa watumwa , angalia documentary ya Kinta kunte au the roots
 
angalia documentary ya Kinta
Kisa cha Kunta Kinte kilitokea kati ya 1750-1800 cha Mtumwa wa Kigambia.

Waarabu wameanza Biashara ya Utumwa Karne ya Saba.

Inaelekea hujui au ni Mbishi tu au vyote kwa pamoja.

Hata kwenye Kuruani na Hadithi za Kiislamu zimeelezea Watumwa wa Kiafrika Mtume Muhammad pia aliwahi kufuga Watumwa.
 
Kisa cha Kunta Kinte kilitokea kati ya 1750-1800 cha Mtumwa wa Kigambia.

Waarabu wameanza Biashara ya Utumwa Karne ya Saba.

Inaelekea hujui au ni Mbishi tu au vyote kwa pamoja.

Hata kwenye Kuruani na Hadithi za Kiislamu zimeelezea Watumwa wa Kiafrika Mtume Muhammad pia aliwahi kufuga Watumwa.


Katika ukristo ndio uliopigia debe utumwa kabla ya hata yesu hajazaliwa au huijui biblia yako.

Hakuna maandishi yoyote ndani ya Qur'an au Sunnah yanayoamuru kuwachukua wengine kama watumwa,
Enyi watumwa, watiini mabwana zenu wa kidunia kwa heshima na hofu kuu. Watumikie kwa uaminifu kama vile ungemtumikia Kristo. (Waefeso 6:5 NLT)

Wakristo ambao ni watumwa wanapaswa kuwaheshimu mabwana zao kikamili ili jina la Mungu na mafundisho yake yasiaibishwe. Ikiwa bwana wako ni Mkristo, hiyo si kisingizio cha kukosa heshima. Unapaswa kufanya bidii zaidi kwa sababu unamsaidia mwamini mwingine kwa juhudi zako. Fundisha kweli hizi, Timotheo, na utie moyo kila mtu kuzitii. ( 1 Timotheo 6:1-2 NLT )

Katika mfano unaofuata, Yesu alikubali waziwazi kuwapiga watumwa hata kama hawakujua wanafanya jambo lolote baya.

Mtumishi huyo ataadhibiwa vikali, kwani ingawa alijua wajibu wake, alikataa kuufanya. “Lakini watu ambao hawajui kwamba wanafanya vibaya wataadhibiwa kirahisi tu. Mengi hutakiwa kutoka kwa wale ambao wamepewa vingi, na zaidi zaidi hutakiwa kutoka kwa wale ambao wamepewa mengi zaidi.” ( Luka 12:47-48 NLT )
 
Kisa cha Kunta Kinte kilitokea kati ya 1750-1800 cha Mtumwa wa Kigambia.

Waarabu wameanza Biashara ya Utumwa Karne ya Saba.

Inaelekea hujui au ni Mbishi tu au vyote kwa pamoja.

Hata kwenye Kuruani na Hadithi za Kiislamu zimeelezea Watumwa wa Kiafrika Mtume Muhammad pia aliwahi kufuga Watumwa.


Nakuwekea hii link usome kanisa lilianza lini hiyo biashara ya utumwa

Catholic Church and slavery - Wikipedia
 
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi.

Sisemi tu kwa sababu nasema bali nasema kwa sababu zipo nadharia nyingi zinazoonesha kuwa ni kweli maeneo hayo ukumbwa na matukio ya kigaidi ama Vita.

Hata Tanzania miaka kadhaa ya nyuma kulikuwa na tetesi za matukio ya kigaidi maeneo ya Kibiti na jirani na maeneo hayo ambayo kwa wingi ukaliwa na watu wa Dini ya uislamu kitendo kilichopelekea Jeshi la Tanzania kuwekeza nguvu huko Kibiti na kutokomeza ugaidi huo ambao ulikuwa umeanza kumea katika maeneo hayo ya pwani ya Tanzania. Hata kijana mmoja wa kitanzania mwenye mlengo wa Dini ya kiislamu aliwahi kukamatwa Kenya akitumikia kikundi cha kigaidi cha Al-Shabab.

Ukiachilia mbali hayo, Duniani ukitamka neno ugaidi alafu ukasema tutajie dini yenye kuhusishwa na ugaidi moja kwa moja hata mtoto atakutajia Uislamu. Na hii ni kwa sababu Watu wote wanaokamatwa katika matukio hayo basi ujinasibu kama wanapigania Dini ama maslahi yao ya kidini. Ukiachilia mbali kupigania Dini au Maslahi ya Kidini. Nchi hizo hizo au maeneo hayo hayo yamekuwa yakikumbwa na Mapinduzi ya kijeshi na watu hao wakitaka kusimika dola la kiislamu.

Alikadharika maeneo hayo uwa yanakumbwa na vurugu za kivita za mara kwa mara.

Hapa Afrika ukitoa Congo DRC tu ambayo haina waislamu wengi, nchi nyingi zilizobaki zenye vita za mara kwa mara maeneo hayo yenye vita ukaliwa na waislamu kwa idadi kubwa.

Ukanda wote wa Sahel, yani kusini mwa mpaka wa jangwa la Sahara, nchi kama Sudan, Niger, Mali, Burkinafaso, Chad na nyinginezo na nchi zinazokumbwa na vikundi vya kigaidi mara kwa mara. Na ni nchi zenye uislamu mwingi na kama unavyoona zinapakana na nchi za waarabu wa kiafrika ambazo kwa asilimia 90 raia wa nchi hizo ni waislamu.
View attachment 2943395
Nigeria pia ni miongoni mwa nchi inayokumbwa na matukio ya kigaidi sana hususani Maeneo ya kaskazini ya nchi hiyo ambayo ukaliwa na waislamu wengi. Nchini Nigeria wakristo wengi wanapatikana Kusini katika majiji kama Lagos, na Abuja, na waislamu wengi upatikana maeneo ya Kaskazini mwa nchi ambayo mara nyingi majimbo ya Maeneo hayo uongozwa kwa Sheria za kiislamu, pia nadhani juzi kati katika mfungo wa ramadhani watu wa maeneo hayo walikamatwa kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani na waliadhibiwa. Maeneo hayo hayo ndio kituo cha Kundi la Boko Haram na vikundi vingine vya namna hiyo.

Tukiama barani Afrika tukaamia bara la Asia ukanda ya Middle East (Mashariki ya Kati) ambapo ndiko uislamu umeanzia huko ndiko kuna vikundi vingi vya kigaidi, na karibia kila nchi ina vikundi vyake. Nadhani wengi mnavifahamu vikundi kama Hamas kilichoishambulia Israel na kuteka na kuua watu katika tamasha la mziki, na kupeleka vita ambayo imeigharimu ardhi ya Palestina ukanda wa Gaza. Vilevile haikupita miezi mingi kuna kikundi kutoka Yemen nacho kinaitwa Hauthi kikaanza kulipa mashambulizi kwa kupiga meli zinazopita ukanda wa bahari ya sham bila kujali kuwa anaepigwa ni raia wa nchi gani.

Ukiachilia mzozo huo wa Israel na maadui zake, hakuna asiyejua kundi la kigaidi lenye mlengo wa kiislamu lililotikisa Dunia kwa matukio ya kutisha kwa kuchinja, kupiga risasi au kujitoa Mhanga. Hii ya kujitoa mhanga ikapelekea Waislamu hasa waliojifunika mwili mzima kuogopwa sana kuhisi labda wamebeba mabomu ya kujitoa mhanga. Chini ya Osama Bin Laden, kundi hili liliisumbua Dunia hasa Marekani kwa kuipa Jeraha lisilosahaulika la Septemba 11.

Kwa kifupi huko Middle East (Mashariki ya Kati) kuna vikundi vingi sana vya kigaidi, vingine vinakuwaga vimelala tu, vinakuwa (Inactive) lakini viko tayari kwa mashambulizi. Na vikundi hivi ndivyo vinafanya Dola za kiislamu zinaendelea kusimama na sheria kali za kiislamu zifatwe, mfano moja wapo ni Kundi la Taliban kutokea pale Afghanistan ambalo baada ya kushika dola tu likaweka sheria kali za kiislamu ikiwemo wanafunzi kusoma madarasa kwa kuzingatia jinsia mpaka chuo kikuu yani mtoto wa kike na wakiume kila mtu darasa lake.

Kundi jingine la Kigaidi ni kundi la ISIS yani Islamic State. Kundi hili juzi kati limekiri kupiga Tukio pale Russia kwa kumimina Risasi katika Mall moja pale Moscow kwenye tamasha la mziki na kuua watu zaidi ya 150 na kuchoma jengo kwa vilipuzi. Lakini Rais wa Russia Vladimir Putin hajawaacha salama, kawadaka watu kadhaa ambao wanahusika na tukio hilo ambao wengi wao wanasema wamekodiwa kutokea nchi ya Uturuki ambayo ni yenye mlengo wa kiislamu.

Kwa ufupi makundi haya ni mengi sana na yana uhusiano wa moja kwa moja, kwa sababu mengi yanakuwa na link au uhusiano.

Kwani ndugu zetu waislamu mnapokuwa mnafundishwa Dini uwa mnapewa maelezo gani yanayowatia baadhi yenu mioyo ya kikatili, kutaka kumwaga Damu?


Kwa Africa kwa mawazo yangu sababu kubwa ni uhalisia wa mila za Kiafrica na mila za kuiga za kislam.

Ukienda nchi nyingi za waislam kula ufalme ambao uongozi wa juu ni wa familia. Mila za Africa haziendani na mfumo wa familia moja kutawala kifalme jamii tofauti. Demokrasia ndiyo system nzuri kwa Africa kwasababu kuna makabila mengi na wafalme wengi. Sasa ukiangalia vizuri nchi zenye matatizo ni zile ambazo viongozi wao wanataka kuiga waarabu na kujipa ufalme au udikteta. Udikteta hauendani na utamaduni wetu. Nchi karibu zote zenye matatizo haya hazina demokrasia. Hata Tanzania ingekuwa 90% waislam tungekuwa kama Somalia au Sudan. Ukiangalia nchi zenye demokrasia zaidi Africa ni za kusini Malawi, Zambia.... wenine kama Zimbabwe walitaka kuweka udikteta wameishia pabaya. Mapinduzi ukiona yanatokana na uongozi wa kidikteta na kungangania
 
Nchi hizo nyingi hawana elimu na hawajitambui na hawajui dunia inatoka wapi inaenda wapi...
Mfano mzuri angalia mikoa ya pwani ya Tz...
 
Katika ukristo ndio uliopigia debe utumwa kabla ya hata yesu hajazaliwa au huijui biblia yako.
Utumwa ulikuwepo Mashariki ya Kati Watu walichukuana Utumwa localy lakini hapa tunaongelea African Slaves.

Kwamfano kisa cha Bilal Ibn Rabah kilifanyika katika Karne ya Saba.
 
Kwa Africa kwa mawazo yangu sababu kubwa ni uhalisia wa mila za Kiafrica na mila za kuiga za kislam.

Ukienda nchi nyingi za waislam kula ufalme ambao uongozi wa juu ni wa familia. Mila za Africa haziendani na mfumo wa familia moja kutawala kifalme jamii tofauti. Demokrasia ndiyo system nzuri kwa Africa kwasababu kuna makabila mengi na wafalme wengi. Sasa ukiangalia vizuri nchi zenye matatizo ni zile ambazo viongozi wao wanataka kuiga waarabu na kujipa ufalme au udikteta. Udikteta hauendani na utamaduni wetu. Nchi karibu zote zenye matatizo haya hazina demokrasia. Hata Tanzania ingekuwa 90% waislam tungekuwa kama Somalia au Sudan. Ukiangalia nchi zenye demokrasia zaidi Africa ni za kusini Malawi, Zambia.... wenine kama Zimbabwe walitaka kuweka udikteta wameishia pabaya. Mapinduzi ukiona yanatokana na uongozi wa kidikteta na kungangania
 
Utumwa ulikuwepo Mashariki ya Kati Watu walichukuana Utumwa localy lakini hapa tunaongelea African Slaves.

Kwamfano kisa cha Bilal Ibn Rabah kilifanyika katika Karne ya Saba.


Nimekuwekea link ya wikipedia lakini inaelekea hata hujaifungua kwani imeeleza vizuri na wewe bado una chukli zako na waarabu huoni husikii . Yaani hata yale aliyoyafanya Pharaoh yalifanyika labda Marekani

Nakuwekea hayo yaliyomo kwenye link ,


The Catholic Church and slavery have a long and complicated history.

Slavery was practiced and accepted by many cultures and religions around the world throughout history, including in ancient Rome.

Passages in the Old Testament sanctioned forms of temporal slavery for Israelites as a means to repay a debt.

Slaves, captured in war or purchased, and their children were enslaved for life.[1]

After Christianity was legalized under the Roman empire, sentiment grew that many kinds of slavery were incompatible with Christian justice.

Views ranged from rejecting all forms of slavery to accepting slavery subject to certain restrictions (Thomas Aquinas).

The Christian West almost entirely enforced that a free Christian could not be enslaved, for example as a captive in war.

However, this was not consistently applied throughout history. The Middle Ages witnessed the emergence of orders of monks such as the Mercedarians who focused on ransoming Christian slaves.

By the end of the Medieval period, enslavement of Christians had been largely abolished throughout Europe, although enslavement of non-Christians remained permissible and was revived in Spain and Portugal.

Slavery remained a subject of debate within the Church for centuries, with several Popes issuing bulls on the issue, such as Sublimis Deus.
 
Nchi hizo nyingi hawana elimu na hawajitambui na hawajui dunia inatoka wapi inaenda wapi...
Mfano mzuri angalia mikoa ya pwani ya Tz...

Mikoa ya pwani leo mnaiona si mikoa baada ya kukimbia huko mnakokuona kuzuri , mabara mkajileta huku , na bado , huku Zanzibar mumejazana hata mahali pa kulala hamna mnalala kwenye mapaa ya nyumba za Michenzani kwa mamia ??
 
Watumwa kutoka SubSahara Africa yaani Mababu zetu.

Kama ilivyokuwa Afrika ya Magharibi, biashara ya watumwa katika Afrika ya Mashariki ilikuwa mashuhuri na ilianzishwa kikamilifu na kutokana na maendeleo na jitihada za nchi za Kikristo za Ulaya. Bwana E. A. Alpers anaandika kwenye kitabu “African Slave-Trade (Biashara ya Utumwa ya Afrika):


Ushahidi zaidi kwamba biashara ya watumwa kwa vyovyote vile ilikuwa mashuhuri katika Afrika ya Mashariki kabla ya karne ya kumi na nane, imeletwa na Wareno.

Hakika Wareno, wakiwa ndiyo waasisi (waanzilishi) wa Atlantic Slave-Trade, wangejaribu kuendeleza biashara ya watumwa katika Afrika ya Mashariki kama wangeikuta tayari ipo na imekwisha shamiri.

Lakini maandiko ya mwanzo ya Wareno yanataja tu biashara ya watumwa kwa kupitia tu.

Lililokuwa muhimu zaidi ni wale wafanyabiashara za dhahabu na pembe za ndovu walizipeleka Arabuni na India. Wavamizi wa Kireno walielekeza juhudi zao kwenye bidhaa hizo wakati wa karne ya kumi na sita na kumi na saba, sio tu kwenye pwani ya Kenya na Tanzania, bali pia katika Msumbiji na Zimbabwe.

Hata nta na ambari zinaonyesha zilikuwa bidhaa muhimu zaidi kuzidi watumwa wakati mrefu sana wa kipindi hiki. Kwani tofauti na wakoloni katika nchi ya Amerika, Wareno kamwe hawakuanzisha uchumi wowote wa kilimo huko India.

Biashara ya watumwa ya Wareno kutoka Msumbiji kwenda India kwa nadra sana ili- fika idadi ya watu elfu moja katika kipindi cha mwaka mmoja wowote ule, na kwa kawaida ilikuwa chini ya nusu ya idadi hiyo.

Huko Brazil ilikuwa haramu kufanya biashara ya watumwa hadi mwaka 1645, na kamwe haikulitiliwa maanani hadi mwanzoni mwa karne ya kumi na tisa. Hadi mwaka wa 1753, wakati misingi ya biashara mpya ya watumwa ilikuwa inawekwa Afrika ya Mashariki, palikuwepo na jumla ya watumwa 4399 tu wa Kiafrika katika India yote ya Wareno.


“Misingi hii ni ipi? Licha ya mahusiano ya muda mrefu baina ya Waarabu na Afrika ya Mashariki, biashara ya watumwa haikutiliwa matumaini na Wafaransa. Kwa mujibu wa tarakimu rasimi, zaidi ya watumwa 1,000 walikuwa wanasafirishwa kila mwaka. Wafaransa, wakifanya magendo kwa ajili ya kukwepa kodi ambazo zilitozwa Msumbiji, labda waliongeza idadi na kufika angalau 1,500.

Inawezekana ni idadi ile ile ilichukuliwa kutoka Ibo wakati wa muongo huu.

Kwa hiyo Wareno kule Msumbiji na Ibo (na baadaye Quelimane, karibu na mdomo wa mto Zambezi unapoingilia baharini) walijishughulisha na sera ya biashara ya watumwa na hawakurudi nyuma, wakaendelea nayo hadi kukomeshwa kwake.


Biashara ya watumwa ilizidi kupamba moto mnamo miaka ya themanini, hasa zaidi baada ya kumalizika vita ya uhuru wa nchi ya Amerika.
 
Kama ilivyokuwa Afrika ya Magharibi, biashara ya watumwa katika Afrika ya Mashariki ilikuwa mashuhuri na ilianzishwa kikamilifu na kutokana na maendeleo na jitihada za nchi za Kikristo za Ulaya. Bwana E. A. Alpers anaandika kwenye kitabu “African Slave-Trade (Biashara ya Utumwa ya Afrika)
Huu ni uzushi, hebu Quote hiyo sehemu au weka link ya hicho Kitabu.

Na unaficha nini kwenye neno Mashuhuri?
 
Ushahidi zaidi kwamba biashara ya watumwa kwa vyovyote vile ilikuwa mashuhuri katika Afrika ya Mashariki kabla ya karne ya kumi na nane, imeletwa na Wareno.
Huu ni uongo, naomba ushahidi kwenye hili
 
Huu ni uzushi, hebu Quote hiyo sehemu au weka link ya hicho Kitabu.

Na unaficha nini kwenye neno Mashuhuri?


Uzushi ni uonavyo wewe , Kilwa kulikuwa na waislamu na mji Mkubwa wa kibiashara hata kabla kuja hao wakristo wareno , wewe kama una ushahidi kuwa kulikuwa na watumwa tuwekee hapa

The East African Slave Trade Edward A. Alpers


Chapter

The East African Slave Trade Edward A. Alpers​

BookAn Economic History of Tropical Africa
Edition 1st Edition
First Published 1977
Imprint Routledge

Pages 10
eBook ISBN 9780203043035



ABSTRACT​


The East African slave trade has attracted much less attention from both professional historians and popular writers than has its West African counterpart. The reasons for this are not difficult to find. Most of the people who have written about the slave trade have been European, or American, or Afro-American, people whose relevant historical traditions link them intimately and overwhelmingly with West Africa. West Africa was the great reservoir for the Atlantic slave trade; East Africa entered that story only as a single, final chapter. Where the Atlantic Ocean provided the world setting for the West African slave trade, the Indian Ocean was the stage for the East African slave trade. Consequently, relatively few Western writers have been concerned with the latter, as it only marginally forms part of their heritage. Even more regrettable is the fact that the major work which has been done to date on the East African slave trade is not at all satisfactory .
 
Waislam wanaamini ukipigana vita kwa ajili ya Allah basi unaenda mbinguni.

Ukristu unaamini kuwa Mungu anaweza pigana vita vyake mwenyewe
Mungu ni muweza ya yote, naamini anaweza hata kukuepusha na kifo.
 
Back
Top Bottom