Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi.

Sisemi tu kwa sababu nasema bali nasema kwa sababu zipo nadharia nyingi zinazoonesha kuwa ni kweli maeneo hayo ukumbwa na matukio ya kigaidi ama Vita.

Hata Tanzania miaka kadhaa ya nyuma kulikuwa na tetesi za matukio ya kigaidi maeneo ya Kibiti na jirani na maeneo hayo ambayo kwa wingi ukaliwa na watu wa Dini ya uislamu kitendo kilichopelekea Jeshi la Tanzania kuwekeza nguvu huko Kibiti na kutokomeza ugaidi huo ambao ulikuwa umeanza kumea katika maeneo hayo ya pwani ya Tanzania. Hata kijana mmoja wa kitanzania mwenye mlengo wa Dini ya kiislamu aliwahi kukamatwa Kenya akitumikia kikundi cha kigaidi cha Al-Shabab.

Ukiachilia mbali hayo, Duniani ukitamka neno ugaidi alafu ukasema tutajie dini yenye kuhusishwa na ugaidi moja kwa moja hata mtoto atakutajia Uislamu. Na hii ni kwa sababu Watu wote wanaokamatwa katika matukio hayo basi ujinasibu kama wanapigania Dini ama maslahi yao ya kidini. Ukiachilia mbali kupigania Dini au Maslahi ya Kidini. Nchi hizo hizo au maeneo hayo hayo yamekuwa yakikumbwa na Mapinduzi ya kijeshi na watu hao wakitaka kusimika dola la kiislamu.

Alikadharika maeneo hayo uwa yanakumbwa na vurugu za kivita za mara kwa mara.

Hapa Afrika ukitoa Congo DRC tu ambayo haina waislamu wengi, nchi nyingi zilizobaki zenye vita za mara kwa mara maeneo hayo yenye vita ukaliwa na waislamu kwa idadi kubwa.

Ukanda wote wa Sahel, yani kusini mwa mpaka wa jangwa la Sahara, nchi kama Sudan, Niger, Mali, Burkinafaso, Chad na nyinginezo na nchi zinazokumbwa na vikundi vya kigaidi mara kwa mara. Na ni nchi zenye uislamu mwingi na kama unavyoona zinapakana na nchi za waarabu wa kiafrika ambazo kwa asilimia 90 raia wa nchi hizo ni waislamu.
View attachment 2943395
Nigeria pia ni miongoni mwa nchi inayokumbwa na matukio ya kigaidi sana hususani Maeneo ya kaskazini ya nchi hiyo ambayo ukaliwa na waislamu wengi. Nchini Nigeria wakristo wengi wanapatikana Kusini katika majiji kama Lagos, na Abuja, na waislamu wengi upatikana maeneo ya Kaskazini mwa nchi ambayo mara nyingi majimbo ya Maeneo hayo uongozwa kwa Sheria za kiislamu, pia nadhani juzi kati katika mfungo wa ramadhani watu wa maeneo hayo walikamatwa kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani na waliadhibiwa. Maeneo hayo hayo ndio kituo cha Kundi la Boko Haram na vikundi vingine vya namna hiyo.

Tukiama barani Afrika tukaamia bara la Asia ukanda ya Middle East (Mashariki ya Kati) ambapo ndiko uislamu umeanzia huko ndiko kuna vikundi vingi vya kigaidi, na karibia kila nchi ina vikundi vyake. Nadhani wengi mnavifahamu vikundi kama Hamas kilichoishambulia Israel na kuteka na kuua watu katika tamasha la mziki, na kupeleka vita ambayo imeigharimu ardhi ya Palestina ukanda wa Gaza. Vilevile haikupita miezi mingi kuna kikundi kutoka Yemen nacho kinaitwa Hauthi kikaanza kulipa mashambulizi kwa kupiga meli zinazopita ukanda wa bahari ya sham bila kujali kuwa anaepigwa ni raia wa nchi gani.

Ukiachilia mzozo huo wa Israel na maadui zake, hakuna asiyejua kundi la kigaidi lenye mlengo wa kiislamu lililotikisa Dunia kwa matukio ya kutisha kwa kuchinja, kupiga risasi au kujitoa Mhanga. Hii ya kujitoa mhanga ikapelekea Waislamu hasa waliojifunika mwili mzima kuogopwa sana kuhisi labda wamebeba mabomu ya kujitoa mhanga. Chini ya Osama Bin Laden, kundi hili liliisumbua Dunia hasa Marekani kwa kuipa Jeraha lisilosahaulika la Septemba 11.

Kwa kifupi huko Middle East (Mashariki ya Kati) kuna vikundi vingi sana vya kigaidi, vingine vinakuwaga vimelala tu, vinakuwa (Inactive) lakini viko tayari kwa mashambulizi. Na vikundi hivi ndivyo vinafanya Dola za kiislamu zinaendelea kusimama na sheria kali za kiislamu zifatwe, mfano moja wapo ni Kundi la Taliban kutokea pale Afghanistan ambalo baada ya kushika dola tu likaweka sheria kali za kiislamu ikiwemo wanafunzi kusoma madarasa kwa kuzingatia jinsia mpaka chuo kikuu yani mtoto wa kike na wakiume kila mtu darasa lake.

Kundi jingine la Kigaidi ni kundi la ISIS yani Islamic State. Kundi hili juzi kati limekiri kupiga Tukio pale Russia kwa kumimina Risasi katika Mall moja pale Moscow kwenye tamasha la mziki na kuua watu zaidi ya 150 na kuchoma jengo kwa vilipuzi. Lakini Rais wa Russia Vladimir Putin hajawaacha salama, kawadaka watu kadhaa ambao wanahusika na tukio hilo ambao wengi wao wanasema wamekodiwa kutokea nchi ya Uturuki ambayo ni yenye mlengo wa kiislamu.

Kwa ufupi makundi haya ni mengi sana na yana uhusiano wa moja kwa moja, kwa sababu mengi yanakuwa na link au uhusiano.

Kwani ndugu zetu waislamu mnapokuwa mnafundishwa Dini uwa mnapewa maelezo gani yanayowatia baadhi yenu mioyo ya kikatili, kutaka kumwaga Damu?

Na ndio nchi zinazoongoza kutokua na magonjwa ya ajabu ajabu, tofauti na nchi za kikafiri.

Vita, chanzo ni wamagharibi+Taifa haramu bila ya wamagharibi na Taifa haramu dunia ingelikua sehemu salama.
 
Huyo imhotep yuko sahihi, sema wewe hauna hiyo knowledge ya lini waarab walianza kuua ndugu zetu na hutaki tu kujuwa. Kama unataka kujuwa mbona vitabu na kumbukumbu ziko nyingi tu hata mitandaoni utapata.
Waarabu hawakuja Afrika, Mwafrika ndio alikwenda Asia.

Unaonesha uko finyu sana na historia ya ukweli.
 
Well said ila tatizo linakuja kwa ndugu zetu Waislam, mpaka leo bado wanaishi in denial......ukiwaambia ukweli ambao upo hata kwenye historia ya nchi yetu wao wanakataa na kubisha, yaani hawataki kusikia ukweli wowote kuhusu unyama waliofanyiwa mababu zetu na waarab. Ni ujinga uliopitiliza kwa kweli.
Tuendelee kupeana Darasa kiroho safi na Ndugu zetu at the end of the day sisi sote ni Waafrika na ni Ndugu.

Tueleweshane pale mwenzetu anapotaka kueleweshwa bila matusi au kudharauliana.
 
Aliyekudanganya Uislam ni dini ni nani? Achana na ujinga huu, rudi shule ukasome ujuwe ukweli utakaokusaidia maishani mwako. Watu mnajiaminisha ujinga kwa vitu via hovyo kabisa, Jiulize kama Uislam ni dini ya Mungu kwanini Muddy na kundi lake walikuwa wanaua watu na kuwalazimisha wamuite Muddy mtume wa Mungu wakati hakuwa mtume kweli? Je, ni Mungu ndiye aliyemtuma kuua watu na kutomba wake zao?
Naona upo finyu sana. "aliyesema" Uislam dini ni mkweo.

Sikushangai.
 
Tuendelee kupeana Darasa kiroho safi na Ndugu zetu at the end of the day sisi sote ni Waafrika na ni Ndugu.

Tueleweshane pale mwenzetu anapotaka kueleweshwa bila matusi au kudharauliana.
Narudia, hawa wenzetu hawataki kuelimishwa na hakuna anayewatukana ila wao ukiwaambia ukweli kuwaelimisha wanahisi unawatukana. Aisee, kwa kweli elimu ni msingi wa maendeleo ya mwanadamu, sijuwi hawa wenzetu wanajichanganya vipi.....yaani kitu simple tu mtu anarukia kuwa anakashifiwa kisa hataki ukweli:TenseGreen:
 
Vita, chanzo ni wamagharibi+
Screenshot_20240327-134512~2.png
 
Na ndio nchi zinazoongoza kutokua na magonjwa ya ajabu ajabu, tofauti na nchi za kikafiri.

Vita, chanzo ni wamagharibi+Taifa haramu bila ya wamagharibi na Taifa haramu dunia ingelikua sehemu salama.
Fighting is obligatory for you, much as you dislike it. - 2:216
 
Mfalme wa Amani pia anahubiri mafarakano na ugomvi:

"Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; sikuja kuleta amani, bali upanga." - Mathayo 10:34.


Baada ya kuwaambia mashabiki wake wawapende adui zao,, Yesu pia anawaambia wazigeuze familia kuwa maadui!

"Kwa maana nalikuja kumfitinisha mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwewe. Na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake." - Mathayo 10:35,36.

"Mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na watoto wake, na ndugu zake waume na wake, naam, na hata nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mfuasi wangu." - Luka 14:26.

Anaenda mbali zaidi kwa kusema

“Na ndugu atamsaliti ndugu yake ili auawe, na baba atamsaliti mtoto; - Mathayo 10:21.

Akiwa amewatenganisha wafuasi wake na familia zao na upuuzi huu wa uuaji, Yesu anashauri vikundi vyake vinavyomwabudu juu ya jinsi ya kushughulika na viungo vyao vya mwili vinavyowapeleka katika dhambi - kukatwa viungo! Wanapaswa kujikatakata kwa kukata mikono na kung'oa macho.

Anasema ni afadhali "kulemazwa" kuliko kuteseka na "moto wa milele" wa kuzimu.

“Na mkono wako ukikukosesha, ukate; ukate; ni afadhali kwako kuingia katika uzima ukiwa umesimama, kuliko kuwa na miguu miwili na kutupwa katika jehanum ... Na jicho lako likikukosesha, ling'oe; ni afadhali kwako kuingia katika ufalme wa Mungu. kwa jicho moja, kuliko kuwa na macho mawili na kutupwa katika jehanum ya moto." - Marko 9:43,47.


Kulingana na Yesu, kumwangalia tu mwanamke "kwa tamaa" ilikuwa dhambi.

Karne ya 3 Origen alikuwa Mkristo mshupavu ambaye alichukua maneno ya Yesu kuwa kihalisi na kujihasi.
Again, hizi dini za watu (dini za kuletewa) ni laana kwetu Waafrika.......na ndiyo maana waumini wengi wa hizi dini haswa Waislam bado wanaishi gizani kwa kujiaminisha upuuzi.
 
Hapa tunaanza kukubaliana vizuri na ni kwamba Utumwa ilikuwa ni Biashara kama Biashara nyingine lakini Waswahili walikuwa hawana access ya Masoko ya Mashariki ya Kati kwahiyo Mwarabu alikuwa akisomba na kuwapeleka kwenye Masoko ya huko.

Na huko Mashariki ya kati Mababu zetu walikuwa wakikutana na Watumwa wengine kutoka Ulaya na Bara Hindi na Watumwa Local.

Tufunge Mjadala kwa kuafikiana kuwa Watumwa wa Afrika ya Mashariki walipelekwa Uarabuni na Waarabu na Waliokuja kupiga Marufuku Biashara hiyo ya Kikatili katika Pwani hii ya Afrika ya Mashariki ni British Empire.

Watumwa walipelekwa arabuni kufanya nini na wakihitajika kufanya kazi kwenye mashamba? Wanunuzi ndio hawa walipokuja kuifanyia na walianza wareno?Au hutaki kukubali kuwa kanisa ndiyo ilikuwa mbele kuifanyia hiyo biashara?
 
Again, hizi dini za watu (dini za kuletewa) ni laana kwetu Waafrika.......na ndiyo maana waumini wengi wa hizi dini haswa Waislam bado wanaishi gizani kwa kujiaminisha upuuzi.
Nyinyi wakristo si mnaishi kwenye mwanga kwa wanaume kuolewa na wachungaji au vipi ?
 
Back
Top Bottom