Kwanini nchi za Kiarabu hazitaki kuwasaidia Waarabu na Waislamu wenzao Wapalestina?

Kwanini nchi za Kiarabu hazitaki kuwasaidia Waarabu na Waislamu wenzao Wapalestina?

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
2,113
Reaction score
6,251
Peace,

Niko na swali dogo ila tata kwa kiasi fulani, hivi inakuwaje watu walio na "umoja na mshikamano katika dini ya Mwenyezi Mungu" wako tayari hata kujilipua mabomu kwa ajili ya dini yao.

Wako tayari hata kuchinja watu huku wakiwarecord ili kutetea "imani" yao "tukufu" ila linapokuja swala la ndugu zao "katika imani" wamepata majanga kamwe, kamwe, kamwe hawawasaidia achilia kutuma misaada ya kibinadamu tu hakuna ila hata kuwakaribisha tu na kuwapa hifadhi HAKUNAGA.

Nchi za "ndugu hawa katika imani" tena majirani wa pua na mdogo Misri na Jordan wao wameamua kuwafungia kabisa mipaka ndugu zao katika imani Wapalestina. Wapalestina wanapata hifadhi nchi za wazungu ambao wanawaita "makafiri" misaada yote ndani ya Palestina kwa miaka yote inatoka kwa "makafiri"

Uko wapi upendo wa hawa watu wa "ndugu katika imani" ambao kamwe hamasaidiani. Imagine migogoro yote Syria, Yemen, Iraq nk wakimbizi hupata hifadhi ulaya wakikaribishwa na elimu bure, makazi, matibabu nk katika nchi za "makafiri" lakini KAMWE HAWAPATI HISANI YOYOTE WALA HIFADHI TOKA KWA NDUGU ZAO KATIKA IMANI. Kulikoni hali hii?
 
Hata ule umoja wao duniani oic hupoupo tu hauna nguvu za kusaidiana kwenye mambo mazito yanayokumba wanachama wao. Ifike wakati mataifa yao yaachane na dini hiyo kwa amani tu na huko palestina wapalestina waishi kwa amani na israeli na wachoreane ramani ya meaeneo ya kujitawala wakae kwa amani kama ndugu zao waislam hawataki kuwapa hifadhi wajitoe kwenye organisation yao. Makafiri ndio wanaowahifadhi wajiunge na dini ya hao wanaowaita makafiri kwa kuwa wanawajali. Makafiri ni hao ndugu zao waliowafungia mipaka wakati wa shida. Kingine ni kwamba hao ndugu zao wa kiislam hawataki kuja kupata kipigo toka israel endapo wakiwaribisha wakaendeleza harakati zao kuishambulia israel wakiwa katika nchi hizo.
 
Mi nadhani hapa kuna mambo ya imani + 6 6 6 na upinga kristo ngoja wajuzi waje kuelezea zaid
 
Masuni na shia,kila mmoja mwenzie ni kafiri. Hii dini inaongozwa na uogo,unafiki na uzandiki,wakiwa na adui ambaye sio wa imani yao huungana kumuondoa wakisha muondoa hugeukiana kuuana wao kwa wao.
Je unamaanisha jambo kama hili ....
Screenshot_20231017-090355_Quora.jpg
 
Kwa kuwa Israel inasema kuwa haina ugomvi na watu wa kawaida basi iwachukue wakimbizi wa Kipalestina ili iwashughulikie Hamas, Hamas wakishaisha iwaruhusu watu hao kurudi nyumbani.
haujajibu swali shekhe ?! Kwanini mpaka wasaidie na "makafiri" ya kiisrael, wakati "ndugu zao katika imani wapo !?? Yani hata kupeleka kipande cha mkate kutoka hapo jirani Misri, Iran hakuna kweli, hiyo dini yenu ya munyazimungu inawafundisha kuchinja watu ila sio kusaidiana ?!
 
usichojua Misri ameshtukia mchezo mchafu wa Israel, lango la hawa Israel ilikua iswage wapalestina wakimbilie mpakani na Misri ili Misri wakijichanganya wawapokee kama wakimbizi basi northern Gaza yote inakua Israel.
 
haujajibu swali shekhe ?! Kwanini mpaka wasaidie na "makafiri" ya kiisrael, wakati "ndugu zao katika imani wapo !?? Yani hata kupeleka kipande cha mkate kutoka hapo jirani Misri, Iran hakuna kweli, hiyo dini yenu ya munyazimungu inawafundisha kuchinja watu ila sio kusaidiana ?!
Kwa sababu under International law , Occupier ana wajibu wa kuhakikisha well being ya the Occupied.

Hata miongoni mwa Wapalestina wamo Wakiristo pia nao pia wanachezea kichapo cha Yahudi, sasa sijui point yako ni nini.
 
Kwa sababu under International law , Occupier ana wajibu wa kuhakikisha well being ya the Occupied.

Hata miongoni mwa Wapalestina wamo Wakiristo pia nao pia wanachezea kichapo cha Yahudi, sasa sijui point yako ni nini.
kwamba Hamas walivyovamia walikua wanataja imani tofauti na "alaakibaru" ?! madai ya Hamas ni pamoja na kuitawala ardhi ya Israel na kuufanya ukanda wa kiislamu ndio hoja yangu kwamba kwanini palestina kama dola ya kiislamu haisaidiwi na dola za kiislamu. Kama hauja nielewa na hapa sitashangaa maislamu hua ni majinga majinga tu, mabishi na maswahili.

Sitapoteza muda wangu na majinga yanayosubiri kupewa bikra 72 kwa kuwaua binadamu wengine

Screenshot_20231017-090355_Quora.jpg
 
Rais wa misri alisema wazi hawezi wapokea wapalestina Kama wakimbizi sababu
Kuuruka mtego wa Israel kuja kuifanyia ugaidi misri as wakimbizi watakaoingia misri wataanza mashambulizi na kuendeleza harakati za kushambulia Israel kutokea mipaka ya misri kudai Uhuru wa palestina.
Pia Kuna maazimio yakuundwa taifa huru la palestina kuwaapokea wagaza nani atakaebakia huko kuahinikiza uhuru wa palestina?
 
Wanarekodi mbovu sana wakisaidiwa , walipokewa kama wakimbiz Lebanon wakaunda magenge ya ugaidi Ili kuangusha serikali ya kidemokrasia wasimamishe utawala wa sharia kipind hicho Lebanon ndio Dubai ya middle east wakafanya mavurugu mpaka sasa Lebanon imekua kama kawe tu,

Walipokewa kama wakimbiz Jordan huko nako wakataka kumpindua mfalme wa Jordan wakachezea nakoz kuanzia hapo hakuna anaye wataka

Ni kama nyoka tu unamsaidia akia porini huwez kumuingiza ndani kwako
 
Back
Top Bottom