Kwanini nchi za Kiarabu hazitaki kuwasaidia Waarabu na Waislamu wenzao Wapalestina?

Kwanini nchi za Kiarabu hazitaki kuwasaidia Waarabu na Waislamu wenzao Wapalestina?

Israel iko tyr kuwachukua wapalestina endapo watakubali kubadilisha uraiya wao na kua waislaer na huu mpango umekuepo miaka ming na kuna wapalestina walishakubali kubadili uraia wao na kuwa waisrael na wanaishi israel tena kwa aman
Km ukitaka kujua ukwel fuatilia ilo la kubadili uraia
Wakifanya ivo basi mpalestina awe na haki sawa na muisrael ikiwemo kugombea nafasi za uongozi

Na sio wapalestine wawe second class citizen huku wayahudi wakipewa treatment special ya kuwa raia wa daraja la kwanza

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kuna reports zinasema 90% ya silaha na mabomu ya hammas wamepewa na Iran.

Wao wanajuajaga tuu kupeana silaha za kuua wenzao na kupandikizana chuki, kwann Iran asichukue hao wakimbizi wa palestina, hizo resources anazotumia kuendeleza vita na Israeli si angesaidia wamama na watoto wanakufa huko palestina.
tafakuri makini mkuu, ndugu hawa katika inani wanasaidiana mabomu ya kujilipua ila misaada ya kiraia hakunaga. Je tunaweza kuhitimisha kua jambo hili la unafiki, uchoyo, ubinafsi na kutokua tayari kutoa misaada ya kweli ni tabia ya uarabu na uislamu ?
 
Hawa kobazi wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani, wanajua anytime kinawaka. Wapo radhi kupokea wakimbizi hata wa mataifa mengine kuliko majirani zao. Falsafa za mudy ni ngumu sana.
 
Masuni na shia,kila mmoja mwenzie ni kafiri. Hii dini inaongozwa na uogo,unafiki na uzandiki,wakiwa na adui ambaye sio wa imani yao huungana kumuondoa wakisha muondoa hugeukiana kuuana wao kwa wao.
Umeelewa kilichoulizwa lakini?au inimladi na ww ume comment
 
Masuni na shia,kila mmoja mwenzie ni kafiri. Hii dini inaongozwa na uogo,unafiki na uzandiki,wakiwa na adui ambaye sio wa imani yao huungana kumuondoa wakisha muondoa hugeukiana kuuana wao kwa wao.
Mkuu bila shaka unamaanisha kitu kama hichi ....
Screenshot_20231017-090355_Quora.jpg
 
Mfano Egypt imesema imezuia wasiingie kwao kwasababu ndicho Israel inachotaka kwamba waondoke ichukue maeneo yote na haitokaa kuyarudisha wala kuruhusu warudi. So, kuzuia hilo waendelee kubaki tu ijulikane kuwa hawakuondoka ila iliwaua wote
Hebu tuthibitishie hili tafadhali
 
Hebu tuthibitishie hili tafadhali
Tafuta taarifa mtandaoni. Nlikuwa mtandaoni huko nikakutana nayo gravitas.
We google why egypt wont take palestinas yani utaona jibu ni hilp hilo kuanzia abc news, afp, na mashirika mengi ya habari yameripoti
 
Dunia imejaa propaganda... Za kuambiwa changanya na za kwako...
 
Mbona hili sisi na wengine waneliweka wazi tu, israel anajaribu kuwatoa gaza makusudi ili apunguze resistance ana achukue eneo kiulaini, so kwa lengo la kudai taifa la palestina wakitoka nani atadai uhuru wao? Na vile vile israel atapata sababu ya kupigania ndani ya egypt , muwe mnasoma na kufuatilia mambo kabla ya kupayuka
wapo tyr kufa kama kinga ya Hamas?
 
Uzi huu naona kwa kiwango kikubwa kuna watu wanajitekenya na kujichekesha wao wenyewe.
 
Kwa sababu under International law , Occupier ana wajibu wa kuhakikisha well being ya the Occupied.

Hata miongoni mwa Wapalestina wamo Wakiristo pia nao pia wanachezea kichapo cha Yahudi, sasa sijui point yako ni nini.
Mmh Kwan wayahudi ni wakristo Hawa watu SI wanaongozwa na Sheria za Musa na torati,Hawa Jesus hawamtambui
 
Wakifanya ivo basi mpalestina awe na haki sawa na muisrael ikiwemo kugombea nafasi za uongozi

Na sio wapalestine wawe second class citizen huku wayahudi wakipewa treatment special ya kuwa raia wa daraja la kwanza

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
je ni sawa na nchi za kiislam zinavyowaua wayaudi yaan hawawapi hata fursa ya kuish
 
Back
Top Bottom