Peace,
Niko na swali dogo ila tata kwa kiasi fulani, hivi inakuwaje watu walio na "umoja na mshikamano katika dini ya Mwenyezi Mungu" wako tayari hata kujilipua mabomu kwa ajili ya dini yao.
Wako tayari hata kuchinja watu huku wakiwarecord ili kutetea "imani" yao "tukufu" ila linapokuja swala la ndugu zao "katika imani" wamepata majanga kamwe, kamwe, kamwe hawawasaidia achilia kutuma misaada ya kibinadamu tu hakuna ila hata kuwakaribisha tu na kuwapa hifadhi HAKUNAGA.
Nchi za "ndugu hawa katika imani" tena majirani wa pua na mdogo Misri na Jordan wao wameamua kuwafungia kabisa mipaka ndugu zao katika imani Wapalestina. Wapalestina wanapata hifadhi nchi za wazungu ambao wanawaita "makafiri" misaada yote ndani ya Palestina kwa miaka yote inatoka kwa "makafiri"
Uko wapi upendo wa hawa watu wa "ndugu katika imani" ambao kamwe hamasaidiani. Imagine migogoro yote Syria, Yemen, Iraq nk wakimbizi hupata hifadhi ulaya wakikaribishwa na elimu bure, makazi, matibabu nk katika nchi za "makafiri" lakini KAMWE HAWAPATI HISANI YOYOTE WALA HIFADHI TOKA KWA NDUGU ZAO KATIKA IMANI. Kulikoni hali hii ?
Hili swala sio rahisi kama unavyoliona! Kufungua mipaka na kuruhusu wapalestina, wawe wkimbizi kwenye nchi nyingine ksma Misri, hiyo itakuwa tiketi ya kupoteza ardhi Yao! Wakitoka tu, mzayuni akitia maguu Gaza, anajenga makazi ya masetlers, na hatatoka kamwe!
Hilo waarab wanaliogopa na hawapo tayari kuona likitokea kama ilivyo kuwa 1948!
Msaada pekee waliotakiwa kuwapa waarab wenzao ni msaada wa kivita tu, piga myahudi mfurushe Gaza, na westbenk!
Kingine, kuna wakimbizi wa Palestine wapo Lebanon, Hawa wamekuwa wengi kiasi kwamba, huwa wanatishia usalama wa nchi ya Lebanon, ilishawahi, kutokea Jordan, wakafurushwa.
Kingine nchi kama Misri, na zingine,zinaogopa kuwapa ukimbizi wapalestina, maana watakuja na wa Islam wenye misimamo mikali, ya anti west,
Islamists, ni tishio kubwa kwa tawala za ki secural kama ya Misri, Saudis, nk,
Msaada pekee kwa wapalestina ni kuwapa taifa Lao tu, Israel igawanywe, nchi ya Palestine itengenezwe,