Kwanini nchi za Kiarabu hazitaki kuwasaidia Waarabu na Waislamu wenzao Wapalestina?

Kwa kuwa Israel inasema kuwa haina ugomvi na watu wa kawaida basi iwachukue wakimbizi wa Kipalestina ili iwashughulikie Hamas, Hamas wakishaisha iwaruhusu watu hao kurudi nyumbani.

Israel iko tyr kuwachukua wapalestina endapo watakubali kubadilisha uraiya wao na kua waislaer na huu mpango umekuepo miaka ming na kuna wapalestina walishakubali kubadili uraia wao na kuwa waisrael na wanaishi israel tena kwa aman
Km ukitaka kujua ukwel fuatilia ilo la kubadili uraia
 
Na kupeleka misaada ya kiraia pia itazuia wapalestina kushinikiza uhuru wao wa palestina ?
 
Sorry to say this, but you have no idea what you are talking about.

Israel haitaki kabisa kusikia kitu kinachoitwa one state solution.
 
Mfano Egypt imesema imezuia wasiingie kwao kwasababu ndicho Israel inachotaka kwamba waondoke ichukue maeneo yote na haitokaa kuyarudisha wala kuruhusu warudi. So, kuzuia hilo waendelee kubaki tu ijulikane kuwa hawakuondoka ila iliwaua wote
 

Fact
Jordan walitaka kufanya mapinduzi ya kumpindua mfalme wa jordan ad kupelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa ufupi wapalestina ni wakolofi na popote pale wanakopelekwa huanzisha mizozo na ugomvi
Ata denmark iliwai chukua wakimbizi toka palestina na hao wakimbizi ndo leo hureta mattzo denmark
 
Hii picha imenfanya nicheke saaana.
 


Hawana uwezo, technology, vifaa na budget, waoga, kwa kifupi ndo hivyo.
 
Hili swala sio rahisi kama unavyoliona! Kufungua mipaka na kuruhusu wapalestina, wawe wkimbizi kwenye nchi nyingine ksma Misri, hiyo itakuwa tiketi ya kupoteza ardhi Yao! Wakitoka tu, mzayuni akitia maguu Gaza, anajenga makazi ya masetlers, na hatatoka kamwe!
Hilo waarab wanaliogopa na hawapo tayari kuona likitokea kama ilivyo kuwa 1948!
Msaada pekee waliotakiwa kuwapa waarab wenzao ni msaada wa kivita tu, piga myahudi mfurushe Gaza, na westbenk!
Kingine, kuna wakimbizi wa Palestine wapo Lebanon, Hawa wamekuwa wengi kiasi kwamba, huwa wanatishia usalama wa nchi ya Lebanon, ilishawahi, kutokea Jordan, wakafurushwa.
Kingine nchi kama Misri, na zingine,zinaogopa kuwapa ukimbizi wapalestina, maana watakuja na wa Islam wenye misimamo mikali, ya anti west,
Islamists, ni tishio kubwa kwa tawala za ki secural kama ya Misri, Saudis, nk,

Msaada pekee kwa wapalestina ni kuwapa taifa Lao tu, Israel igawanywe, nchi ya Palestine itengenezwe,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa issue ya Palestine ukipokea Wakimbizi wake tu unaingiza Nchi yako vitan na Israel maana Hamas watatokea mwako kupigana na Israel kisha Israel italipua kwako , Pia kingine Ukiwapokea hao Wapalestine moja kwa moja Unakuwa umeifuta Palestine kwenye Raman maana ardhi yote itachukuliwa na Israel , Kitu kingine ukiisaidia Palestine maana yake unapigana Kijeshi na NATO kitu ambacho utachakaa tu maana hakuna Nchi za kiarabu zilizofikikia nguvu ya NATO. Picha Rshisi wakati HAMAS ni kikundi kidogo tu Jeshi la USA,UK na FRANCE wapo pale.
 
HAMAS wasilete udinii kwenye hili jamboo...waliyatakaa acha wayapatee maana huko hamas hata wakristo wanakufaa na hayo mabomu
 
Hilo Ni suala lingine bos wangu ,Mimi nimejibu Hilo moja nlilolisikia Linaleta mantiki
na huo ndio unafiki wa waislamu, kama umeamua kujibu jibu swali na vipengele vyake sio unajibu nusu nusu. Hawataki kupokea wapalestina ati wanataka wapanie taifa lao haya hata misaada ya kiraia hakuna wao wanamwaga mihela kwenye mamipira ila hata kutuma kipande cha mkate kwa waislamu wenzao hakuna, unafiki at the highest level.
 
Naam,nauheshimu mtizamo wako ,,,
 
Mfano Egypt imesema imezuia wasiingie kwao kwasababu ndicho Israel inachotaka kwamba waondoke ichukue maeneo yote na haitokaa kuyarudisha wala kuruhusu warudi. So, kuzuia hilo waendelee kubaki tu ijulikane kuwa hawakuondoka ila iliwaua wote
mkuu na Misri hata kuwapatia misaada ya kiraia "ndugu zao katika imani" wapalestina itasabcisha waisrael waichukue ardhi ya wapalestina
 
Je kwa uzoefu na shuhuda hizi tunaweza kufikia makubaliano kua waarabu na uislamu kwa ujumla ni watu wa vurugu na shari hata wanapotendewa wema ??!

Je hili linatupa picha gani kuhusu dini hii inayoahidi waumini wao mabikra 72 kwa kuwaua watu wa imani tofauti ?!! Je tunaweza kukubaliana dini hii inaukaribu zaidi na shetani kuliko Mungu mwenye upendo, huruma na upole ?!
 
Hii picha imenfanya nicheke saaana.
na ndio uhalisia wa hawa jamaa, ni watu wa vurugu, mizozo, chokochoko, kuvuruga amani alafu ndio walalamikaji proffessional. Yani hua nikiwaona hawa jamaa naona kabisa ni mawakala wa ibilisi shetani baba wa uovu bila wenyewe kujua. Imagine dini inafundisha ati ukimchinja mtu wa imani nyingine utapewa mabikra 72 !!? Just imagine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…