Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Wakifanya ivo basi mpalestina awe na haki sawa na muisrael ikiwemo kugombea nafasi za uongoziIsrael iko tyr kuwachukua wapalestina endapo watakubali kubadilisha uraiya wao na kua waislaer na huu mpango umekuepo miaka ming na kuna wapalestina walishakubali kubadili uraia wao na kuwa waisrael na wanaishi israel tena kwa aman
Km ukitaka kujua ukwel fuatilia ilo la kubadili uraia
tafakuri makini mkuu, ndugu hawa katika inani wanasaidiana mabomu ya kujilipua ila misaada ya kiraia hakunaga. Je tunaweza kuhitimisha kua jambo hili la unafiki, uchoyo, ubinafsi na kutokua tayari kutoa misaada ya kweli ni tabia ya uarabu na uislamu ?Kuna reports zinasema 90% ya silaha na mabomu ya hammas wamepewa na Iran.
Wao wanajuajaga tuu kupeana silaha za kuua wenzao na kupandikizana chuki, kwann Iran asichukue hao wakimbizi wa palestina, hizo resources anazotumia kuendeleza vita na Israeli si angesaidia wamama na watoto wanakufa huko palestina.
Umeelewa kilichoulizwa lakini?au inimladi na ww ume commentMasuni na shia,kila mmoja mwenzie ni kafiri. Hii dini inaongozwa na uogo,unafiki na uzandiki,wakiwa na adui ambaye sio wa imani yao huungana kumuondoa wakisha muondoa hugeukiana kuuana wao kwa wao.
Ni excuse tu...siasa za Mashariki ya kati ni so complicatedmkuu na Misri hata kuwapatia misaada ya kiraia "ndugu zao katika imani" wapalestina itasabcisha waisrael waichukue ardhi ya wapalestina
Mkuu bila shaka unamaanisha kitu kama hichi ....Masuni na shia,kila mmoja mwenzie ni kafiri. Hii dini inaongozwa na uogo,unafiki na uzandiki,wakiwa na adui ambaye sio wa imani yao huungana kumuondoa wakisha muondoa hugeukiana kuuana wao kwa wao.
Hebu tuthibitishie hili tafadhaliMfano Egypt imesema imezuia wasiingie kwao kwasababu ndicho Israel inachotaka kwamba waondoke ichukue maeneo yote na haitokaa kuyarudisha wala kuruhusu warudi. So, kuzuia hilo waendelee kubaki tu ijulikane kuwa hawakuondoka ila iliwaua wote
Tafuta taarifa mtandaoni. Nlikuwa mtandaoni huko nikakutana nayo gravitas.Hebu tuthibitishie hili tafadhali
wapo tyr kufa kama kinga ya Hamas?Mbona hili sisi na wengine waneliweka wazi tu, israel anajaribu kuwatoa gaza makusudi ili apunguze resistance ana achukue eneo kiulaini, so kwa lengo la kudai taifa la palestina wakitoka nani atadai uhuru wao? Na vile vile israel atapata sababu ya kupigania ndani ya egypt , muwe mnasoma na kufuatilia mambo kabla ya kupayuka
Mmh Kwan wayahudi ni wakristo Hawa watu SI wanaongozwa na Sheria za Musa na torati,Hawa Jesus hawamtambuiKwa sababu under International law , Occupier ana wajibu wa kuhakikisha well being ya the Occupied.
Hata miongoni mwa Wapalestina wamo Wakiristo pia nao pia wanachezea kichapo cha Yahudi, sasa sijui point yako ni nini.
je ni sawa na nchi za kiislam zinavyowaua wayaudi yaan hawawapi hata fursa ya kuishWakifanya ivo basi mpalestina awe na haki sawa na muisrael ikiwemo kugombea nafasi za uongozi
Na sio wapalestine wawe second class citizen huku wayahudi wakipewa treatment special ya kuwa raia wa daraja la kwanza
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app