Kwanini Nchi za Kiislamu zinaendelea kukumbwa na umaskini? Sababu zilizofichika za Kihistoria na Kisasa

Kwanini Nchi za Kiislamu zinaendelea kukumbwa na umaskini? Sababu zilizofichika za Kihistoria na Kisasa

Dubai umeenda mbali sana hapa haoa Africa,.......hao akina Morocoo,Libya,Algeria,Tunisia,Egypt,.......90% population wamejaa waislam,kisha compre na nchi tano zenye 90% wakristo Africa kama D.R.C,ZAMBIA,ZIMBABWE,MALAWI na Central Africa Republic.
Angalia hata hapa bongo,........Kagera ina wakristo wengo sana kuliko Zanzibar ambapo 99% ni waislam,....ila maendelea ya Zanzibar ni 1000X ya maendelea ya Kagera,waislama hawajasoma na kukalilia elimu za sifa ila linapokuja suala la maendeleo wapo mbele ya muda.
Yes Tanga kwa wavivu ni jiji ila Moshi ni mji😂😀😅

Kwa maendeleo gani yakujivunia zanzibar? Haya ya kuomba TANESCO WAPOTEZEE DENI LAO ZENJI?, Maendeleo ya chako changu changu changu? Bila ya Tanganyika hakuna Zanzibar!
 
Sehemu yenye uislam wengi haki inatamalaki,lazima ahueni ya maisha itakuepo......cheki Zanzibar hapo,matokeo ya form 4,or 6 yakitoka.....watu wanacheka,........kule Kagera watu wanasoma mno,ila elimu zao haziwasaidiii umasikini umetamalaki.............Zanzibar Ina watu wachache na migodi michache kuliko geita,ila Zanzibar ni nchi,99% waislam,Geita ni mkoa masikini uliojaa wakristo,

Hapo kwenye maendeleo huko zenji weka kichwani mwako hili, BILA YA TANGANYIKA HAKUNA ZANZIBAR.
 
Wewe nani kakuambia Tanzania ni nchi ya wa kuristo wengi? Neenda kwote dunian FBI na CIA wana categorise Tanzania kama nchi uenye waislamu majority achana na hizi propaganda za CCM eti serikali haina dini.
😂😂😂 halifichiki eeeh halifichiki pembe la ng'ombe acha shobo na wivu
 
Wewe, unaota. Tangu lini Tanzania ina waislam 60%?

Waislam kwa Tanzania, hawafiki hata 40%.

Here are some statistics on the religions practiced in Tanzania:
  • Christianity: 55.3% of the population practices Christianity

  • Islam: 31.5% of the population practices Islam

  • Traditional faiths: 11.3% of the population practices traditional faiths

    • Non-religious: 1.9% of the population is non-religious or adheres to other faiths
    • Roman Catholic: 27% of respondents in rural areas and 20.8% in urban areas identify as Roman Catholic
    • Hinduism: A minority religion practiced by about 50,000 people in 2010
    • Zanzibar: Islam is the most prominent religion on the Zanzibar archipelago, with 99% of the population identifying as Muslim
Source tafadhali!!!!!
 
Kwa maendeleo gani yakujivunia zanzibar? Haya ya kuomba TANESCO WAPOTEZEE DENI LAO ZENJI?, Maendeleo ya chako changu changu changu? Bila ya Tanganyika hakuna Zanzibar!
Shallow thinking, for years Zanzibar ilikua ni katika eneo lenye Maendeleo makubwa ukanda wetu, wakoloni CCM ndio wameharibu huo uchumi wa kisiwa.

Usisahau kwa Sheria za Nchi mzanzibari yoyote yule haruhusiwi kuuza kitu chochote nje ya Nchi na kama AKiuza basi aje huku Bara.

Mfano mzuri angalia Bakhresa, Maendeleo yake yote, Kodi anazolipa, Biashara zake za Nje etc Tra ina husika na Sio mamlaka ya Znz.

Znz kuna Viwanda vya Sukari hapo na haviruhusiwi hata kuuza huku kwetu bara.

So wapo Masikini sio kwamba wameshindwa bali ni vile wanatawaliwa ila Znz huru ingeshatupita siku nyingi tu.
 
Umeandika mengi sana ila hayana maana, dini haina uhusiano na uchumi wa nchi, nijuavyo mimi uchumi una nyanja zake.
Ili nchi iwe na uchumi imara na uchumi uliostawi nchi hiyo inatakiwa kuwekeza kwenye hizo nyanja, mfano China uchumi wake unavyostawi, wamewekeza kwenye nyanja kama viwanda na Teknolojiana siyo dini.
Hizo nchi unazosema za kiislamu unataka ziwe na utajiri je zimewekeza kwenye nini?
Acha chuki na Uislamu
 
Back
Top Bottom