Kwanini Nchi za Kiislamu zinaendelea kukumbwa na umaskini? Sababu zilizofichika za Kihistoria na Kisasa


Kwa maendeleo gani yakujivunia zanzibar? Haya ya kuomba TANESCO WAPOTEZEE DENI LAO ZENJI?, Maendeleo ya chako changu changu changu? Bila ya Tanganyika hakuna Zanzibar!
 

Hapo kwenye maendeleo huko zenji weka kichwani mwako hili, BILA YA TANGANYIKA HAKUNA ZANZIBAR.
 
Wewe nani kakuambia Tanzania ni nchi ya wa kuristo wengi? Neenda kwote dunian FBI na CIA wana categorise Tanzania kama nchi uenye waislamu majority achana na hizi propaganda za CCM eti serikali haina dini.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halifichiki eeeh halifichiki pembe la ng'ombe acha shobo na wivu
 
Source tafadhali!!!!!
 
Kwa maendeleo gani yakujivunia zanzibar? Haya ya kuomba TANESCO WAPOTEZEE DENI LAO ZENJI?, Maendeleo ya chako changu changu changu? Bila ya Tanganyika hakuna Zanzibar!
Shallow thinking, for years Zanzibar ilikua ni katika eneo lenye Maendeleo makubwa ukanda wetu, wakoloni CCM ndio wameharibu huo uchumi wa kisiwa.

Usisahau kwa Sheria za Nchi mzanzibari yoyote yule haruhusiwi kuuza kitu chochote nje ya Nchi na kama AKiuza basi aje huku Bara.

Mfano mzuri angalia Bakhresa, Maendeleo yake yote, Kodi anazolipa, Biashara zake za Nje etc Tra ina husika na Sio mamlaka ya Znz.

Znz kuna Viwanda vya Sukari hapo na haviruhusiwi hata kuuza huku kwetu bara.

So wapo Masikini sio kwamba wameshindwa bali ni vile wanatawaliwa ila Znz huru ingeshatupita siku nyingi tu.
 
Umeandika mengi sana ila hayana maana, dini haina uhusiano na uchumi wa nchi, nijuavyo mimi uchumi una nyanja zake.
Ili nchi iwe na uchumi imara na uchumi uliostawi nchi hiyo inatakiwa kuwekeza kwenye hizo nyanja, mfano China uchumi wake unavyostawi, wamewekeza kwenye nyanja kama viwanda na Teknolojiana siyo dini.
Hizo nchi unazosema za kiislamu unataka ziwe na utajiri je zimewekeza kwenye nini?
Acha chuki na Uislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…