Sio kweli umekaririshwa au mahaba...Marekani na washirika wake ndiyo chanzo cha vurugu na fujo zote Duniani. Kwa ufupi tu Marekani, Israel na baadhi ya nchi za Magharibi mf. Uingereza; ndiyo chanzo kikuu cha vita, vurugu, na fujo zote zinazotokea hapa Duniani.
Na ndiyo maana yanatambulika pia kama Mataifa ya uovu (Evil Nations). Hayo Mataifa yanapenda muda wote Dunia iwe katika vita, mauaji, vurugu, ushetani, shida, taabu, na mateso tele kwa raia.
Urusi ndie aliyeanzisha vita vya kichokozi visivyo na mashiko kwa kuivamia Ukraine na kuteka maeneo ya Ukraine na kufanya uharibifu na ukatili mkubwa sasa uliona watu anasaidiwa mvamizi kumpiga mwasithiriwaKama kichwa cha thread kinavyoonesha, sishabikii vita ila inaonekana nchi za Magharibi na Marekani ni tishio sana kila anaemsaidia Urusi hufanya hivyo kisiri siri!. West hujiona wapo sahihi kwa Kila kitu na wanataka mtazamo/maadili yao uwe mtazamo wa dunia yote.
Hivi dunia haiwezi kuwepo bila vita Kila kona? Huyu anapigana na yule hawa wanapigana wenyewe Kwa wenyewe ili mradi tafrani.
Hakuna msaada hapo, ni biashara.Kama kichwa cha thread kinavyoonesha, sishabikii vita ila inaonekana nchi za Magharibi na Marekani ni tishio sana kila anaemsaidia Urusi hufanya hivyo kisiri siri!. West hujiona wapo sahihi kwa Kila kitu na wanataka mtazamo/maadili yao uwe mtazamo wa dunia yote.
Hivi dunia haiwezi kuwepo bila vita Kila kona? Huyu anapigana na yule hawa wanapigana wenyewe Kwa wenyewe ili mradi tafrani.
Umeandika kishabiki sana ndugu yangu.Marekani na washirika wake ndiyo chanzo cha vurugu na fujo zote Duniani. Kwa ufupi tu Marekani, Israel na baadhi ya nchi za Magharibi mf. Uingereza; ndiyo chanzo kikuu cha vita, vurugu, na fujo zote zinazotokea hapa Duniani.
Na ndiyo maana yanatambulika pia kama Mataifa ya uovu (Evil Nations). Hayo Mataifa yanapenda muda wote Dunia iwe katika vita, mauaji, vurugu, ushetani, shida, taabu, na mateso tele kwa raia.
Yepi na yepi? Wewe ukiambiwa Urusi anasaidiwa silaha na NK, Iran na SA, CN utaamini? That theory never holds kwani hukumbuki US kuvamia Iraq, Libya nani na nani waliwasaidia silaha wale mataifa hayo?Urusi ndio mvamizi
Time za kagera war mataifa mengi yaliisaidia Tanzania silaha kwa sababu ndio iliyovamiwa
Karibu vikundi vyote hivyo unavyovijua kwa nyakati tofauti vimefadhiliwa na marekani.Vipi vile vikundi vyenye misimamo mikali ya kidini kama vile Alshabab, Boko Haram, Is, nk ?
Hizo nchi zinaisaidia Ukraine kwa uwazi kabisa kwa sababu ni jambo jema. Wanaisaidia Ukraine ili imwondoe mvamizi nchini mwake.Kama kichwa cha thread kinavyoonesha, sishabikii vita ila inaonekana nchi za Magharibi na Marekani ni tishio sana kila anaemsaidia Urusi hufanya hivyo kisiri siri!. West hujiona wapo sahihi kwa Kila kitu na wanataka mtazamo/maadili yao uwe mtazamo wa dunia yote.
Hivi dunia haiwezi kuwepo bila vita Kila kona? Huyu anapigana na yule hawa wanapigana wenyewe Kwa wenyewe ili mradi tafrani.
Hadithi za vijiweni.Marekani na washirika wake ndiyo chanzo cha vurugu na fujo zote Duniani. Kwa ufupi tu Marekani, Israel na baadhi ya nchi za Magharibi mf. Uingereza; ndiyo chanzo kikuu cha vita, vurugu, na fujo zote zinazotokea hapa Duniani.
Na ndiyo maana yanatambulika pia kama Mataifa ya uovu (Evil Nations). Hayo Mataifa yanapenda muda wote Dunia iwe katika vita, mauaji, vurugu, ushetani, shida, taabu, na mateso tele kwa raia.
Very sensible question.Kati ya Urusi na Ukraine ni nani mvamizi? Tuanzie happy kwanza.
Urusi mpaka inapewa msaada wa kifedha toka nchi za Magharibi halafu iwe tishio? Urusi ana nini cha pekee zaidi ya makombora ya nuklia?RUSSIA ni existential threat kwa himaya ya magharibi inayoongozwa na US.
Hiyo principle inge apply pande zote ingeeleweka. US alipoivamia Iraq, Bush aliiambia dunia kwamba "you are either with us or against us".Hizo nchi zinaisaidia Ukraine kwa uwazi kabisa kwa sababu ni jambo jema. Wanaisaidia Ukraine ili imwondoe mvamizi nchini mwake.
Ukiisaidia Urusi maana yake unaisaidia iendelee na uvamizi wake.
Kama jirani yako akivamiwa na jambazi, unayemsaidia huyo jirani kwani utafanya kwa kificho? Lakini ukiamua kulisaidia jambazi, unadhani utafanya kwa uwazi?
Mambo yote mabaya hufanywa kwa kificho, bali mambo mema hufanywa kwa uwazi, na utataka hata watu wengine watambue ulichokifanya.