Kwanini nchi za Magharibi zinaisaidia Ukraine silaha bila kificho lakini huzishutumu nchi zingine zinazoisaidia Urusi?

kwa hiyo wewe mtoa mada, nchi yako ikivamiwa ikaomba misaada na kusaidiwa, je watakaokusaidia watakuwa wanafanya kosa?.. 🤔🤔🤔
Kuvamiwa na kuomba msaada huku chanzo kikifahamika wazi ni jambo lingine na kivamia kwa UBABE pasipo sababu zinazoeleweka km ilivyokuwa kwa Idd Amin nalo ni jambo lingine.

Mbona hata wakati wa vita vya Kagera Idd Amin alipata misaada mbalimbali km slaha na wapiganaji toka Mataifa totauti tofauti ikiwemo Libya tena mchana kweupe ukiachilia mbali ukweli kuwa Idd Amin ndiye alikuwa mchokozi(Hii ni kwa mjibu wa Watanzania).

Ukweli unabaki tu kuwa EU, NATO, Marekani ni blood thirsty. Na waba UBABE wa kijinga. Nadhani awamu hii watakiona Cha mtemakuni.
 
Kwanza tuanzie hapa hii ni vita vya Putin na Ukraine alianzisha kwa sababu anachuki na Ukraine baada ya kibaraka wake Putin kufurumushwa kwa maandamano na Putin anataka kuiteka Ukraine na kumpandikiza kibaraka wake mwingine
Tungekuwa tuna utaratibu za kujisomea na kufuatilia mambo hili la Urusi na Ukraine lisingekuwa linatutia hekaheka
 
Kuvamiwa na kuomba msaada huku chanzo kikifahamika wazi ni jambo lingine na kivamia kwa UBABE pasipo sababu zinazoeleweka km ilivyokuwa kwa Idd Amin nalo ni jambo lingine.

Mbona hata wakati wa vita vya Kagera Idd Amin alipata misaada mbalimbali km slaha na wapiganaji toka Mataifa totauti tofauti ikiwemo Libya tena mchana kweupe ukiachilia mbali ukweli kuwa Idd Amin ndiye alikuwa mchokozi(Hii ni kwa mjibu wa Watanzania).

Ukweli unabaki tu kuwa EU, NATO, Marekani ni blood thirsty. Na waba UBABE wa kijinga. Nadhani awamu hii watakiona Cha mtemakuni.
Umetoa mfano mzuri ila hujui kuuelezea.

Ok , Kwa mfano huo wa Vita ya Uganda na Tz, kama Tz ingelikuwa na silaha pamoja na man power ndogo ikaamua kuomba msaada U.S.A na kusaidiwa.

Je kati ya waliomsaidia Tz na waliomsaidia Uganda (uliowataja) nani angekuwa anafanya vibaya (Udharimu) na anastahili adhabu.?

Yaani kati ya wanaomsaidia mvamizi (ug) au wanaomsaidia anayetetea ardhi yake iliyovamiwa ya kagera (Tz) ?
 
Hao waliokuwa wanamsaidia Idd Amin km walikuwa wanafanya vibaya kwa nini hawakuwajibishwa na Marekani, au Marekani haikuwepo au waliona vita ile haikuwa na maslahi kwao au Marekani Ina double standards.
 
Kabla ya Zelesky nani alikuwa rais na alitokaje...kabla ya Poroshenko. Unajua kuhusu makubaliano wa Minsk?
Tatizo watu wanaenda na upepo wa ushaabiki. Hawajisomei na hawafuatilii. Hili ulilosema niliwahi kulisena hapa. Urusi sio wajinga kujiingiza ktk vita bila kuwa na lengo na sababu za haja.
 
Leo zaidi ya mwaka kaikalia Ukraine, hao wababe wanashindwa nini kumfurusha na kumng'oa kama walivyofanya kwa Hitler?

Sasa kaka kwan Hitler alitolewa ndan ya mwaka mmoja

Hitler kaikalia nusu ya ulaya kwa miaka zaid ya miwili hadi akaanzisha na viwanda na kuwageuza wazungu wa tumwa kwenye ardhi zao..na ilibid na Allied force waliingia Ujeruman kupitia pande zote

Na waliingia kumtoa hitler baada ya hitler kusema anaingia kutawalankila Nchi.. ila Hitler angebakia na poland labda na Ufaransa tu basi angetawala miaka mingi tu ila alipoanzisha vita na Mrusi huku anamlia timing muitaliano ndo ilabid wamchape.. so vita ya Hitler ni sababu alitaka kutawala ulaya.. ndo maana miaka ya mwanzo ya vita Uingereza na mrusi waliswma
Wao wako neutral.

Simshabikii yoyote kati ya mmarekan na mrusi wote nawaona wakandamizaji ila Putin kaleta ushamba wenzie siku hz vita inaanza kupiganwa kiteknolojia na kiuchumi kabla ya mabunduki.. enzi ya kuvurumisha mavifaru bila sababu imepitwa.. nchi za ulaya zimefanya Silaha biashara wanatengeneza kuuza wanachochea civil war waize silaha waxhume malighaf hawana na hata wakienda vitan watataka waende kwa pamoja kuminimize gharama kwa nchi mmoja

Haitatokea marekan na washirika wake wakaingi kwenyw hiyo vita Amin nakwambia labda Mrusi aanzishe shambulio kwenye moja ya hizo nchi za Nato kama alivyofanya Hitler

Na mrusi sio mjinga putin anajua akishambulia nchi yoyote ya nato basi automaticaly kaanzisha vita ya 3 ya dunia.. na hakuna anaetaka hayo mambo maana wote Mrusi na Nato wanajua ukishaingia mazima Vitan itakucost na utapigwa gape la kiuchumi na wenzio matokeo yake utakuwa tegemez na utanyonywa zaid maana hutakuwa na leverage yoyote

Sio kwamba Mrusi hawez tumia silaha kubwa ukrane ila anajua gharama zitakuwa kubwa kiuchumi na anaona its not worthy it

Kwa kifupi wote hawatak vita iishe sio Nato wala mrusi kila mmoja anakula timing kwa mwenzie.. hapo kila mmoja anasubir mwenzie uchumi Uyumbe aombe poo

Mrusi anapigania malighaf Ukrane ili amiliki USA na washirika wake nao the same.. uongo wa putin kuwa Anaingia ukrane sababu alikuwa anataka kujiunga nato mbona majira. Wengine wamejinga na wako jiran zaid tena mipaka
Mikubwa kuliko wa Ukraine... hapo no mafuta na uranium ndo unagombaniwa
 
blah blah blah
 
Tatizo watu wanaenda na upepo wa ushaabiki. Hawajisomei na hawafuatilii. Hili ulilosema niliwahi kulisena hapa. Urusi sio wajinga kujiingiza ktk vita bila kuwa na lengo na sababu za haja.
Correction. Vita bado. Hii ni operation maalum ya kuondoa wahalifu. Ndio maana Urussi IPO linient and human wanavyoendesha. Otherwise wakiamua Hata Zelesky anakufa mara moja.
 
Marekani na washirika wake ndiyo chanzo cha vurugu na fujo zote Duniani. Kwa ufupi tu Marekani, Israel na baadhi ya nchi za Magharibi mf. Uingereza; ndiyo chanzo kikuu cha vita, vurugu, na fujo zote zinazotokea hapa Duniani.
Hao ndio mawakala wakuu wa shetani duniani.
 
kilicho sababisha Marekani aende Iraqi, Syria, Afghanstan, Cossovo ninini???[emoji101][emoji101]
Kuondoa uovu wa ma-dictetor au kupeleka uovu??
Haya sasa, kumbe wewe hapo hicho ndicho unachoamini? "Kuondoa uovu wa wa ma-dikteta"?

Hao ma-dikteta walifanyia uovu gani Marekani hadi ikalazimu waende kuwaondoa huko mbali walipo?

Kwa mtu mwenye uamini kama huu wako kumueleza hadi aelewe kwa nini nchi za magharibi zinahaha kama zinavyofanya sasa hadi aelewe ni kazi ngumu sana kuifanya.
Ushauri wangu kwako ni huu: Jaribu kupanua wigo wa ufahamu wako wa mambo ya kidunia na mifumo yake.. Usibaki umebweteka kwa kusikiliza propaganda hafifu kama hizi zinazoonekana kukuzoa akili yote.
 
Mambo yao waachie wenyewe...
Duh!

Nimejaribu kuunganisha maana ya jina lako na haya uliyo andika hapa, ikashindikana!

Wakikuweka utumwani, bado utadai ni mambo yao "waachie wenyewe"! Kweli nchi hii tunarudi kinyume nyume, badala ya kusonga mbele.
 
Haya sasa, kumbe wewe hapo hicho ndicho unachoamini? "Kuondoa uovu wa wa ma-dikteta"?

Hao ma-dikteta walifanyia uovu gani Marekani hadi ikalazimu waende kuwaondoa huko mbali walipo?

Kwa mtu mwenye uamini kama huu wako kumueleza hadi aelewe kwa nini nchi za magharibi zinahaha kama zinavyofanya sasa hadi aelewe ni kazi ngumu sana kuifanya.
Ushauri wangu kwako ni huu: Jaribu kupanua wigo wa ufahamu wako wa mambo ya kidunia na mifumo yake.. Usibaki umebweteka kwa kusikiliza propaganda hafifu kama hizi zinazoonekana kukuzoa akili yote.
Nipanue ufahamu gani wakati kina sadam, gadafi and the like waliwaua raia zao bila huruma!¿
Umesahau hata kisa cha lockerbie ndege aliyo ilipua gadafi na kuua wazungu mia mbili na zaidi??
ww unafahamu baba shabani mkorofi afu unampigia mwanae atakuacha eeh?!
 
Naona hao ndugu zako unaowaamini sana wamekuchota akili hata usitambue kitu.

Kwa hiyo hao jamaa zako ni "wapigania uhuru wa wanyonge" wanaominywa chini ya udikteta!
Hesabu zako ndiyo hapo zinapoishia, basi? Huna uwezo kabisa wa kutanua akili yako na kujua wanachokitafuta hao watu wako?

Mbona akili yako ni kama imefungwa mnyororo mzito sana!
 
Back
Top Bottom