Leo zaidi ya mwaka kaikalia Ukraine, hao wababe wanashindwa nini kumfurusha na kumng'oa kama walivyofanya kwa Hitler?
Sasa kaka kwan Hitler alitolewa ndan ya mwaka mmoja
Hitler kaikalia nusu ya ulaya kwa miaka zaid ya miwili hadi akaanzisha na viwanda na kuwageuza wazungu wa tumwa kwenye ardhi zao..na ilibid na Allied force waliingia Ujeruman kupitia pande zote
Na waliingia kumtoa hitler baada ya hitler kusema anaingia kutawalankila Nchi.. ila Hitler angebakia na poland labda na Ufaransa tu basi angetawala miaka mingi tu ila alipoanzisha vita na Mrusi huku anamlia timing muitaliano ndo ilabid wamchape.. so vita ya Hitler ni sababu alitaka kutawala ulaya.. ndo maana miaka ya mwanzo ya vita Uingereza na mrusi waliswma
Wao wako neutral.
Simshabikii yoyote kati ya mmarekan na mrusi wote nawaona wakandamizaji ila Putin kaleta ushamba wenzie siku hz vita inaanza kupiganwa kiteknolojia na kiuchumi kabla ya mabunduki.. enzi ya kuvurumisha mavifaru bila sababu imepitwa.. nchi za ulaya zimefanya Silaha biashara wanatengeneza kuuza wanachochea civil war waize silaha waxhume malighaf hawana na hata wakienda vitan watataka waende kwa pamoja kuminimize gharama kwa nchi mmoja
Haitatokea marekan na washirika wake wakaingi kwenyw hiyo vita Amin nakwambia labda Mrusi aanzishe shambulio kwenye moja ya hizo nchi za Nato kama alivyofanya Hitler
Na mrusi sio mjinga putin anajua akishambulia nchi yoyote ya nato basi automaticaly kaanzisha vita ya 3 ya dunia.. na hakuna anaetaka hayo mambo maana wote Mrusi na Nato wanajua ukishaingia mazima Vitan itakucost na utapigwa gape la kiuchumi na wenzio matokeo yake utakuwa tegemez na utanyonywa zaid maana hutakuwa na leverage yoyote
Sio kwamba Mrusi hawez tumia silaha kubwa ukrane ila anajua gharama zitakuwa kubwa kiuchumi na anaona its not worthy it
Kwa kifupi wote hawatak vita iishe sio Nato wala mrusi kila mmoja anakula timing kwa mwenzie.. hapo kila mmoja anasubir mwenzie uchumi Uyumbe aombe poo
Mrusi anapigania malighaf Ukrane ili amiliki USA na washirika wake nao the same.. uongo wa putin kuwa Anaingia ukrane sababu alikuwa anataka kujiunga nato mbona majira. Wengine wamejinga na wako jiran zaid tena mipaka
Mikubwa kuliko wa Ukraine... hapo no mafuta na uranium ndo unagombaniwa