Leo zaidi ya mwaka kaikalia Ukraine, hao wababe wanashindwa nini kumfurusha na kumng'oa kama walivyofanya kwa Hitler?Urusi mpaka inapewa msaada wa kifedha toka nchi za Magharibi halafu iwe tishio? Urusi ana nini cha pekee zaidi ya makombora ya nuklia?
Mkubwa mkubwa tu , na lazima fanya afanyavyo USA maana ni mkubwaKama kichwa cha thread kinavyoonesha, sishabikii vita ila inaonekana nchi za Magharibi na Marekani ni tishio sana kila anaemsaidia Urusi hufanya hivyo kisiri siri!. West hujiona wapo sahihi kwa Kila kitu na wanataka mtazamo/maadili yao uwe mtazamo wa dunia yote.
Hivi dunia haiwezi kuwepo bila vita Kila kona? Huyu anapigana na yule hawa wanapigana wenyewe Kwa wenyewe ili mradi tafrani.
Mkimaliza mniiteYepi na yepi? Wewe ukiambiwa Urusi anasaidiwa silaha na NK, Iran na SA, CN utaamini? That theory never holds kwani hukumbuki US kuvamia Iraq, Libya nani na nani waliwasaidia silaha wale mataifa hayo?
Wakiingia vitani moja kwa moja, inaweza kusababisha janga la Dunia. Fahamu kuwa Russia ana silaha za nuklia, na Putin ni Rais dikteta ambaye ameua wapinzani wake wengi na amewaweka ndani wapinzani wake wengi.Leo zaidi ya mwaka kaikalia Ukraine, hao wababe wanashindwa nini kumfurusha na kumng'oa kama walivyofanya kwa Hitler?
Kwa nini alianzisha vitaUrusi ndie aliyeanzisha vita vya kichokozi visivyo na mashiko kwa kuivamia Ukraine na kuteka maeneo ya Ukraine na kufanya uharibifu na ukatili mkubwa sasa uliona watu anasaidiwa mvamizi kumpiga mwasithiriwa
Ngoja tuone mwisho nani ataibuka mshindi, combined west dhidi ya taifa maskini la urusi.Wakiingia vitani moja kwa moja, inaweza kusababisha janga la Dunia. Fahamu kuwa Russia ana silaha za nuklia, na Putin ni Rais dikteta ambaye ameua wapinzani wake wengi na amewaweka ndani wapinzani wake wengi.
Mtu katili hawezi kuona shida kuangamiza Dunia. Madikteta sifa moja kubwa waliyo nayo ni kutokubali kushindwa. Putin ana uhakika kuwa hayo mataifa ya Magharibi yakiingia vitani dhidi yake, lazima watampiga, na silaha pekee atakayoitegemea ni nuklia. Ndiyo maana mataifa haya ya Magharibi wameamua kutoa usaidizi wa silaha kwa Ukraine, na siyo wao kuingia vitani moja kwa moja dhidi ya Russia. Wanataka wamwangamize taratibu bila ya kuwepo kwa janga la Dunia. Nchi pekee imayoumizwa zaidi ni Ukraine maana uhai wa watu hauna mbadala.
Lakini kwa vyovyote vile, vita hii itaiumiza sana Urusi kwa miaka mingi. Haya mataifa ya Magharibi yanatoa ziada kuisaidia Ukraine, Russia anatumia kile ambacho kinahitajika sana kwaajili ya maendeleo ya watu wake. Angalia makampuni yalivyo mengi yaliyoondoka Russia, vijana wengi wenye ujuzi walivyomimbia Russia, silaha nyingi anazoendelea kuzitumia, n.k.
Urusi itapewaje Silaha na humu Ndani Watu wanaishabikia kama taifa Kubwa lenye Silaha za Maangamizi?Kama kichwa cha thread kinavyoonesha, sishabikii vita ila inaonekana nchi za Magharibi na Marekani ni tishio sana kila anaemsaidia Urusi hufanya hivyo kisiri siri!. West hujiona wapo sahihi kwa Kila kitu na wanataka mtazamo/maadili yao uwe mtazamo wa dunia yote.
Hivi dunia haiwezi kuwepo bila vita Kila kona? Huyu anapigana na yule hawa wanapigana wenyewe Kwa wenyewe ili mradi tafrani.
Nimekaririshwa na nani, au mahaba ya nini! Huo ndiyo ukweli. Marais wengi wa Marekani wanaingizwa madarakani na makampuni yao ya kuzalisha na kuuza silaha.Sio kweli umekaririshwa au mahaba...
Akili yako haina akili, Kwamba wewe hujui kuwa Ukraine imevamiwa? Na kwa mjibu wa Umoja wa maazimio ya Umoja wa Mataifa nchi inayovamiwa inapaswa kusaidiwa silaha ili kujilinda? Na vile vile kwa mjibu wa maazimio ya Umoja wa Mataifa kumsaidia Mvamizi ni kosa , na Bwana Vikwazo atakuwekea Vikwazo?Kama kichwa cha thread kinavyoonesha, sishabikii vita ila inaonekana nchi za Magharibi na Marekani ni tishio sana kila anaemsaidia Urusi hufanya hivyo kisiri siri!. West hujiona wapo sahihi kwa Kila kitu na wanataka mtazamo/maadili yao uwe mtazamo wa dunia yote.
Hivi dunia haiwezi kuwepo bila vita Kila kona? Huyu anapigana na yule hawa wanapigana wenyewe Kwa wenyewe ili mradi tafrani.
Umeandika kifupi sana, na karibu majibu yote ukayatoa humo humo kwenye andiko hilo fupi, na hapo hapo ukajibu swali lililomo kwenye kichwa cha mada.Kama kichwa cha thread kinavyoonesha, sishabikii vita ila inaonekana nchi za Magharibi na Marekani ni tishio sana kila anaemsaidia Urusi hufanya hivyo kisiri siri!. West hujiona wapo sahihi kwa Kila kitu na wanataka mtazamo/maadili yao uwe mtazamo wa dunia yote.
Hivi dunia haiwezi kuwepo bila vita Kila kona? Huyu anapigana na yule hawa wanapigana wenyewe Kwa wenyewe ili mradi tafrani.
Hebu tafakari bro kilicho sababisha Marekani aende Huko Iraqi, Syria, Afghanstan, Cossovo ninini???[emoji101][emoji101]Nimekaririshwa na nani, au mahaba ya nini! Huo ndiyo ukweli. Marais wengi wa Marekani wanaingizwa madarakani na makampuni yao ya kuzalisha na kuuza silaha.
Na silaha hizo hutumika katika vita mbalimbali duniani. Wamefanya hivyo Vietnam, Korea, Iraqi, Syria, Afghanstan, Cossovo, na hata sasa wanaunga mkono mgogoro wa Urusi na Ukraine kwa kuisaidia silaha Ukraine.
Marekani ni Taifa la uovu na uharibifu.Hebu tafakari bro kilicho sababisha Marekani aende Huko Iraqi, Syria, Afghanstan, Cossovo ninini???[emoji101][emoji101]
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
kilicho sababisha Marekani aende Iraqi, Syria, Afghanstan, Cossovo ninini???[emoji101][emoji101]Marekani ni Taifa la uovu na uharibifu.
Ungekuwa unafahamu unafiki na u double standard wa Taifa la Marekani na Marais wake, hata usingeuliza hili swali lako.kilicho sababisha Marekani aende Iraqi, Syria, Afghanstan, Cossovo ninini???[emoji101][emoji101]
Kuondoa uovu wa ma-dictetor au kupeleka uovu??
Unaweza kutwambia alianza kwa sababu gani. Tungekuwa tuaongea kwa kuweka ushaabiki pembeni, ukweli ungekuwa una tamalaki. Kibaya zaidi tunaangalia tukio Wala hatufuatilii chanzo chake.Urusi ndie aliyeanzisha vita vya kichokozi visivyo na mashiko kwa kuivamia Ukraine na kuteka maeneo ya Ukraine na kufanya uharibifu na ukatili mkubwa sasa uliona watu anasaidiwa mvamizi kumpiga mwasithiriwa
Anataka kuiteka Ukraine na kumuondoa Zelesky alichaguliwa kidemocrasia na kumpandikiza kibaraka wakeKwa nini alianzisha vita
Kwanza tuanzie hapa hii ni vita vya Putin na Ukraine alianzisha kwa sababu anachuki na Ukraine baada ya kibaraka wake Putin kufurumushwa kwa maandamano na Putin anataka kuiteka Ukraine na kumpandikiza kibaraka wake mwingineUnaweza kutwambia alianza kwa sababu gani. Tungekuwa tuaongea kwa kuweka ushaabiki pembeni, ukweli ungekuwa una tamalaki. Kibaya zaidi tunaangalia tukio Wala hatufuatilii chanzo chake.
Hivyo vikundi vimeanzishwa na uingereza na marekaniUmeandika kishabiki sana ndugu yangu.
Siyo kweli kwamba vita vyote vinavyotokea duniani huanzishwa na nchi za magharibi, hizo ni chuki zako tu.
Vipi vile vikundi vyenye misimamo mikali ya kidini kama vile Alshabab, Boko Haram, Is, nk ?