#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

India walikuwa wanatoa takwimu. Naona wewe uko zaidi kwenye ile watu wanafariki mpaka huduma za hospital na mazishi zinaelemewa. Lakini kumbuka bado kunaweza kuwa na idadi kubwa kiasi ya wagonjwa na vifo na usione athari! Nchi kama Tanzania wakifariki wastani wa wagonjwa wawili kwa siku, katika kila mkoa kwa muda labda wa miezi mitatu hutaweza kuona athari kama zile za India lakini bado ni idadi kubwa ya watu. Mambo ya vifo kwenye nchi bila takwimu ni ngumu sana kujua ukubwa wake. Kwa mfano, kwa hali ya kawaida kabla ya korona, Tanzania ungeweza kukaa mwezi mzima bila kusikia mtu unayemjua amefariki, lakini hii haiondoi ukweli kwamba kuna watu wengi wanakufa kila siku.
Kwa namna c19 inavyopambwa na hayo mataifa makubwa,ukilinganisha na maisha halisi ya tz tungeshaisha wote.... Hiyo kitu itakua sio ishu kubwa kwa wa africa ndugu hata haya mataifa yanayotangaza wagonjwa ni kutafuta namna ya kupiga hela za misaada lakini pia ni pamoja na kuogopa kwenda kinyume na mataifa makubwa. Katika historia ya dunia iliyopo mpaka sasa hakuna mahali utakuta mzungu kakubali kuwa mtu mweusi ni superior katika ishu yeyote ile,,,, hawawez kubali kuwa ss n bora kuliko wao katika jambo lolote lile.....
Mm ninaamin magonjwa haya ya mfumo wa upumuaji, africans tupo stronger than them na hawawez kubali hilo
Hii n kutokana na kuwa na kinga imara maana sisi hula chakula fresh na natural kuliko wao hivyo tuna kinga imara zaid kuliko wao, hali ya hewa iliyo bora pia ni moja ya sababu zinazotufanya tuwe bora kiafya kuliko wao.
Wakiamua lao hao lazima walitimize hata mgonjwa wa malaria, kifua kikuu, nk kuandikiwa wamekufa kwa c19 ili kuongeza oanic inawezekana.....
Kama kufa tufe tu ila masuala ya kufungiwa ndani au kulazimishwa chanjo yakae mbali,,,, bado nina waswas na hao watakaotumia chanjo, sidhan kama watabaki salama, wasije wakawa carrier wa ugonjwa hapo baadae
 
Hivi unajua kuwa ukichanjwa chanjo ya India ULAYA na NORTH AMERIKA HUENDI??

They consider it as weak and meant for third world countries.

kuna baadhi ya chanjo zimepigwa narufuku kwenye baadhi ya mataifa makubwa

Ulaya kwenyewe kuna nchi zinatengeneza chanjo zao
Ndio maana nimekwambia chanjo za bei ya chini au ya bure haina ufanisi ,hao wahindi wamepewa patent right ya kutengeneza copy ya chanjo za wazungu kwa hiyo hawaaminiki .Inamaana kama una Kinga dhaifu hata chanjo dhaifu hazitakusaidia.By the way chanjo kamili ni dozi 3 sasa kadozi kamoja hakawezi kufua dafu kwenye virusi wanaobadilika Sana.
 
Nilijua tu huwezi kua na majibu,achana na hii mada sio size yako kabisa,au ulianzisha hii mada ili tu usisahaulike kua na wewe umo humu JF?
NISISAHAULIKE hapa nalipwa??? 🙂 🙂 🙂 🙂

Maswali yako hayana facts zozote TAKWIMU KATOA MKUU WA NCHI so HUMUAMINI??

Siku njema
 
Unajichanganya sana,hueleweki umesimama kwenye lipi hasa,yaani unaruka ruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla.
 
Kwa namna c19 inavyopambwa na hayo mataifa makubwa,ukilinganisha na maisha halisi ya tz tungeshaisha wote.... Hiyo kitu itakua sio ishu kubwa kwa wa africa ndugu hata haya mataifa yanayotangaza wagonjwa ni kutafuta namna ya kupiga hela za misaada lakini pia ni pamoja na kuogopa kwenda kinyume na mataifa makubwa. Katika historia ya dunia iliyopo mpaka sasa hakuna mahali utakuta mzungu kakubali kuwa mtu mweusi ni superior katika ishu yeyote ile,,,, hawawez kubali kuwa ss n bora kuliko wao katika jambo lolote lile.....
Mm ninaamin magonjwa haya ya mfumo wa upumuaji, africans tupo stronger than them na hawawez kubali hilo
Hii n kutokana na kuwa na kinga imara maana sisi hula chakula fresh na natural kuliko wao hivyo tuna kinga imara zaid kuliko wao, hali ya hewa iliyo bora pia ni moja ya sababu zinazotufanya tuwe bora kiafya kuliko wao.
Wakiamua lao hao lazima walitimize hata mgonjwa wa malaria, kifua kikuu, nk kuandikiwa wamekufa kwa c19 ili kuongeza oanic inawezekana.....
Kama kufa tufe tu ila masuala ya kufungiwa ndani au kulazimishwa chanjo yakae mbali,,,, bado nina waswas na hao watakaotumia chanjo, sidhan kama watabaki salama, wasije wakawa carrier wa ugonjwa hapo baadae
Mkuu umeongea vema saaana watu wanaaminishwa kitu ambacho mtaani kwao hawakioni

Ni kama "mzimu"
Mtu anashupalia uwepo wa KORONA ila muulize anashinda na BARAKOA atakudanganya sisi ndio tunakaa mtaani tunajiona tunavyoishi kwanini tunaaminishwa mambo ya mtaani kwetu na sisi wa kitaa hatuaoni???
 
Ndio maana nimekwambia chanjo za bei ya chini au ya bure haina ufanisi ,hao wahindi wamepewa patent right ya kutengeneza copy ya chanjo za wazungu kwa hiyo hawaaminiki .Inamaana kama una Kinga dhaifu hata chanjo dhaifu hazitakusaidia.By the way chanjo kamili ni dozi 3 sasa kadozi kamoja hakawezi kufua dafu kwenye virusi wanaobadilika Sana.
Unahisi tutapewa hizo DOZI 3?? bure
 
Unaiamini Serikali inayosema uongo wakati dhalimu magufuli yuko hoi bin taabani akikaribia kufa tukaambiwa yuko Ikulu anachapa kazi? 😳😳😳 View attachment 1837123
Hilo suala tushajadili sana humu na hakuna mwenye ukweli katika huo uongo wa serikali, ukiniambia kwamba Magufuli alikuwa anaumwa hoi wakati waziri mkuu anadai kuwa Magufuli yupo ofisini anachapa kazi lazima uniambie wewe umejuaje kuwa huo ndio ukweli? maana ni kawaida mgonjwa kumuona anaendelea vizuri na hadi akakupa matumaini ila baada ya muda hali ikachange. Ila pamoja na yote huo uongo wa serikali haufanyi uamini madai ya kwamba Magufuli kafa kwa corona bila kuwepo sababu ya msingi ya kuamini hivyo.
 
Unahisi tutapewa hizo DOZI 3?? bure
Za bure ziko humo kwa covax na pull ya who kuzipata hadi wazungu wajiridhishe kwao kuko salama ndio akina wenzangu na mie mfikiriwe.

Afu Chanjo zinatengenezwa na makampuni binafsi yamewekeza utaalam na teknolojia kwa hiyo cha bure hakipo tafuta pesa ununue nzuri. Nimesoma kwamba wanataka watoe vibali kwa Nchi 10 za Africa kama ilivyo India Ili tutengeneze wenyewe but kikwazo ni je serikali zina pesa za kununua? Utaalamu upo?
 
Who will pay this cost [emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]

Mzigo ushafika
FB_IMG_1625205932207.jpg
 
Waliruhusu kivipi? Hebu tumia akili zako banaaa! Acha KUDEMKA!!!!! Madaktari wapi walisomea kuhusu nyungu!? Kama walisomea kuhusu nyungu imekuwaje tena nyungu isitishwe? Na wewe unaamini eti mapapai yalipimwa hahahahahaha!!! Yule kubwa la waongo dhalimu mwendazake alikuwa anawakusanya Watanzania wengi sana kwa uongo wake.
Huwezi kuepuka uongo kwenye hizi issue za corona kuna vitu vingi inatumika siasa badala ya sayansi ila tatizo watu wanaangalia nani kasema na sio kilichosemwa kina ushahidi gani?
 
Evaluation ya jambo lolote hutolewa na kwa % ya jambo lenyewe

check this out
View attachment 1836742
Kiranja mkuu: Hizo ni % au absolute #? Me naona ni abs #. Lakini labda nikujuze,
Kuna namna tofauti ya kufanya evaluation, siyo lazima utumie % kufanya maamuzi..
Mfano, dunia ina watu takribani 7b, Deaths related to COVID-19 ni ~3,8m(0.05% of total population) total infected ni ~178m (2.5% of total population).. Deaths ni 2.1% of total infected. Kumbuka hii ni kwa mujibu wa takwimu zilizopo.. We all know kuna nchi hazijawa wazi.. Unataka kuignore hii 3.8m deaths kwasababu ni % ndogo?

So worldwide, COVID-19 is not as lethal as other previous epidemics but yet countries are taking all measures.

US pekee: Total infected ~33m, total deaths ~500,000.. Death rate is only 1.5%.. But look at this absolute #.

Unajua shelisheli ina total population kiasi gani? Hardly 100k.. Figure zako hapo zinaonesha wamekuwa infected ~14,000, which is 7%.. Ninafahamu death hazijafika 100 cases.

Generally, COVID-19 is not lethal

But what does epidemiological and public health projects and tells us? Kama wewe ndo mtaalam wa kushauri au ndo mqenye kufanya maamuzi, will you ignore COVID-19??
Nchini kwetu, observational surveillance imetuambia kitu with regard to COVID-19 trend and pattern..

Siku njema kiranja!

Takwimu zangu: As of June 21, 2021
 
Acha upumbavu banaaa!!!! Lile la nyungu lilikuwa ni SHINIKIZO la dhalimu mwendazake wewe!!!! Na kutaka kutuaminisha Watanzania kwamba hatuna haja ya chanjo. Watanzania tumetumia chanjo mbali mbali kwa miaka chungu nzima lakini yule dhalimu mwendazake kwa kuwa alikuwa na Phd FAKE akawaingilia hata madaktari watoe kauli alizotaka yeye tuzisikie vinginevyo wangempinga wangefukuzwa kazi. Tumia akili yako japo KIDUCHU.
Kwani wewe mkuu huwa unadhani madaktari wana mawazo huru?
 
Kiranja mkuu: Hizo ni % au absolute #? Me naona ni abs #. Lakini labda nikujuze,
Kuna namna tofauti ya kufanya evaluation, siyo lazima utumie % kufanya maamuzi..
Mfano, dunia ina watu takribani 7b, Deaths related to COVID-19 ni ~3,8m(0.05% of total population) total infected ni ~178m (2.5% of total population).. Deaths ni 2.1% of total infected. Kumbuka hii ni kwa mujibu wa takwimu zilizopo.. We all know kuna nchi hazijawa wazi.. Unataka kuignore hii 3.8m deaths kwasababu ni % ndogo?

So worldwide, COVID-19 is not as lethal as other previous epidemics but yet countries are taking all measures.

US pekee: Totsl infected ~33m, total deaths ~500,000.. Death rate is only 1.5%.. But look at tgis absolute #.

Unajua shelisheli ina total population kiasi gani? Hardly 100k.. Figure zako hapo zinaonesha wamekuwa infected ~14,000, which is 7%.. Ninafahamu death hazijafika 100 cases.

Generally, COVID-19 is not lethal

But what does epidemiological and public health projects and tells us? But hizo abs # ni ndogo? Do you want to ignore?
Nchini kwetu, observational surveillance imetuambia kitu with regard to COVID-19 trend and pattern..

Siku njema kiranja!

Takwimu zangu: As of June 21, 2021
Asante mkuu, ugonjwa upo ila sio tishio kama ulivyosema.

Tatizo ni mataifa ya ULAYA NA AMERIKA KUTULAZIMISHA KUCHANJWA
Siku njema pia mkuu
 
Sijasema siyo tishio mkuu.. Nimesema hausababishi vifo ukilinganisha na milipuko ya huko mwanzoni mwa 1900 au miaka ya zamani.. Na pia not lethal compared to ebola..
Lkn kwangu ugonjwa ni tishio sana.
Ofcz there is always the strong, who are destined to survive ktk kila hali.
Hata tusipochukua tahadhari yoyote, the strong shall survive.. Tupange.. Tuchague.
 
Pamoja sana mkuu
 
Back
Top Bottom