#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

Haya Madaktari walitakiwa waongee hadharani bila woga lakini hawana uhuru huo. Acha ubishi wa KITOTO/KIPUMBAVU.

BE WARNED

Stay at Home

From: A DOCTORS' GROUP KMA

Tafsiri ya haraka na Isaac Mruma.

UNAONYWA

Baki Nyumbani

KUTOKA KWA: MADAKTARI

Kirusi kimerudi, na wakati huu kimekuja na nguvu zaidi, mbinu za ziada na kwa kificho.

Hatukohoi, hakuna homa: ni maumivu tu ya viungo, kuishiwa nguvu, kupoteza hamu ya chakula na homa ya mapafu (nimonia) ya UVIKO (COVID)!
Kiukweli, idadi ya wanaofariki ni kubwa zaidi; ina chukua muda mfumo zaidi ugonjwa kufikia hali mbaya.
Wakati mwingine hakuna dalili za ugonjwa.. tuwe makini.

Hii ya sasa haijitokezi kwenye sehemu za pua na koo!
Inaathiri mapafu, hivyo inachukua muda mfupi zaidi.

Kuna wagonjwa kadhaa wasio na homa; lakini taarifa za X-ray zinaonyesha wana nimonia ya kifua!
Kipimo cha kupitia puani hakionyeshi UVIKO 19 (COVID 19)!

Hii inaonyesha kirusi kina kwenda moja kwa moja kwenye mapafu. Ndio maana hiki cha sasa ni hatari na kinaua zaidi.

Kuwa makini na epuka sehemu zenye mikusanyiko; vaa Barakoa, Nawa mikono yako mara kwa mara.

WIMBI hili la kirusi ni la hatari kuliko la kwanza na la pili. Hivyo tunawajibika kuwa makini sana na kuchukua tahadhari zote.

Sambaza ujumbe huu kwa watu wengi iwezekanavyo, kwa marafiki na Familia.

Tafadhali chukua tahadhari na uwe salama!

Copied from another group


Wapi walizika usiku maana ilisemwkana KIHONDA Morogoro Dk mkuu akaenda akauliza wananchi makaburi yalipo wakashindwa kuonesha.

Pia kumbuka unaongelea wimbi la kwanza ambalo ilikuja ikatikisa ikasepa zake MaziMa
 

Wapi walizika usiku maana ilisemwkana KIHONDA Morogoro Dk mkuu akaenda akauliza wananchi makaburi yalipo wakashindwa kuonesha.

Pia kumbuka unaongelea wimbi la kwanza ambalo ilikuja ikatikisa ikasepa zake MaziMa
 
We baki nyumbani na KORONA YAKO sisi tunashonana kesho kwa Mkapa
 
[emoji881][emoji881][emoji881]vs[emoji196][emoji196][emoji196]View attachment 1838065
Kipindi kile Magufuli ndio anatangaza hakuna corona na kufungulia mashule na shughuli zengine basi watu wakawa wanasikilizia matokeo yatakuaje kwa kuruhusu hiyo mikusanyiko, ila siku zilizidi kwenda na hakuna kilichotokea. Sasa hivi hiyo mikusanyiko washaizoea wenye sababu zao ni kwamba hatuna takwimu na kwamba corona haina athari kwa vijana kwamba Tanzania wazee wachache ndio maana hatuoni watu hospitali kujaa wagonjwa kwa sababu ya corona kwa sababu wazee ndio waathirika wa corona.
 
Endelea kujiaminisha ujinga. Wajinga ndivyo walivyo!! Yule mjinga mwingine aliamini ujinga wake na hakuchukua tahadhari zozote leo wanamuita mwendazake.
Kwahiyo waliyokufa na corona ni wale tu ambao hawakuchukua tahadhari?
 
Kama idadi wanaokufa ni wengi basi pia wagonjwa nao ni wengi huko hospitali.
 
Mawazo yako yamejadiliwa kwa urefu sana jion ya leo BBC na yamefafanuliwa kwa undani kwa kua ni hofu zinazoenezwa kwanza kwa propaganda na pili ni kama kujengana hofu
 
Nijifukize ili iweje wakati ugonjwa haupo,

Mkuu sema UKWELI WE UNASHINDA NA BARAKOA??? SEMA UKWELI sio tunabishana mitandaoni tu

Ukweli unaujua ila unataka kupotosha tu , nenda mloganzila utapata idadi ya wagonjwa wa korona , uliona clip ya mama samia mwananyamala?
 
Ukweli unaujua ila unataka kupotosha tu , nenda mloganzila utapata idadi ya wagonjwa wa korona , uliona clip ya mama samia mwananyamala?
Ile clip Mama anaambiwa wale ni wagonjwa wa matatizo ya kupumua ila yeye analazimisha kuambiwa ni covid.
 
Nchi ina vilaza wengi sana wenye akili za kushikiwa
 
Mawazo yako yamejadiliwa kwa urefu sana jion ya leo BBC na yamefafanuliwa kwa undani kwa kua ni hofu zinazoenezwa kwanza kwa propaganda na pili ni kama kujengana hofu
Aikusikiliza huo mjadala ila wako sahihi kwa mujibu wa ulichokieleza
 
Ukweli unaujua ila unataka kupotosha tu , nenda mloganzila utapata idadi ya wagonjwa wa korona , uliona clip ya mama samia mwananyamala?
Mkuu mi naishi maeneo hayo so naenda mara kwa mara pale NMB Mloganzila we ndio njoo kama utaona kosta zikiondoka na misiba kama mwaka jana "1wave"
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈ
 

Unajitahidi kupuyanga lakini bado una miss some point!!
Umri wa uzee ni kuanzia miaka 60 na kuendeleaβ€”-

Sasa kama ni hivo tuna wazee wangap wenye miaka ya 60-69 hapa
Tuje kwene 70-79
Unadhan nao n population ndogo kiasi kwamba wangekua wanakufa kama ulaya tusingeona impact?
Wazungu wenyewe wanakili kua africa corona haifanyi vizuri kwa death rate kama walivyo predict

Mwanzon walitabir corona ingeleta mamilion ya vifo africa kuliko bara lingine lolote!!! But africa has been a least
 

Wao cyo wana sayansi ndo maana wakatumia neno nafikiri fanya research yako afu uje upinge kwa research!!cyo unabwata

Huu n ugonjwa mpya hamna nchi ambayo imeujulia sawa sawa !!bado wana explore!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…