#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

[emoji1756][emoji1306][emoji1320][emoji1320] wasitupange bhana
 
Wao cyo wana sayansi ndo maana wakatumia neno nafikiri fanya research yako afu uje upinge kwa research!!cyo unabwata

Huu n ugonjwa mpya hamna nchi ambayo imeujulia sawa sawa !!bado wana explore!!
Wasitufanye.sisi panya wa majaribio


NEVER!!!!!!!!!
 
CORONA ni biashara tena ya wale wafanya biashara wakubwa in T&C Applied. Mwananchi wa hali ya kawaida hawezi kuelewa kwa haraka swala hili. Bei ya Masks&sanitizer inauzwaje kwenu? Kipimo cha PCR je? Vaccine itakuja wanaohitaji wataipata bure bwerere, lakini itafika mahali utauziwa hapo baadae tunning inaenda pole pole tu. Itafika pahala kama huna vaccine hutaweza ku gain access kwenye mambo kama safari na sehemu nyingine kama vyuo and other leisure issues. Nchi zenye uchumi wa chini/kati viongozi wake ni wakuangaliwa kwa makini before it turn to worse situation. NI wazi nchi ikikataa kuchukua vaccine private hospital/medical centers watachukua na tutauziwa hii mambo
 
Kuvaa mask kunaunyima mwili nafasi ya kujijengea kinga. Bisha halafu tuendelee kuanzia hapo.
 
Weka source ya hiyo habari . .Italy na Spain walikuwa wanakufa 3000 kwa siku covid 1st wave sasa wanaungia uwanjani kuangalia mpira then unasema chanjo haifanyi kazi...
 
Watanzania wengi bado mpo nyuma sana na habari za ulimwengu na hata kwenu,mnayojiuliza sasa yashajibiwa karibu mwaka sasa lakini bado mnarudia rudia yale yale.
1.Nchi ambazo zimechanja ugonjwa umepungua kwa kiasi kikubwa,maambukizi hayapeleki mtu hospital au kuua kumbuka hizi ni chanjo si dawa.
2.Chanjo kwa nchi nyingi zinatolewa bure na hata bongo washatangaza zitakuwa bure.
3.Huwezi kufananisha bongo na nchi nyingine kuhusu corona,kwa kusema bongo tunadunda ni upuuzi,Tunajua kuhusu taarifa za nchi nyingine sababu tunasoma takwimu zao,Bongo hamna takwimu ya corona,hatujui wangapi wamepimwa,hatujuia wangapi wapo hospitali,hatujui wangapi wanakufa kwa huu ugonjwa.hatujui,hatuwezi kujifananisha na nchi wanazojua.kusema tupo poa sababu hatuambiwi wangapi wanaumwa ni urofa,ni sawa na kusema usiku hakuna vumbi sababu tu hulioni.
 
Mi mwenywe nimeongea na ndg yangu mmoja yupo European, anadai kabla ya kuchanjwa alikuwa vizuri sana kiafya.ila alipochanjwa tuu mwili ukawa dhaifu sana.anakuwa hana nguvu za kutosha mwilini.pia alipochanjwa anadai akiweka chuma chochote kinanasa.sasa hyo ni chanjo au kuuana.pia anadai waliochanjwa ndio hufa zaidi.inasikitisha sana
 
We muongo mkubwa! Muogopeni Mungu watanzania.Europe gani hiyo unayozungumzia.??!
 
Yes this is typically a busimenss
 
Hatutaki TAKWIMU tunata kuona ATHARI za ugonjwa kwenye jamii tynapoishi.

VIFO HAVIFICHIKI.

Tuondolee UPUUZI WAKO
 
Duh amekuwa SUMAKU
 
Hatutaki TAKWIMU tunata kuona ATHARI za ugonjwa kwenye jamii tynapoishi.

VIFO HAVIFICHIKI.

Tuondolee UPUUZI WAKO
Ivo ukitembea unawaona wangapi wenye ukimwi?! Una akili za ajabu,ugonjwa unaonekana bila kupima? Au kama watu wanakufa we utajuaje? mfano kuna watu watatu wanakufa kwa corona mikoa kumi ya bongo we utapata habari vipi? Bila takwimu au maiti zinapimwa ?au unafikir hata uko kwenye idadi nyingi ya vifo maiti zinaonekna barabarani,
 
So the impact is insignificant sio??

Unang'ang'ana na TAKWIMU kama kipimo cha magnitute ya tatizo Huko Brazili na India huhitaji takwimu unaona watu wamejaa MAKABURINI WANAZIKANA.
 
Wazungu wamechanja sasa hivi wanaangalia mpira na mambo mengine yanaendelea...USA baada ya mwezi mmoja hii ishu wanadai itakua historia na Japan wamesema wana hofu itakuja covid mpaka level 5 sio kwamba kwao level 5 sasa hivi nadhani hapo ni tatizo la lugha kama ni level 5 ya japan taja na jina la 4 na hiyo 5 kama hii tatu wanaita delta..
 
Si umesikia pamoja na kuchanjwa ila maambuki yameongezeka kipindi hicha EURO 2021?
 
Kwani corona ipo basi, corona ni HOAX tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…