#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
 
Unaweza kulinganisha takwimu za wale ambao mambo Yao yako wazi na ninyi ambao zaidi ya tanzia hatuoni chochote
 
Wahi chanjo bado zipo tele
Tayari mimi siamini kama wazungu wakitaka kuniua watasubiri chanjo ya uviko ili Hali tuna machanjo kibao, sijui surua,ndui,pepopumba, mabusha,matende nk.
Madawa yote tunayomeza ya kwao kuanzia panadol mpaka, ukienda kufanya kipimo chochote syringe za kwao, swab nk.
Njiti za kuchokonilea Meno za kwao na huenda unatumia ARV ambazo pia za kwao, watoto wako unawakandia pampers ni kwao. Simu au monitor ya computer unayokodolea mimacho hapo ya kwao.
Mmeletewa maTV mnayaita 4k ni kwao, mwafrika unawezaje kumkwepa mzungu ili Hali wewe ni ombaomba?
Unalala kwenye chandarua kila siku material wamela wao, unavaa mitumba imetoka kwao. Acha wazungu watuokoe Sisi tuendelee kutengeza mitume na manabii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…