#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
Screenshot_20210806-100838_Chrome.jpg
 
Juzi Rais wa Rwanda katangaza kufunga vyuo na shule kuanzia 01.07.2021.

Kenya curfew imekuwa extended for 60 more days

Uganda Ligi kuu imelazimishwa kumalizika coz ya Covid.

Burundi, India, Brazil na nyingine mambo ni yaleyale.

Japan wametangaza WIMBI LA TANO [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]good for them because they're always ahead of time.

Tanzania mbona watu wanadunda tu mtaani bila tahadhali yoyote na hatuoni wagonjwa kama ilivyokuwa katika "wimbi" la kwanza?

Hatuoni Kila duka/ kibanda/ofisi kuwa na ndoo zenye maji na zinazotumiwa kikamilifu na kila mtumiaji.

Barakoa wanatumia watu wachache sana.

Vitakasa mikono huvioni kama zamani vilikuwa ninaning'inia kwenye luksi kama keyholder na kwenye mikono ya pochi za wanawake.

Ila matangazo kwa upande ya mataifa mbalimbali yamekomalia saana uwepo wa hii kitu hapa Tanzania.

Imagine MAMA juzi kasema Tanzania kuna wagonjwa 100 tu wa Corona.

100/50,000,000 = 0.0002% decimal round off equal to 0.000 or 2×10^-4 [emoji28][emoji28][emoji28]

Disco kama kawa, Mwendokasi kama kawa, Nyumba za Ibada kama kawa full nyomi. Daladala nyakati za asubuhi na jioni tunashonana kama kawa.

Kwa kuudhihirishia ulimwengu Bongo KORONA HAIPO WAJE KWA MKAPA 03.07.2021 washangae. Tunacheki game bila BARAKOA halafu tunaenda home kulala kiroho safi[emoji28][emoji28]

CORONA TZ HAMNA!

Kama mnataka fedha za COVAX fine, ila MSITUTISHE!

KWA HILI NASIMAMA NA DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.

===

Chanjo tunazopewa sasa bure ni weak and wao wenyewe hawazitumii ni kwa ajili ya kufubaza kinga zetu za asili ili the so called "NEXT WAVE" ikija tupukutike kama kuku wa mdondo and THEN CHANJO HALISI ZITAKUWA VERY EXPENSIVE.

HAPO NDIO TUTAKAPOPIGWA PESA MAANA ITAKUWA[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]

BUY IT OR DIE!

Wake up guys, hujiulizi kwanini tunabembelezwa kuchanjwa?

Mzigo ushawasili Bongo kazi kwenuView attachment 1837452


==========================
Updates

Ujinga qa wazungu huu hapa

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]View attachment 1882432View attachment 1882433
Unaweza kulinganisha takwimu za wale ambao mambo Yao yako wazi na ninyi ambao zaidi ya tanzia hatuoni chochote
 
Wahi chanjo bado zipo tele
Tayari mimi siamini kama wazungu wakitaka kuniua watasubiri chanjo ya uviko ili Hali tuna machanjo kibao, sijui surua,ndui,pepopumba, mabusha,matende nk.
Madawa yote tunayomeza ya kwao kuanzia panadol mpaka, ukienda kufanya kipimo chochote syringe za kwao, swab nk.
Njiti za kuchokonilea Meno za kwao na huenda unatumia ARV ambazo pia za kwao, watoto wako unawakandia pampers ni kwao. Simu au monitor ya computer unayokodolea mimacho hapo ya kwao.
Mmeletewa maTV mnayaita 4k ni kwao, mwafrika unawezaje kumkwepa mzungu ili Hali wewe ni ombaomba?
Unalala kwenye chandarua kila siku material wamela wao, unavaa mitumba imetoka kwao. Acha wazungu watuokoe Sisi tuendelee kutengeza mitume na manabii.
 
Back
Top Bottom