EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #101
We jamaa unaishi wapi, Tanzania hii au nga'ambo?Wataalamu wamefanya utafiti wa kina kuhusu barakoa hawa KUKURUPUKA tu bila utafiti wowote. Na barakoa zimesaidia sana kupunguza maambukizi katika nchi nyingi duniani vinginevyo bila barakoa idadi ya maambukizi na vifo ingekuwa kubwa sana hata kufikia 50 millions au zaidi duniani kote. View attachment 1837122
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa mkuuWajanja tulishashtukia mchezo kitambo sana, tumebaki kuwashuhudia wademkaji tunawa zoom kwa mbaaaali...
Hivi ni dalili ipi inayokufanya kukubaliana na madai ya kwamba Magufuli alikufa kwa corona? ndio hiyo hoja ya kwamba ukidharau corona utakufa na corona?
Hebu nisaidie na mimi niweze kujua nyie wenzangu mmeona dalili gani katika kifo chake hadi mnasema kinahusika na na corona ?
Ulanzihaya mwanasayansi hujui mechanism ya generation ya virus before 72 hours, MAMA na mzee wapo sahihi, na wasingekuwa sahihi nani hakuona dalili za covid vipi amekufa? HOFU HOFU HOFU, bora niogope malaria au ukimwi si coromea hukohuko
Upo sawa sawia mkuu👏!Juzi Rais wa Rwanda katangaza kufunga vyuo na shule kuanzia 01.07.2021
Kenya curfew imekuwa extended for 60 more days
Uganda Ligi kuu imelazimishwa kumalizika coz ya Covid
Burundi, India, Brazil na nyingine mambo ni yaleyale.
Tanzania mbona watu wanadunda tu mtaani bila tahadhali yoyote na hatuone wagonjwa kama ilivyokuwa katika "wimbi" la kwanza?
Hatuoni Kila duka/ kibanda/ofisi kuwa na ndoo zenye maji na zinazotumiwa kikamilifu na kila mtumiaji.
Barakoa wanatumia watu wachache saaana
vitakasa mikono huvioni kama zani vilikuwa ninaning'inia kwenye luksi kama keyholder, mikono ya pochi za wanawake.
Ila matangazo kwa upande ya mataifa mbalimbali yamekomalia saana uwepo wa hii kitu hapa TZ
imagine MAMA juzi kasema TZ kuna wagonjwa 100 tu
100/50,000,000 = 0.0002%
DISCO, kama kawa, mwendokasi kama kawa, njumba za Ibada kama kawa full nyomi .
na kwa kuudhihirishia ulimwengu waje KWA MKAPA 03.07.2021 washangae
CORONA TZ HAMNA. kama mnataka fedha za COVAX fine ila MSITUTISHE!!!!!
KWA HILI NASIMAMA NA DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
=================================
Chanjo tunazopewa sasa bure ni weak and wao wenyewe hawazitumii ni kwa ajili ya kufubaza kinga zetu za asili ili the so called "NEXT WAVE" ikija tupukutike kama kuku wa mdondo and THEN CHANJO ZITAKUWA VERY EXPENSIVE.
HAPO NDIO TUTAKAPOPIGWA PESA MAANA ITAKUWA[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
BUY OR DIE!!!!!
Wake up guys, hujiulizi kwanini tunabembelezwa kuchanjwa??
We jamaa unaishi wapi, Tanzania hii au nga'ambo?
Wapo na mabarakoa kila mahali, hadi kwenye kupiga msosi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa mkuu
CCM hawa hawa waliosema HAKUNA korona enzi za JIWE saivi WANAVAA KININJA
Upo sawa sawia mkuu👏!Juzi Rais wa Rwanda katangaza kufunga vyuo na shule kuanzia 01.07.2021
Kenya curfew imekuwa extended for 60 more days
Uganda Ligi kuu imelazimishwa kumalizika coz ya Covid
Burundi, India, Brazil na nyingine mambo ni yaleyale.
Tanzania mbona watu wanadunda tu mtaani bila tahadhali yoyote na hatuone wagonjwa kama ilivyokuwa katika "wimbi" la kwanza?
Hatuoni Kila duka/ kibanda/ofisi kuwa na ndoo zenye maji na zinazotumiwa kikamilifu na kila mtumiaji.
Barakoa wanatumia watu wachache saaana
vitakasa mikono huvioni kama zani vilikuwa ninaning'inia kwenye luksi kama keyholder, mikono ya pochi za wanawake.
Ila matangazo kwa upande ya mataifa mbalimbali yamekomalia saana uwepo wa hii kitu hapa TZ
imagine MAMA juzi kasema TZ kuna wagonjwa 100 tu
100/50,000,000 = 0.0002%
DISCO, kama kawa, mwendokasi kama kawa, njumba za Ibada kama kawa full nyomi .
na kwa kuudhihirishia ulimwengu waje KWA MKAPA 03.07.2021 washangae
CORONA TZ HAMNA. kama mnataka fedha za COVAX fine ila MSITUTISHE!!!!!
KWA HILI NASIMAMA NA DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
=================================
Chanjo tunazopewa sasa bure ni weak and wao wenyewe hawazitumii ni kwa ajili ya kufubaza kinga zetu za asili ili the so called "NEXT WAVE" ikija tupukutike kama kuku wa mdondo and THEN CHANJO ZITAKUWA VERY EXPENSIVE.
HAPO NDIO TUTAKAPOPIGWA PESA MAANA ITAKUWA[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
BUY OR DIE!!!!!
Wake up guys, hujiulizi kwanini tunabembelezwa kuchanjwa??
Kama upo TZ utajua ninachokizungumza na sio NADHARIA za media na the so called viongozi wako.Hebu acha maswali ya kipuuzi!!! Mahali ninapoishi panahusu nini na ninachoandika humu?
Hawa hawa ndio wanakuambia kuna KORONA na unawaamini.Unaiamini Serikali inayosema uongo wakati dhalimu magufuli yuko hoi bin taabani akikaribia kufa tukaambiwa yuko Ikulu anachapa kazi? [emoji15][emoji15][emoji15] View attachment 1837123
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1303][emoji1756][emoji1319]Ulanzi
Amina mkuuUpo sawa sawia mkuu[emoji122]!
Kama upo TZ utajua ninachokizungumza na sio NADHARIA za media na the so called viongozi wako.
Sisi mtaani hatuwaoni hao wagonjwa wala hatuna misiba ya mara kwa mara zaidi ya ajali sijui huko kwenu
Wapuuzi washaNUNULIWAWapo na mabarakoa kila mahali, hadi kwenye kupiga msosi....
Kwenye hili nasimama nae huyu JIWEKivuli kinaishi
We jamaa bhana umewasahau hao madaktari wakati.wa Jiwe walivyoruhusu hadi NYUNGU MUHIMBILI[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hahahahahaha umewahi kuwasikia madaktari wakisema kwamba hawana uhuru wa kusema kuhusu hali halisi ya COVID-19 nchini? Unawaamini
hawa wanasiasa waongo!?
We jamaa bhana umewasahau hao madaktari wakati.wa Jiwe walivyoruhusu hadi NYUNGU MUHIMBILI[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
HAWAHAWA NDIO WALIPIMA MAPAPAI NA MBUZI na kuwakuta na KORONA??
USIJISAHAULISHE
Hao wimbi la kwanza ungewafahamu vipi kama sio kupitia takwimu zilizokuwa zinatolewa?!Tanzania mbona watu wanadunda tu mtaani bila tahadhali yoyote na hatuone wagonjwa kama ilivyokuwa katika "wimbi" la kwanza?