JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Inavyoeleweka huku angani kuna upepo wenye kasi kubwa (marekebisho kama siko sahihi).
Mara nyingi nimeona zile ndege zinazopita juu sana zamani tukiziita 'roketi' zinaacha mstari mweupe wa moshi na mstari huu unachukua muda kupotea/kutawanyika unaweza kuchukua hata dakika 10 au zaidi.
Je, kwa nini hali hiyo inatokea au inawezekana kuwa si kweli kuna upepo mkali huko angani?
Habari hii imetumika kwenye Kipindi cha JamiiLeo kinachorushwa kila siku jioni katika Channel ya JamiiForums kwenye mtandao wa YouTube.
Kuona kipindi hicho angalia video ifuatayo, acha maoni yako na kisha Subscribe kwenye Channel ya JamiiForums.