bakar faki
Member
- May 9, 2014
- 64
- 12
Ule siyo moshi kama moshi utokao kwenye magari barabarani kiuhalisia. Bali ni matokeo ya joto kali kutoka kwenye exhaust ya ndege (jet) iwapo angani na mgandamizo wa hewa uliochanganyika na mvuke wa maji, mithiri ya mtu kupumua awapo kwenye ukanda wa baridi kali. Unaweza kujisomea zaidi hapa: Why do jets leave a white trail in the sky? - Scientific American
Mkuu maneno yako juu ya mstari