Kwanini ndizi mshare hazipatikani Kanda ya Ziwa?

Kuna mishare aina mbili , moja ngumu na moja laini nyembamba na tamu kupitiliza ,huko moshi ina jina lake kulingana na lafudhi ya kichaga eneo husika.
 
Kwakweli kuliko hizo ndizi bora ninywe mtori tu.
 
Huko songea unakuta mkungu wa mshare sijui mlali wanauza elf 2 mpk 3 tena wanakubembelezea. Hahaha
 
Rombo...kuna ndizi pia wanaita "manguve" sinahakika na spelling.
Kumbe!!! Zile ni tamu sana unaonaga mpka aibu kuzikata kwa kupikia home ni pesa tupu .
 
Kumbe!!! Zile ni tamu sana unaonaga mpka aibu kuzikata kwa kupikia home ni pesa tupu .
Ni kweli bei yake imesimama ila usione mbaya kuzipika nyumbani, mwili umefanya kazi upe % ufurahi.
 
Kwanza fahamu ndizi zinazopatikana Mwanza na maeneo mengi ya kanda ya ziwa au kigoma mara nyingi zinatoka "KAGERA"....

Alafu pia kila zao linaota kulingana na rutuba ya ardhi husika... Hizi ndizi za Kagera zinaota mpaka Uganda.

Ndizi mshale bakieni nazo huko
 
Punguza maneno kijana. Culture zinatofautiana katika masuala ya chakula.

Kuhusu ushamba na uchafu hivi ni vitu vina ukaribu sana na umasikini.

Hata Mbeya ina mambo yake, labda kwa wewe mkaa town.
Niliwahi kuwa nafanya kazi na kampuni ya utafiti,naenda maeneo ya rural zaidi. I know things kuhusu hayo mambo.
Haya tuje kwa wajanja wenu ambao hata wakizingua wanaonekana wajanja, ndizi gani inatumika zaidi Dar, yani ukitaka ndizi nyama hata kwa mama ntilie unakuta imepikwa hiyo? Je ni ndizi mshale/mshare?
 
Huko songea unakuta mkungu wa mshare sijui mlali wanauza elf 2 mpk 3 tena wanakubembelezea. Hahaha
Aisee! Ya kweli hayo? Waambie walete Mwanza, MLALI ni adimu Kanda ya Ziwa.
 
Mi wakati nafika Dar nilishangaa kukuta ndizi flan kule kwetu Tunawapaga Ng'ombe ndio wanakula.
 
nilaini unaweza kula ikiwa hata Haina chumvi wala mafuta

kuipika kwake haihitaji majimengi coz inaiva chapá

uikipata naparachichi zalushoto zilivyo tam utataka iwe mlowako
Mleta mada umenichekesha Sana. Yaani unasahau kwamba kila kabila au Kanda inatofautiana na nyingine kutokana na aina ya nature of living ya watu wa sehemu hiyo. Ndiyo maana utaikuta mbege ndicho kinywaji traditionally kinapatikana sn Moshi na viunga vya ukanda huo lakini huwezi kuiona ikiwa popular Kagera ingawaje unatengenezwaji wake unatokana na mazao yanayopatikana mikoa yote miwili. Lakini sisi wahaya kinywaji chetu cha kienyeji ni Lubisi.

So mazingira ya wakazi wa eneo yanaathiriwa na utamaduni wa wao wenyewe, na ndiyo maana pia tunatofautiana katika aina ya vyakula na mapishi na mambo mengine mengi katika muktadha wa utaratibu wa kimaisha wa watu na tamaduni zao. Mfano Mimi I would prefer ndizi Bkb mchanganyiko na maharage pamoja na samaki au nyama to hizo mshare kwa kuwa ndiyo favorite kwangu kutokana na namna nilivyozoea.
 
Punguza kelele Kagera ni mkoa Maskin sana hasa hizo Wilaya tatu nilizotaja .
Mimi Natokea Wilaya ya Rungwe na Sio Jiji .
Kama kweli umefanya kazi Mbeya huwez kulinganisha Wilaya za Mkoa wa Mbeya na Za huko kwenu Kagera.
Dar ipi unayoisema ?Maana ukienda Mabibo zimejaa mshare toka Mbeya ,ukienda Buguruni Mshare zimejaa ,alafu sio Mshare TU Mbeya Kuna Kila aina ya ndiz ambazo kwenu mnalima Mbeya zipo za kumwaga ndio hizo tunapikia Nguruwe .
Pia Kuna aina ya Ndiz zipo Mbeya ila Kagera hazipo.
Kabla sijafika Kagera nilijua ni mkoa wa maana sana kulingana na historia kua ni mkoa wa wasomi.
Ila kufika TU nilistaajabu sana Mkoa una Maskin wengi sana Tena wa kipato Cha chini sana tofaut na uhalisia wa mitandaoni
 
Wee mnyakii tuliaa......... Unawaumiza wahaya wasomi, matajiriii, ukoo mzima upo yukeiii[emoji16][emoji16][emoji16]...... Kumbe wamejazana kaishozii na nyakato uko
 
Acha dharau weweee, Mkoa tajiri na watu matajiri, difinition ya utabiri wa mtanzania Ni siri yake mwenyewe kwa maana ya namna anavyopata utabiri wake. Maana sishangai huko unakotamba hakuna umasikini ndiko kulikuwa kunaongoza kwa kupakua bongo za watu kwa nondo, watu wanasaka utajiri. Lakini pia kumgeuza mwanzo awe ndondocha uwe tajiri Ni kitu cha kawaida. And by the way ili mtu utambuliwe kuwa tajiri unahitaji uwe na worth kiasi gani kwa Tshs? Maana mwingine akifuga nguruwe watano ni tajiri, akimiliki gari na nyumba tajiri, duka...........Utajiri mnaojinasibu nao na kuwaona wengine masikini mnaupima kwa viwango Vipi. Tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…