SoC01 Kwanini ndoa nyingi za nyakati hizi huwa hazidumu

Stories of Change - 2021 Competition
Joined
Jul 29, 2021
Posts
81
Reaction score
158
Hivi ni kwanini ndoa nyingi siku hizi zinavunjika? Yaani unakuta watu wameoana haipiti hata miaka miwili unasikia wameachana.

Mfano ni ndoa ya wasanii wetu wa Tanzania , kama Ndoa ya Ali Salehe Kiba maarufu kama “ALIKIBA” na mke wake kutoka Kenya , na ndoa ya Judith Wambura maarufu kama “LADY JAYDEE” na mume wake wa zamani Gardener G. Abashi , na ndoa Zuwena Mohamed maarufu kama “SHILOLE”.

Tatizo hili lipo hata nje ya nchi , mfano ndoa ya mastaa wakubwa wanajulikana kama Kim Kardashian na Kanye West. Na mara nyingi wanawake ndio wanao laumiwa kwa ndoa zao kuvunjika kuwa Ni kosa lao, wao sio wavumilivu na mengine mengi.

Lakini sio kweli kuwa wanawake ndio chanzo cha ndoa hizi kuvunjika, kwasababu kudumutokudumu kwa mahusiano ya ndoa ni tatizo ambalo limetokana na tofauti kati ya nyakati.

Kuna tofauti kubwa kwa jinsi maisha yalivyokuwa nyakati zile na maisha jinsi to alivyo sasa
Nyakati zile wanawake walikuwa hawana ufahamu kuhusu haki zao katika ndoa na maisha yao kwa ujumla, hivyo ilikuwa rahisi kudumu na kuvumilia kwenye ndoa hata kama hunyanyaswa na kukandamizwa kwenye ndoa hizo, kwasababu hivyo ndivyo ambavyo wameambiwa mwanamke anatakiwa awe kutokana na mafundisho ya nyakati hizo.

Ukweli ni kwamba ili ndoa idumu inabidi Kuna upande ukubali kukandamizwa na kuwa chini, na hivyo ndivyo imekuwa kwa muda mrefu Sasa. Na muda wote maisha yamekuwa nyakati hizo yakimuinua mwanaume sana na kumkandamiza mwanamke.

Mfano mzuri wanawake wengi wamekuwa wakiweka maisha yao pembeni na kufuata ndoto za mwanaume baada ya kuolewa, pia walikuwa hawapewi haki hata ya kwenda shule kupata elimu, huku wanaume tu wakiruhusiwa kwenda shule . Lakini kwa nyakati hizi, Kutokana na elimu kutolewa wanawake wamegundua kuwa wao pia ni watu sawa na wenye haki zao za msingi Kama wanaume.

Na sio kuvumilia kila kitu
Wanawake walikuwa hata hawana haki ya kuchagua nani wa kuolewa nae: Zamani wanawake walikuwa hawana haki kabisa ya kuchagua nani wa kuolewa nae na hata Ni muda gani wa kuolewa.

Maamuzi yote hayo yalikuwa katika mikono ya wanaume yaani baba wa mwanamke na upande wa mwanaume ambaye alikuwa antaka kumuoa mwanamke huyo. Ilikuwa nikitendo cha baba kuja na kumtaarifu binti yake na mama wa binti huyo kuwa amepokea mahali kutoka kwa mtu Fulani au familia Fulani hivyo ajiandae kwenda kwa mumewe siku inayofuata au siku iliyopangwa na mwanamke hakuwa na Hali yoyote ya kupinga.

Wanaume kupiga wake zao, wanaume kuzuia wanawake wao kuenda kazini au kufanya kazi za ujasiliamali, wanaume kutoka nje ya ndoa zao na ile Hali ya kwamba kwakuwa mwanaume ndio kichwa Cha familia kila atakachokisema ndio kitakachokuwa hata Kama ni kinyume au ni kibaya au mwanamke hakubaliani nacho na mengineyo.

Haya Ni baadhi ya mambo ambayo wanaume huyafanya ambayo sio sahihi kabisa katika mahusiano ya ndoa lakini kwa nyakati hizo wanawake walifundishwa kuwa haya ni mambo ya kawaida na hutokea Sana kwenye ndoa na hivyo hawana budi kuyavumilia na kuendelea kuheshimu kwakuwa ndivyo wanaume wote walivyo na hatuna cha kufanya zaidi ya kuvumilia.

Kitu ambacho wanawake wa nyakati hizi ambao wameelimika hawako tayari kabisa kukikalia kimya na ndio maana ndoa hazidumu.

Tukija kwenye nyakati tunazoishi hivi Sasa wanawake wanawake wamepewa kipaumbele sana katika sekta mbalimbali, kuanzia kwenye Elimu,Kazi, Ajira Serikalini, kwenye uongozi

Kwahiyo Sababu kuu inayofanya ndoa zivunjike Ni ile dhana ambayo wanaume wa nyakati hizi wanazozichukua wakati wa kuingia katika ndoa. Kama mwanaume anaingia na dhana kwamba, “kwakuwa mimi ndio kichwa cha familia ninachokitaka ndo kitakacho kiwe ndio kitakachokuwa na siwezi kuisikiliza mwanamke, kwakuwa mimi ndio baba”. Hapa tusitegemee kabisa ndoa kudumu kwasababu wanawake wameelimika Sasa na wanajua haki zao na hawako tayari kukandamizwa.

Hivyo ushauri wangu Ni kwamba mnapoingia kwenye ndoa inabidi tujue kuwa nyakati zimebadilika kuondoa hizi fikra za mfumo dume, yule ni mke wako, ubavu wako ni usawa wako na sawa na mwenye haki Kama wewe, muheshimu kama utakavyotaka kuheshimiwa na mtendee yale ambayo utakayotaka kutendewa. Na pia mkimshirikishe Mungu ,Nina amini kuwa ndoa yenu itadumu na itahimili mitikisiko yote.
 
Upvote 10
Na hili ndo tatizo kwa wanawake wengi kutaka kujilinganisha na wanaume eti 50 kwa 50
Mwanaume ni kichwa cha familia akitoa maagizo lazima yatekelezwe na mtekelezaji ni mwanamke

Maandiko yanasema mwanaume ampende mkewe
Napia mwanamke amtii mumewe sasa aya mambo ya 50 kwa 50 tunayatoa wapi

Mie shida naona inaanzia pale tunapotaka kukopi na kupest kutoka magharibi hao watu tamaduni za hazifai kuigwa ata kidogo

Mwisho kabisa mwanamke atakua chini ya mwanaume katika hali zote mvua au jua

Hiyo ni cycle kamili; upendo huzaa heshima, na hesima huzaa upendo. Swali ni kwamba ni nini kinatangulia kupotea kati ya upendo na heshima. Watu wawili wanapooana huwa wanapendana, na in most cases, ndoa hutokana na msukumo wa mme kumpenda mwanamke, siyo kinyume chake. Yaani mwanamke kumependa sana mwanamme hakuwezi kuguarantee kuwa wataoana. Sasa kama walioana kwa kupendana, ndoa huanza kuingia ukakasi wakati mwanamke anakosa heshima kwa mme wake; hilo ndilo jambo linalosababisha mme akose mapenzi kwa mke wake, na spiralling effect inapelekea ndoa kuvunjika.

Mume mpende mkeo na mke mtii mumeo basi hiyo ndio dawa mkitaka kudumu kwenye ndoa.

Nakazia📍🔨

Hakuna ndoa inayoweza kudumu bila mume kumpenda mke
Na hakuna ndoa inaweza kudumu bila mke kumtii mume

Wanaume nyie ndio waowaji, nyie ndio mnapima na kuona mwanamke huyu anafaa kuwa mke wangu kwahiyo nimtolee mahari nimuoe! Mkiweza kuweka tamaa pembeni mkaoa mwanamke kwa kuona tabia zake zinawafaa na moyo wake una utii kwa Mungu na kwenu unawapendeza; huku nyie wenyewe mkitimiza wajibu wenu wa kumtunza na kumuongoza basi mmeshinda.
Vinginevyo mkiishia kuoa sura, rangi, msambwada, mauno..... na hapo hapo viatu vya kumpenda kumsimamia na kumuongoza haviwatoshi taabu itakua palepale

Hakuna mwanamke anakua nayo kama pale mume anapokua na upendo kisha akawa na mamlaka na nguvu ya maamuzi na uongozi wa familia. Yaani ukishakua na hivi mwanamke atakutii tuu
 
Kwahiyo Sababu kuu inayofanya ndoa zivunjike Ni ile dhana ambayo wanaume wa nyakati hizi wanazozichukua wakati wa kuingia katika ndoa. Kama mwanaume anaingia na dhana kwamba, “kwakuwa mimi ndio kichwa cha familia ninachokitaka ndo kitakacho kiwe ndio kitakachokuwa na siwezi kuisikiliza mwanamke, kwakuwa mimi ndio baba”. Hapa tusitegemee kabisa ndoa kudumu kwasababu wanawake wameelimika Sasa na wanajua haki zao na hawako tayari kukandamizwa.

Hivyo ushauri wangu Ni kwamba mnapoingia kwenye ndoa inabidi tujue kuwa nyakati zimebadilika kuondoa hizi fikra za mfumo dume, yule ni mke wako, ubavu wako ni usawa wako na sawa na mwenye haki Kama wewe, muheshimu kama utakavyotaka kuheshimiwa na mtendee yale ambayo utakayotaka kutendewa. Na pia mkimshirikishe Mungu ,Nina amini kuwa ndoa yenu itadumu na itahimili mitikisiko yote.
Mawazo ya ajabu kabisa haya..

Kwenye taasisi yoyote lzm kuwe na kiongozi. Mfano kwa level ya nchi ukitaka mawaziri wawe na mamlaka sawa na rais nchi itakosa mwelekeo.

Kwa taarifa yako KE akiota sharubu akaleta ligi na kushindana na ME, familia inapoteza dira mazima. Hata maandiko ya Mungu yanasema mume ni Kichwa
 
Ke akiota sharubu ni Me mwenyewe ameamua

Mume atampenda mke wake na mke atamtii mume wake....
 
Hivi ni kwanini ndoa nyingi siku hizi zinavunjika? Yaani unakuta watu wameoana haipiti hata miaka miwili unasikia wameachana.

Mfano ni ndoa ya wasanii wetu wa Tanzania , kama Ndoa ya Ali Salehe Kiba maarufu kama “ALIKIBA” na mke wake kutoka Kenya , na ndoa ya Judith Wambura maarufu kama “LADY JAYDEE” na mume wake wa zamani Gardener G. Abashi , na ndoa Zuwena Mohamed maarufu kama “SHILOLE”.

Tatizo hili lipo hata nje ya nchi , mfano ndoa ya mastaa wakubwa wanajulikana kama Kim Kardashian na Kanye West. Na mara nyingi wanawake ndio wanao laumiwa kwa ndoa zao kuvunjika kuwa Ni kosa lao, wao sio wavumilivu na mengine mengi.

Lakini sio kweli kuwa wanawake ndio chanzo cha ndoa hizi kuvunjika, kwasababu kudumutokudumu kwa mahusiano ya ndoa ni tatizo ambalo limetokana na tofauti kati ya nyakati.

Kuna tofauti kubwa kwa jinsi maisha yalivyokuwa nyakati zile na maisha jinsi to alivyo sasa
Nyakati zile wanawake walikuwa hawana ufahamu kuhusu haki zao katika ndoa na maisha yao kwa ujumla, hivyo ilikuwa rahisi kudumu na kuvumilia kwenye ndoa hata kama hunyanyaswa na kukandamizwa kwenye ndoa hizo, kwasababu hivyo ndivyo ambavyo wameambiwa mwanamke anatakiwa awe kutokana na mafundisho ya nyakati hizo.

Ukweli ni kwamba ili ndoa idumu inabidi Kuna upande ukubali kukandamizwa na kuwa chini, na hivyo ndivyo imekuwa kwa muda mrefu Sasa. Na muda wote maisha yamekuwa nyakati hizo yakimuinua mwanaume sana na kumkandamiza mwanamke.

Mfano mzuri wanawake wengi wamekuwa wakiweka maisha yao pembeni na kufuata ndoto za mwanaume baada ya kuolewa, pia walikuwa hawapewi haki hata ya kwenda shule kupata elimu, huku wanaume tu wakiruhusiwa kwenda shule . Lakini kwa nyakati hizi, Kutokana na elimu kutolewa wanawake wamegundua kuwa wao pia ni watu sawa na wenye haki zao za msingi Kama wanaume.

Na sio kuvumilia kila kitu
Wanawake walikuwa hata hawana haki ya kuchagua nani wa kuolewa nae: Zamani wanawake walikuwa hawana haki kabisa ya kuchagua nani wa kuolewa nae na hata Ni muda gani wa kuolewa.

Maamuzi yote hayo yalikuwa katika mikono ya wanaume yaani baba wa mwanamke na upande wa mwanaume ambaye alikuwa antaka kumuoa mwanamke huyo. Ilikuwa nikitendo cha baba kuja na kumtaarifu binti yake na mama wa binti huyo kuwa amepokea mahali kutoka kwa mtu Fulani au familia Fulani hivyo ajiandae kwenda kwa mumewe siku inayofuata au siku iliyopangwa na mwanamke hakuwa na Hali yoyote ya kupinga.

Wanaume kupiga wake zao, wanaume kuzuia wanawake wao kuenda kazini au kufanya kazi za ujasiliamali, wanaume kutoka nje ya ndoa zao na ile Hali ya kwamba kwakuwa mwanaume ndio kichwa Cha familia kila atakachokisema ndio kitakachokuwa hata Kama ni kinyume au ni kibaya au mwanamke hakubaliani nacho na mengineyo.

Haya Ni baadhi ya mambo ambayo wanaume huyafanya ambayo sio sahihi kabisa katika mahusiano ya ndoa lakini kwa nyakati hizo wanawake walifundishwa kuwa haya ni mambo ya kawaida na hutokea Sana kwenye ndoa na hivyo hawana budi kuyavumilia na kuendelea kuheshimu kwakuwa ndivyo wanaume wote walivyo na hatuna cha kufanya zaidi ya kuvumilia.

Kitu ambacho wanawake wa nyakati hizi ambao wameelimika hawako tayari kabisa kukikalia kimya na ndio maana ndoa hazidumu.

Tukija kwenye nyakati tunazoishi hivi Sasa wanawake wanawake wamepewa kipaumbele sana katika sekta mbalimbali, kuanzia kwenye Elimu,Kazi, Ajira Serikalini, kwenye uongozi

Kwahiyo Sababu kuu inayofanya ndoa zivunjike Ni ile dhana ambayo wanaume wa nyakati hizi wanazozichukua wakati wa kuingia katika ndoa. Kama mwanaume anaingia na dhana kwamba, “kwakuwa mimi ndio kichwa cha familia ninachokitaka ndo kitakacho kiwe ndio kitakachokuwa na siwezi kuisikiliza mwanamke, kwakuwa mimi ndio baba”. Hapa tusitegemee kabisa ndoa kudumu kwasababu wanawake wameelimika Sasa na wanajua haki zao na hawako tayari kukandamizwa.

Hivyo ushauri wangu Ni kwamba mnapoingia kwenye ndoa inabidi tujue kuwa nyakati zimebadilika kuondoa hizi fikra za mfumo dume, yule ni mke wako, ubavu wako ni usawa wako na sawa na mwenye haki Kama wewe, muheshimu kama utakavyotaka kuheshimiwa na mtendee yale ambayo utakayotaka kutendewa. Na pia mkimshirikishe Mungu ,Nina amini kuwa ndoa yenu itadumu na itahimili mitikisiko yote.
Watu wengi siku hz sababu ya uvivu huangalia mtu mwenye pesa sio anayempenda matokeo ndio hayo....wahenga walisemaga mapenz ya pesa hayadumu...
 
Hata ushirika hakuna, kuendelea kuishi nje ya upendo na utii ni sawa na kucheza movie inayowafurahisha wapenzi watazamaji huku wachezaji mkiwa hamna faida yoyote
Upo sahihi mkuu..

Afu KE wengi huwa hawajui njia rahisi ya kudhibiti mme.
Ke anatakiwa tu awe na utii, unyenyekevu na uaminifu wa kutosha kumridhisha mumewe. Mume akishakuamini, anakupenda na kukuachia usukani.

Lkn ukileta ubabe kwa jina la usawa, unakosa vyoote mwanzo mwisho!
 
Siku zote wote wana shida.

Unakuta umepata mke misingi yenu ya imani ya familia/jaminii, imani ya dini, imani ya jamii ni haikubaliani kabisaa halafu unamuoa unasema ati sisi tunapendana na tumekubaliana kila mtu awe na imani yake..... imani which? Imani where? imani how?😂😂😂

Mapenzi ni zaidi ya sex japo sex ni kiungo mojawapo cha mapenzi
 
Sijui kwanini sipendi ku-entertain mijadala ya Ndoa
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili tu
Sasa walikubaliana nini sisi hatujui kabisa
Ndiposa, hapa tunajadili nini? Maana hata maandiko yanasema ... ishini na wake zenu kwa akili.....
Sasa hicho tunachokiona likely ndio akili yenyewe ya ndoa
Nani ajuaye????
 
Ndoa nyingi zinavunjika kutokana na wahusika kutokuzingatia mipaka yao.
Hivyo inaleta mgogoro na mahusiano kuporomoka
 
Tatizo linakuja huyu alie ambiwa kwamba haki sawa kwenye hili anatk kushindana na mwanaume cha zaid yey hajione yupo juu na mwanaume yyote hakubar ata cku1 kuongozw na mwanmke
 
Mleta hii mada na wote wenye mtazamo kama wako mna tatizo ta kujitambua.....mtaishia kuwa singo mamas tutakuwa tunawala na kusepa bila kurudi nyuma mpaka menopause inawakuta
 
Hivi ni kwanini ndoa nyingi siku hizi zinavunjika? Yaani unakuta watu wameoana haipiti hata miaka miwili unasikia wameachana.

Mfano ni ndoa ya wasanii wetu wa Tanzania , kama Ndoa ya Ali Salehe Kiba maarufu kama “ALIKIBA” na mke wake kutoka Kenya , na ndoa ya Judith Wambura maarufu kama “LADY JAYDEE” na mume wake wa zamani Gardener G. Abashi , na ndoa Zuwena Mohamed maarufu kama “SHILOLE”.

Tatizo hili lipo hata nje ya nchi , mfano ndoa ya mastaa wakubwa wanajulikana kama Kim Kardashian na Kanye West. Na mara nyingi wanawake ndio wanao laumiwa kwa ndoa zao kuvunjika kuwa Ni kosa lao, wao sio wavumilivu na mengine mengi.

Lakini sio kweli kuwa wanawake ndio chanzo cha ndoa hizi kuvunjika, kwasababu kudumutokudumu kwa mahusiano ya ndoa ni tatizo ambalo limetokana na tofauti kati ya nyakati.

Kuna tofauti kubwa kwa jinsi maisha yalivyokuwa nyakati zile na maisha jinsi to alivyo sasa
Nyakati zile wanawake walikuwa hawana ufahamu kuhusu haki zao katika ndoa na maisha yao kwa ujumla, hivyo ilikuwa rahisi kudumu na kuvumilia kwenye ndoa hata kama hunyanyaswa na kukandamizwa kwenye ndoa hizo, kwasababu hivyo ndivyo ambavyo wameambiwa mwanamke anatakiwa awe kutokana na mafundisho ya nyakati hizo.

Ukweli ni kwamba ili ndoa idumu inabidi Kuna upande ukubali kukandamizwa na kuwa chini, na hivyo ndivyo imekuwa kwa muda mrefu Sasa. Na muda wote maisha yamekuwa nyakati hizo yakimuinua mwanaume sana na kumkandamiza mwanamke.

Mfano mzuri wanawake wengi wamekuwa wakiweka maisha yao pembeni na kufuata ndoto za mwanaume baada ya kuolewa, pia walikuwa hawapewi haki hata ya kwenda shule kupata elimu, huku wanaume tu wakiruhusiwa kwenda shule . Lakini kwa nyakati hizi, Kutokana na elimu kutolewa wanawake wamegundua kuwa wao pia ni watu sawa na wenye haki zao za msingi Kama wanaume.

Na sio kuvumilia kila kitu
Wanawake walikuwa hata hawana haki ya kuchagua nani wa kuolewa nae: Zamani wanawake walikuwa hawana haki kabisa ya kuchagua nani wa kuolewa nae na hata Ni muda gani wa kuolewa.

Maamuzi yote hayo yalikuwa katika mikono ya wanaume yaani baba wa mwanamke na upande wa mwanaume ambaye alikuwa antaka kumuoa mwanamke huyo. Ilikuwa nikitendo cha baba kuja na kumtaarifu binti yake na mama wa binti huyo kuwa amepokea mahali kutoka kwa mtu Fulani au familia Fulani hivyo ajiandae kwenda kwa mumewe siku inayofuata au siku iliyopangwa na mwanamke hakuwa na Hali yoyote ya kupinga.

Wanaume kupiga wake zao, wanaume kuzuia wanawake wao kuenda kazini au kufanya kazi za ujasiliamali, wanaume kutoka nje ya ndoa zao na ile Hali ya kwamba kwakuwa mwanaume ndio kichwa Cha familia kila atakachokisema ndio kitakachokuwa hata Kama ni kinyume au ni kibaya au mwanamke hakubaliani nacho na mengineyo.

Haya Ni baadhi ya mambo ambayo wanaume huyafanya ambayo sio sahihi kabisa katika mahusiano ya ndoa lakini kwa nyakati hizo wanawake walifundishwa kuwa haya ni mambo ya kawaida na hutokea Sana kwenye ndoa na hivyo hawana budi kuyavumilia na kuendelea kuheshimu kwakuwa ndivyo wanaume wote walivyo na hatuna cha kufanya zaidi ya kuvumilia.

Kitu ambacho wanawake wa nyakati hizi ambao wameelimika hawako tayari kabisa kukikalia kimya na ndio maana ndoa hazidumu.

Tukija kwenye nyakati tunazoishi hivi Sasa wanawake wanawake wamepewa kipaumbele sana katika sekta mbalimbali, kuanzia kwenye Elimu,Kazi, Ajira Serikalini, kwenye uongozi

Kwahiyo Sababu kuu inayofanya ndoa zivunjike Ni ile dhana ambayo wanaume wa nyakati hizi wanazozichukua wakati wa kuingia katika ndoa. Kama mwanaume anaingia na dhana kwamba, “kwakuwa mimi ndio kichwa cha familia ninachokitaka ndo kitakacho kiwe ndio kitakachokuwa na siwezi kuisikiliza mwanamke, kwakuwa mimi ndio baba”. Hapa tusitegemee kabisa ndoa kudumu kwasababu wanawake wameelimika Sasa na wanajua haki zao na hawako tayari kukandamizwa.

Hivyo ushauri wangu Ni kwamba mnapoingia kwenye ndoa inabidi tujue kuwa nyakati zimebadilika kuondoa hizi fikra za mfumo dume, yule ni mke wako, ubavu wako ni usawa wako na sawa na mwenye haki Kama wewe, muheshimu kama utakavyotaka kuheshimiwa na mtendee yale ambayo utakayotaka kutendewa. Na pia mkimshirikishe Mungu ,Nina amini kuwa ndoa yenu itadumu na itahimili mitikisiko yote.
Akili ya wanandoa tu, kwanza siku hizi hakuna ndoa, Kuna kujaribu kuishi nyumba moja jinsia mbili tofauti tu,
 
Mfano ni ndoa ya wasanii wetu wa Tanzania , kama Ndoa ya Ali Salehe Kiba maarufu kama “ALIKIBA” na mke wake kutoka Kenya , na ndoa ya Judith Wambura maarufu kama “LADY JAYDEE” na mume wake wa zamani Gardener G. Abashi , na ndoa Zuwena Mohamed maarufu kama “SHILOLE”.

Tatizo hili lipo hata nje ya nchi , mfano ndoa ya mastaa wakubwa wanajulikana kama Kim Kardashian na Kanye West
Hizi za wasanii kuziita 'Ndoa' ni matumizi mabaya ya hilo neno!
 
Ndoa nyingi zinaanzia kwenye uzinzi - hawawezi kuaminiana hata kidogo!
 
Kamwe huwez kuishi na mwanamke anayeamini wote mko sawa nyanja zote, Wengi wanalilia haki sawa 50/50 pasipo kujua Mwanauime atabaki mwanaume na mwanamke atabaki mwanamke.
 
Nakazia📍🔨

Hakuna ndoa inayoweza kudumu bila mume kumpenda mke
Na hakuna ndoa inaweza kudumu bila mke kumtii mume

Wanaume nyie ndio waowaji, nyie ndio mnapima na kuona mwanamke huyu anafaa kuwa mke wangu kwahiyo nimtolee mahari nimuoe! Mkiweza kuweka tamaa pembeni mkaoa mwanamke kwa kuona tabia zake zinawafaa na moyo wake una utii kwa Mungu na kwenu unawapendeza; huku nyie wenyewe mkitimiza wajibu wenu wa kumtunza na kumuongoza basi mmeshinda.
Vinginevyo mkiishia kuoa sura, rangi, msambwada, mauno..... na hapo hapo viatu vya kumpenda kumsimamia na kumuongoza haviwatoshi taabu itakua palepale

Hakuna mwanamke anakua nayo kama pale mume anapokua na upendo kisha akawa na mamlaka na nguvu ya maamuzi na uongozi wa familia. Yaani ukishakua na hivi mwanamke atakutii tuu
Heshima na utii ukiondoka na upendo pia uondoka.Huwezi mpenda mke asiye na heshima mfano mgomvi, mkorofi,mjuaji, mwenye hasira, mtukanaji tena mbele za watu
 
Back
Top Bottom