SoC01 Kwanini ndoa nyingi za nyakati hizi huwa hazidumu

Stories of Change - 2021 Competition
Joined
Jul 29, 2021
Posts
81
Reaction score
158
Hivi ni kwanini ndoa nyingi siku hizi zinavunjika? Yaani unakuta watu wameoana haipiti hata miaka miwili unasikia wameachana.

Mfano ni ndoa ya wasanii wetu wa Tanzania , kama Ndoa ya Ali Salehe Kiba maarufu kama “ALIKIBA” na mke wake kutoka Kenya , na ndoa ya Judith Wambura maarufu kama “LADY JAYDEE” na mume wake wa zamani Gardener G. Abashi , na ndoa Zuwena Mohamed maarufu kama “SHILOLE”.

Tatizo hili lipo hata nje ya nchi , mfano ndoa ya mastaa wakubwa wanajulikana kama Kim Kardashian na Kanye West. Na mara nyingi wanawake ndio wanao laumiwa kwa ndoa zao kuvunjika kuwa Ni kosa lao, wao sio wavumilivu na mengine mengi.

Lakini sio kweli kuwa wanawake ndio chanzo cha ndoa hizi kuvunjika, kwasababu kudumutokudumu kwa mahusiano ya ndoa ni tatizo ambalo limetokana na tofauti kati ya nyakati.

Kuna tofauti kubwa kwa jinsi maisha yalivyokuwa nyakati zile na maisha jinsi to alivyo sasa
Nyakati zile wanawake walikuwa hawana ufahamu kuhusu haki zao katika ndoa na maisha yao kwa ujumla, hivyo ilikuwa rahisi kudumu na kuvumilia kwenye ndoa hata kama hunyanyaswa na kukandamizwa kwenye ndoa hizo, kwasababu hivyo ndivyo ambavyo wameambiwa mwanamke anatakiwa awe kutokana na mafundisho ya nyakati hizo.

Ukweli ni kwamba ili ndoa idumu inabidi Kuna upande ukubali kukandamizwa na kuwa chini, na hivyo ndivyo imekuwa kwa muda mrefu Sasa. Na muda wote maisha yamekuwa nyakati hizo yakimuinua mwanaume sana na kumkandamiza mwanamke.

Mfano mzuri wanawake wengi wamekuwa wakiweka maisha yao pembeni na kufuata ndoto za mwanaume baada ya kuolewa, pia walikuwa hawapewi haki hata ya kwenda shule kupata elimu, huku wanaume tu wakiruhusiwa kwenda shule . Lakini kwa nyakati hizi, Kutokana na elimu kutolewa wanawake wamegundua kuwa wao pia ni watu sawa na wenye haki zao za msingi Kama wanaume.

Na sio kuvumilia kila kitu
Wanawake walikuwa hata hawana haki ya kuchagua nani wa kuolewa nae: Zamani wanawake walikuwa hawana haki kabisa ya kuchagua nani wa kuolewa nae na hata Ni muda gani wa kuolewa.

Maamuzi yote hayo yalikuwa katika mikono ya wanaume yaani baba wa mwanamke na upande wa mwanaume ambaye alikuwa antaka kumuoa mwanamke huyo. Ilikuwa nikitendo cha baba kuja na kumtaarifu binti yake na mama wa binti huyo kuwa amepokea mahali kutoka kwa mtu Fulani au familia Fulani hivyo ajiandae kwenda kwa mumewe siku inayofuata au siku iliyopangwa na mwanamke hakuwa na Hali yoyote ya kupinga.

Wanaume kupiga wake zao, wanaume kuzuia wanawake wao kuenda kazini au kufanya kazi za ujasiliamali, wanaume kutoka nje ya ndoa zao na ile Hali ya kwamba kwakuwa mwanaume ndio kichwa Cha familia kila atakachokisema ndio kitakachokuwa hata Kama ni kinyume au ni kibaya au mwanamke hakubaliani nacho na mengineyo.

Haya Ni baadhi ya mambo ambayo wanaume huyafanya ambayo sio sahihi kabisa katika mahusiano ya ndoa lakini kwa nyakati hizo wanawake walifundishwa kuwa haya ni mambo ya kawaida na hutokea Sana kwenye ndoa na hivyo hawana budi kuyavumilia na kuendelea kuheshimu kwakuwa ndivyo wanaume wote walivyo na hatuna cha kufanya zaidi ya kuvumilia.

Kitu ambacho wanawake wa nyakati hizi ambao wameelimika hawako tayari kabisa kukikalia kimya na ndio maana ndoa hazidumu.

Tukija kwenye nyakati tunazoishi hivi Sasa wanawake wanawake wamepewa kipaumbele sana katika sekta mbalimbali, kuanzia kwenye Elimu,Kazi, Ajira Serikalini, kwenye uongozi

Kwahiyo Sababu kuu inayofanya ndoa zivunjike Ni ile dhana ambayo wanaume wa nyakati hizi wanazozichukua wakati wa kuingia katika ndoa. Kama mwanaume anaingia na dhana kwamba, “kwakuwa mimi ndio kichwa cha familia ninachokitaka ndo kitakacho kiwe ndio kitakachokuwa na siwezi kuisikiliza mwanamke, kwakuwa mimi ndio baba”. Hapa tusitegemee kabisa ndoa kudumu kwasababu wanawake wameelimika Sasa na wanajua haki zao na hawako tayari kukandamizwa.

Hivyo ushauri wangu Ni kwamba mnapoingia kwenye ndoa inabidi tujue kuwa nyakati zimebadilika kuondoa hizi fikra za mfumo dume, yule ni mke wako, ubavu wako ni usawa wako na sawa na mwenye haki Kama wewe, muheshimu kama utakavyotaka kuheshimiwa na mtendee yale ambayo utakayotaka kutendewa. Na pia mkimshirikishe Mungu ,Nina amini kuwa ndoa yenu itadumu na itahimili mitikisiko yote.
 
Upvote 10
Kamwe huwez kuishi na mwanamke anayeamini wote mko sawa nyanja zote, Wengi wanalilia haki sawa 50/50 pasipo kujua Mwanauime atabaki mwanaume na mwanamke atabaki mwanamke.
Gari haiwezi endesha na madereva wawili kwa pamoja
 
Heshima na utii ukiondoka na upendo pia uondoka.Huwezi mpenda mke asiye na heshima mfano mgomvi, mkorofi,mjuaji, mwenye hasira, mtukanaji tena mbele za watu

Nina uhakika wakati mnakubaliana kuishi pamoja utii na upendo vilikuwepo. Vinginevyo qhakukua na sababu za kuishi

Hayo yaliyotokea hadi vikapotea ndio taabu inapoanzia
 
Tabia ni asili na huwezi ibadili, matusi mtu ufunzwa na mama yake mtoto urithi, uchumbani hawezi kutukana
 
Nina uhakika wakati mnakubaliana kuishi pamoja utii na upendo vilikuwepo. Vinginevyo qhakukua na sababu za kuishi

Hayo yaliyotokea hadi vikapotea ndio taabu inapoanzia
Ndoa ni kauli,ikishaingia kauli chafu hakuna ndoa hapo
 
Ndoa Ina kanuni wengi uzikiuka thus hazidumu
 
Hivi ni kwanini ndoa nyingi siku hizi zinavunjika? Yaani unakuta watu wameoana haipiti hata miaka miwili unasikia wameachana.

Mfano ni ndoa ya wasanii wetu wa Tanzania , kama Ndoa ya Ali Salehe Kiba maarufu kama “ALIKIBA” na mke wake kutoka Kenya , na ndoa ya Judith Wambura maarufu kama “LADY JAYDEE” na mume wake wa zamani Gardener G. Abashi , na ndoa Zuwena Mohamed maarufu kama “SHILOLE”.

Tatizo hili lipo hata nje ya nchi , mfano ndoa ya mastaa wakubwa wanajulikana kama Kim Kardashian na Kanye West. Na mara nyingi wanawake ndio wanao laumiwa kwa ndoa zao kuvunjika kuwa Ni kosa lao, wao sio wavumilivu na mengine mengi.

Lakini sio kweli kuwa wanawake ndio chanzo cha ndoa hizi kuvunjika, kwasababu kudumutokudumu kwa mahusiano ya ndoa ni tatizo ambalo limetokana na tofauti kati ya nyakati.

Kuna tofauti kubwa kwa jinsi maisha yalivyokuwa nyakati zile na maisha jinsi to alivyo sasa
Nyakati zile wanawake walikuwa hawana ufahamu kuhusu haki zao katika ndoa na maisha yao kwa ujumla, hivyo ilikuwa rahisi kudumu na kuvumilia kwenye ndoa hata kama hunyanyaswa na kukandamizwa kwenye ndoa hizo, kwasababu hivyo ndivyo ambavyo wameambiwa mwanamke anatakiwa awe kutokana na mafundisho ya nyakati hizo.

Ukweli ni kwamba ili ndoa idumu inabidi Kuna upande ukubali kukandamizwa na kuwa chini, na hivyo ndivyo imekuwa kwa muda mrefu Sasa. Na muda wote maisha yamekuwa nyakati hizo yakimuinua mwanaume sana na kumkandamiza mwanamke.

Mfano mzuri wanawake wengi wamekuwa wakiweka maisha yao pembeni na kufuata ndoto za mwanaume baada ya kuolewa, pia walikuwa hawapewi haki hata ya kwenda shule kupata elimu, huku wanaume tu wakiruhusiwa kwenda shule . Lakini kwa nyakati hizi, Kutokana na elimu kutolewa wanawake wamegundua kuwa wao pia ni watu sawa na wenye haki zao za msingi Kama wanaume.

Na sio kuvumilia kila kitu
Wanawake walikuwa hata hawana haki ya kuchagua nani wa kuolewa nae: Zamani wanawake walikuwa hawana haki kabisa ya kuchagua nani wa kuolewa nae na hata Ni muda gani wa kuolewa.

Maamuzi yote hayo yalikuwa katika mikono ya wanaume yaani baba wa mwanamke na upande wa mwanaume ambaye alikuwa antaka kumuoa mwanamke huyo. Ilikuwa nikitendo cha baba kuja na kumtaarifu binti yake na mama wa binti huyo kuwa amepokea mahali kutoka kwa mtu Fulani au familia Fulani hivyo ajiandae kwenda kwa mumewe siku inayofuata au siku iliyopangwa na mwanamke hakuwa na Hali yoyote ya kupinga.

Wanaume kupiga wake zao, wanaume kuzuia wanawake wao kuenda kazini au kufanya kazi za ujasiliamali, wanaume kutoka nje ya ndoa zao na ile Hali ya kwamba kwakuwa mwanaume ndio kichwa Cha familia kila atakachokisema ndio kitakachokuwa hata Kama ni kinyume au ni kibaya au mwanamke hakubaliani nacho na mengineyo.

Haya Ni baadhi ya mambo ambayo wanaume huyafanya ambayo sio sahihi kabisa katika mahusiano ya ndoa lakini kwa nyakati hizo wanawake walifundishwa kuwa haya ni mambo ya kawaida na hutokea Sana kwenye ndoa na hivyo hawana budi kuyavumilia na kuendelea kuheshimu kwakuwa ndivyo wanaume wote walivyo na hatuna cha kufanya zaidi ya kuvumilia.

Kitu ambacho wanawake wa nyakati hizi ambao wameelimika hawako tayari kabisa kukikalia kimya na ndio maana ndoa hazidumu.

Tukija kwenye nyakati tunazoishi hivi Sasa wanawake wanawake wamepewa kipaumbele sana katika sekta mbalimbali, kuanzia kwenye Elimu,Kazi, Ajira Serikalini, kwenye uongozi

Kwahiyo Sababu kuu inayofanya ndoa zivunjike Ni ile dhana ambayo wanaume wa nyakati hizi wanazozichukua wakati wa kuingia katika ndoa. Kama mwanaume anaingia na dhana kwamba, “kwakuwa mimi ndio kichwa cha familia ninachokitaka ndo kitakacho kiwe ndio kitakachokuwa na siwezi kuisikiliza mwanamke, kwakuwa mimi ndio baba”. Hapa tusitegemee kabisa ndoa kudumu kwasababu wanawake wameelimika Sasa na wanajua haki zao na hawako tayari kukandamizwa.

Hivyo ushauri wangu Ni kwamba mnapoingia kwenye ndoa inabidi tujue kuwa nyakati zimebadilika kuondoa hizi fikra za mfumo dume, yule ni mke wako, ubavu wako ni usawa wako na sawa na mwenye haki Kama wewe, muheshimu kama utakavyotaka kuheshimiwa na mtendee yale ambayo utakayotaka kutendewa. Na pia mkimshirikishe Mungu ,Nina amini kuwa ndoa yenu itadumu na itahimili mitikisiko yote.
Mtoa mada kwa lugha ya kisasa wanasema "umejitekenya mwenyewe na unacheka mwenyewe " umeuliza swali na ukajijibu. Anyway, cha msingi rudi kwenye msingi wa ndoa na lengo kuu ilikua nini. Haya maisha yenu ya kwenye tamthiia ya hasira za kuvunja vyombo vyote kwenye kabati wala hayatawasaidia.
 
Nakazia[emoji625][emoji375]

Hakuna ndoa inayoweza kudumu bila mume kumpenda mke
Na hakuna ndoa inaweza kudumu bila mke kumtii mume

Wanaume nyie ndio waowaji, nyie ndio mnapima na kuona mwanamke huyu anafaa kuwa mke wangu kwahiyo nimtolee mahari nimuoe! Mkiweza kuweka tamaa pembeni mkaoa mwanamke kwa kuona tabia zake zinawafaa na moyo wake una utii kwa Mungu na kwenu unawapendeza; huku nyie wenyewe mkitimiza wajibu wenu wa kumtunza na kumuongoza basi mmeshinda.
Vinginevyo mkiishia kuoa sura, rangi, msambwada, mauno..... na hapo hapo viatu vya kumpenda kumsimamia na kumuongoza haviwatoshi taabu itakua palepale

Hakuna mwanamke anakua nayo kama pale mume anapokua na upendo kisha akawa na mamlaka na nguvu ya maamuzi na uongozi wa familia. Yaani ukishakua na hivi mwanamke atakutii tuu
Huu ni mtazamo wako na wanawake wote wangekua na mtazamo huo maisha yangekua mazuri sana. Wengi wenu hasa mnaojiita wasomi hamuuishi ndoa katika misingi yake.
1. Mmejawa na tamaa
2. Mnapenda vitu hata vilivyo nje ya uwezo w ndoa zenu
3. Hamuishi maisha halisi, maisha yenu ni yaku fake.
4. Ni wanafiki, mnaonyesha utii wakati wa dating tu mkishaingia kwenye ndoa mnabadili tabia.
5 mnataka maisha ya juu na hamkubali mipango ya kuyafikia mnazani maisha mazuri yanadondoka ghafla.

Rejeeni kwenye misingi ya ndoa na maagizo ya mwenyezi Mungu hayo nmayoyataka ghafla ni matokeo ya misingi hiyo na hayaji kwa bahati mbaya.
 
Tumesharejea Tewe
 
Hivi ni kwanini ndoa nyingi siku hizi zinavunjika? Yaani unakuta watu wameoana haipiti hata miaka miwili unasikia wameachana.

Mfano ni ndoa ya wasanii wetu wa Tanzania , kama Ndoa ya Ali Salehe Kiba maarufu kama “ALIKIBA” na mke wake kutoka Kenya , na ndoa ya Judith Wambura maarufu kama “LADY JAYDEE” na mume wake wa zamani Gardener G. Abashi , na ndoa Zuwena Mohamed maarufu kama “SHILOLE”.

Tatizo hili lipo hata nje ya nchi , mfano ndoa ya mastaa wakubwa wanajulikana kama Kim Kardashian na Kanye West. Na mara nyingi wanawake ndio wanao laumiwa kwa ndoa zao kuvunjika kuwa Ni kosa lao, wao sio wavumilivu na mengine mengi.

Lakini sio kweli kuwa wanawake ndio chanzo cha ndoa hizi kuvunjika, kwasababu kudumutokudumu kwa mahusiano ya ndoa ni tatizo ambalo limetokana na tofauti kati ya nyakati.

Kuna tofauti kubwa kwa jinsi maisha yalivyokuwa nyakati zile na maisha jinsi to alivyo sasa
Nyakati zile wanawake walikuwa hawana ufahamu kuhusu haki zao katika ndoa na maisha yao kwa ujumla, hivyo ilikuwa rahisi kudumu na kuvumilia kwenye ndoa hata kama hunyanyaswa na kukandamizwa kwenye ndoa hizo, kwasababu hivyo ndivyo ambavyo wameambiwa mwanamke anatakiwa awe kutokana na mafundisho ya nyakati hizo.

Ukweli ni kwamba ili ndoa idumu inabidi Kuna upande ukubali kukandamizwa na kuwa chini, na hivyo ndivyo imekuwa kwa muda mrefu Sasa. Na muda wote maisha yamekuwa nyakati hizo yakimuinua mwanaume sana na kumkandamiza mwanamke.

Mfano mzuri wanawake wengi wamekuwa wakiweka maisha yao pembeni na kufuata ndoto za mwanaume baada ya kuolewa, pia walikuwa hawapewi haki hata ya kwenda shule kupata elimu, huku wanaume tu wakiruhusiwa kwenda shule . Lakini kwa nyakati hizi, Kutokana na elimu kutolewa wanawake wamegundua kuwa wao pia ni watu sawa na wenye haki zao za msingi Kama wanaume.

Na sio kuvumilia kila kitu
Wanawake walikuwa hata hawana haki ya kuchagua nani wa kuolewa nae: Zamani wanawake walikuwa hawana haki kabisa ya kuchagua nani wa kuolewa nae na hata Ni muda gani wa kuolewa.

Maamuzi yote hayo yalikuwa katika mikono ya wanaume yaani baba wa mwanamke na upande wa mwanaume ambaye alikuwa antaka kumuoa mwanamke huyo. Ilikuwa nikitendo cha baba kuja na kumtaarifu binti yake na mama wa binti huyo kuwa amepokea mahali kutoka kwa mtu Fulani au familia Fulani hivyo ajiandae kwenda kwa mumewe siku inayofuata au siku iliyopangwa na mwanamke hakuwa na Hali yoyote ya kupinga.

Wanaume kupiga wake zao, wanaume kuzuia wanawake wao kuenda kazini au kufanya kazi za ujasiliamali, wanaume kutoka nje ya ndoa zao na ile Hali ya kwamba kwakuwa mwanaume ndio kichwa Cha familia kila atakachokisema ndio kitakachokuwa hata Kama ni kinyume au ni kibaya au mwanamke hakubaliani nacho na mengineyo.

Haya Ni baadhi ya mambo ambayo wanaume huyafanya ambayo sio sahihi kabisa katika mahusiano ya ndoa lakini kwa nyakati hizo wanawake walifundishwa kuwa haya ni mambo ya kawaida na hutokea Sana kwenye ndoa na hivyo hawana budi kuyavumilia na kuendelea kuheshimu kwakuwa ndivyo wanaume wote walivyo na hatuna cha kufanya zaidi ya kuvumilia.

Kitu ambacho wanawake wa nyakati hizi ambao wameelimika hawako tayari kabisa kukikalia kimya na ndio maana ndoa hazidumu.

Tukija kwenye nyakati tunazoishi hivi Sasa wanawake wanawake wamepewa kipaumbele sana katika sekta mbalimbali, kuanzia kwenye Elimu,Kazi, Ajira Serikalini, kwenye uongozi

Kwahiyo Sababu kuu inayofanya ndoa zivunjike Ni ile dhana ambayo wanaume wa nyakati hizi wanazozichukua wakati wa kuingia katika ndoa. Kama mwanaume anaingia na dhana kwamba, “kwakuwa mimi ndio kichwa cha familia ninachokitaka ndo kitakacho kiwe ndio kitakachokuwa na siwezi kuisikiliza mwanamke, kwakuwa mimi ndio baba”. Hapa tusitegemee kabisa ndoa kudumu kwasababu wanawake wameelimika Sasa na wanajua haki zao na hawako tayari kukandamizwa.

Hivyo ushauri wangu Ni kwamba mnapoingia kwenye ndoa inabidi tujue kuwa nyakati zimebadilika kuondoa hizi fikra za mfumo dume, yule ni mke wako, ubavu wako ni usawa wako na sawa na mwenye haki Kama wewe, muheshimu kama utakavyotaka kuheshimiwa na mtendee yale ambayo utakayotaka kutendewa. Na pia mkimshirikishe Mungu ,Nina amini kuwa ndoa yenu itadumu na itahimili mitikisiko yote.
Yaani unauliza ndoa hazidumu wakati jibu ushaliweka humu ndani. ndoa hazidumu kwa sababu Mnataka Haki za wanaume ziwe zenu. kwa hiyo sababu ni Nyie wenyewe. mmeanza kwenda shule, kupata uongozi mmesahau jinsia zenu kwamba mmezaliwa kuwa walezi wa familia wakati Wanaume wamezaliwa kuwa wazazi wa familia
 
Wewe na mtoto wako mnaweza kuishi kwa haki sawa, umpe simu kama yako, asiende shule kama wewe, aset nywele, akutume dukani kununua mafuta ya kula na akwambie umfulie nguo?

Hata mbugani kuna mamlaka na madaraka kuna great five kwa maana ya tembo, twiga, simba, chui na nyani hao ndio wafalme wa mbuga wenye mamlaka yote wengine wanafata.
Serikali ina raisi, mawazili na wakurugenzi n.j na kuna polisi wa kutendea kazi maagizo yanayotoka juu
Shuleni kuna mwalimu mkuu, walimu wadogo na wanafunzi wa kutimiza maagizo kutoka juu
Duniani kuna wanaume wenye misuri minene, nguvu, sauti nzito na akili nyingi na kuna wanawake wenye misuli michache dhahifu, sauti nyembamba laini, wanyonge
mbinguni kuna mungu na malaika wanaotumwa na mungu kufanya mambo mbalimbali (watumishi).
Shetani ana majini, na wachawi wakutekeleza maagizo yake

HAKI SAWA IPATIKANE VIPI

Ila ndoa iwe na mke na mme wote sawa

Adhma ya kishetani hii. Kuna vitu hata haviitaji mijadala ni upotezaji wa muda. Kama hili
 
Imeandikwa;

“Mke au mume asimuache mke au mumewe isipokuwa kwa Uzinzi na uasherati “

Inapothibitika uasherati kufanywa na mwanandoa mmoja wapo kuachana ni ruksa kwa mujibu wa Maandiko Matakatifu.

Tena kama na mtoto amezaliwa nje ya ndoa kwa mchepuko hawara ndio kabisaaaaa pasina shaka kuwa uzinzi/uasherati umefanyika pasipo shaka na kudhibiti cha uzinzi/uasherati ni mtoto aliyezaliwa [emoji108][emoji108]

Hapo yule alotendwa akiamua kudai talaka kwenda kuanza maisha yake mengine ni ruhusa kabisa kwa mujibu wa hilo Neno!
 
(a). Wanaume wamepunguza upendo.

(b). Wanawake wamekosa utii.
 
Ndoa zin kaa san tu ila waandishi na wambeya wamekuwa wengi....kingine tumesahau sana miti shamba yetu yaani sie kurogana kidogo lazima...dawa zetu mmezipa jina baya eti limbwata vumbi la kongo!

hivi nyie wanaume wa kibongo na lumba lenu hilo ukirogwa na binti Clintoni/Obama kale kabinti kaseme kana kuroga tena live siutakula tu!...au mheshimiwa Jokate aseme sasa anakuoa mwanaume lkn lazima ule limbwata utachomoka kweli!

si mnajifanya fanya tu!! na chupi mnafua kila siku
 
Wanawake wanataka kugombea umiliki wa ndoa. Ni muendelezo ule wa ugomvi Kati ya Adam na Lilith. Mungu akumuumba mwanaume pekee bali alimuumba na mwanamke aitwae Lilith kama mke wa kwanza wa Adam Ili wazaane waongezeke na kuitawala dunia, maana wawili tu wasingeweza kula vyoote vilivyomo.
Lilith akaingiwa na shetani akamjaza ujinga nae akakataa kumtii Adam Ili kuleta balance kama asili ilivyo. Lilith akataka awe juu ya Adam Ili aweze kumtawala Adam, akimfanyia Adam vurugu zote nae Adam akamlilia Mungu juu ya mateso toka kwa Lilith. Mungu akasikia kilio cha Adam nae akamfanyia usingizi kupitia Adam akapatia Hawa. Nao wakaishi kwa aman hadi Nae Hawa alipodanganywa na shetani. Lilith akafukuzwa mbali na Adam akaenda olewa na shetani akazaa majini,nae akaapa kupambana na uzao wa Adam.
So wengi wa leo hawana utii na heshima ambavyo ni vitu viwili msingi wa ndoa.
Hakuna utii na heshima hakuna Upendo.
 
Back
Top Bottom