Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo wewe tu,hata matokeo yenyewe yanashangaa kwanini hayatangazwi!Shida ni nini wakuu. Watoto wanashangaa,wazazi tunashangaa.
Shida nini??
Acheni mbwembwee....tangazeni matokeo.Kila kitu kina ratiba yake sio siasa mwaka jana matokeo yalitangazwa tarehe 15/01/2021.
Kwa sasa matokeo ya darasa la nne,kidato cha pili na kidato cha nne yanatangazwa pamoja.
May be leo yatatangazwa.
Waambie baraza,mimi nimeandika kwa uzoefu wa mwaka jana.Acheni mbwembwee....tangazeni matokeo.
Unataka kusema wanarekebisha mitambo?Yapo jikoni,
Kumbuka matokeo lazima yaendane na Serikali iliyopo madarakani kwa wakati huo
Hapo sasa umeharibu gaidi yule acha apambane na sheria alifikiri haonekani katesa watu sana kisa uenyekitiTangu walipombambikizia Mbowe kesi ya UONGO laana ipo inawatafuna.
Yalitakiwa kutoka lini?