Hili swali halina mbele wala nyuma, kwanini nembo yenu ina pembe za ndovu halafu nchi yenu inaongoza kwenye uharamia wa hizo hizo pembe.
Halafu nembo mumeweka mashoka na mikuki, mwenge na mazagazaga mengi duh!!
Hilo ni lubega baba!Sisi kwenye nembo yetu hamna mwanaume aliyevaa sketi. π
Hiyo labda umeichora wewe.Vipi kuhusu hii?
Sawa jombaa.Hilo ni lubega baba!
kumbe kuku pia anaweza kushika shokaππππVipi kuhusu hii?
Nenda kwenye site official za GoK alafu urejee upya.Hiyo ndiyo yenu.
simba koko hao wametoka kula nyumbu then wanamendea jogoo. jogoo nae kajihami kwa shoka π±π±π±π±π±
Nembo yenyewe ndio hii!
Yaani hamna mirangi rangi ya ajabu ajabu wala shoka mbili, sijui ya kukatia miti na ingine ya kutoa watu roho, mara sijui jike na dume. Cheki kucha za simba, yaani unaona kabisa ndio wametoka kuua na kula nyumbu wa kitanzania! [emoji38] Mungu ibariki nchi yangu tukufu ya Kenya!!!
Weka hapa mwenyeweNenda kwenye site official za GoK alafu urejee upya.
Hapana, hapo jogoo anadumisha amani. πsimba koko hao wametoka kula nyumbu then wanamendea jogoo. jogoo nae kajihami kwa shoka π±π±π±π±π±
Yaani hii ni ya kenya. Kama siyo ya kenya ni logo ya wapi?Nenda kwenye site official za GoK alafu urejee upya.
Eti? Ya nini tena? Si tayari ipo hapa? Wewe chagua ile inayokupendeza alafu kaa ukijua ndio hiyo. πWeka hapa mwenyewe
Unaweza ukatoa maelezo kuhusu nembo zenu?Hapana, hapo jogoo anadumisha amani. π
South Sudan.Yaani hii ni ya kenya. Kama siyo ya kenya ni logo ya wapi?
Sasa nahitaji explanation kuhusu nembo zenu hizo. Nipatie maana ya kila kitu.Eti? Ya nini tena? Si tayari ipo hapa? Wewe chagua ile inayokupendeza alafu kaa ukijua ndio hiyo. π
Nikimaliza kazi hiyo ntalipwa shilingi ngapi? Au ni kazi ya kupuliza tu gunia?[emoji15][emoji15][emoji15]Unaweza ukatoa maelezo kuhusu nembo zenu?
Unahitaji? Chukua basi! πSasa nahitaji explanation kuhusu nembo zenu hizo. Nipatie maana ya kila kitu.
Vijana wa kenya hamna uelewa kuhusu nchi yenu. Mmekalia wizi tu.Nikimaliza kazi hiyo ntalipwa shilingi ngapi? Au ni kazi ya kupuliza tu gunia?[emoji15][emoji15][emoji15]
Unahitaji? Chukua basi! π
Mbona kambale wanayoKwahiyo simba jike wana masharubu?
Why?Copycat of Tanzania the earliest issuer of independent coat of arms in Eastern, Central and Southern Africa
A lot of characters there have been shipped from Tanzanian coat of arms