Zuwenna
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,133
- 3,758
Hili swali halina mbele wala nyuma, kwanini nembo yenu ina pembe za ndovu halafu nchi yenu inaongoza kwenye uharamia wa hizo hizo pembe.
Halafu nembo mumeweka mashoka na mikuki, mwenge na mazagazaga mengi duh!!
![]()
Majibu na Kilicho ulizwa Mbali mbali
Hovyo kabisa!!