King Jody
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 1,834
- 3,456
Najua wapo wanaokula na wasiokula nyama ya nguruwe, lakini pia wanaokula nyama ya nguruwe wanaisifia kuwa ni tamu sana hasa iki rostiwa vizuri ichanganywe na kamchicha kwa mbali ni full burudani.
Swali langu ni je? kwanini nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe? je maziwa ya nguruwe yana athari zozote kwa binadamu? kama ni ndiyo kwanini nyama yake inaliwa?
Mwenye majibu atujuze tafadhali.
Swali langu ni je? kwanini nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe? je maziwa ya nguruwe yana athari zozote kwa binadamu? kama ni ndiyo kwanini nyama yake inaliwa?
Mwenye majibu atujuze tafadhali.