Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Nguruwe ni nguruwe na Ngombe ni ngombe; kwa nini unataka wanyama wawili wasiofanana wafanane?Najua wapo wanaokula na wasiokula nyama ya nguruwe, lakini pia wanaokula nyama ya nguruwe wanaisifia kuwa ni tamu sana hasa iki rostiwa vizuri ichanganywe na kamchicha kwa mbali ni full burudani...
Ni sawa na kuuliza kwa nini simba hali majani kama nyati eti tu kwa sababu wote wanaishi mbugani/porini