Kwanini Nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe?

Kwanini Nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe?

Yana harufu Fulani sijaipenda na mafuta mafuta nilikuwa nakunywaga kama dawa ya kuacha pombe na nilikua Nakamua nguruwe zangu mwenyewe
 
Hizi pia zinaweza kuwa sababu:
1. Chakula anachokula, siyo nyasi tu
2. Kundi la mnyama(omnivores)
3. Hygiene ya mnyama
4. Haiba ya mnyama(anaweza akakung'ata ukiwa unamkamua)
5. Mfumo wake wa umeng'enyaji chakula (siyo ruminants)
 
Back
Top Bottom