Kwanini Nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe?

Kwanini Nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe?

Hapana mkuu. Hiyo ni scientifically proved. Hata kanuni za kiafya zinaafiki hilo pasi na shaka.
Scientifically proved ni kuwa pork meat ulaji wake iwe kidogo au kwa wingi hupelekea excess accumulation of fats resulting to obesity and cardiovascular diseases.
Na fats za pork meat ni bad fats.
Sio kama beef meat ukizidisha ina results into obesity only or overweight.
 
yes sir!!! also there are very dangerous worms in pork meat."yaani kuna minyoo hatari mno kwenye nyama ya nguruwe ambao makazi yao huwa wanakimbilia kujificha kwenye ubongo wa binadamu ambapo hupelekea ata kifo"
 
Naona ISIS wameshavamia uzi wa kumkandia my wetu na viutaalam uchwara vya kuchambua nyama yake hapo ukikagua vyeti vyao wa F 6 na D1, nyama wale wemgine allergy mpate nyie mnachekesha
 
Scientifically proved ni kuwa pork meat ulaji wake iwe kidogo au kwa wingi hupelekea excess accumulation of fats resulting to obesity and cardiovascular diseases.
Na fats za pork meat ni bad fats.
Sio kama beef meat ukizidisha ina results into obesity only or overweight.
Mkuu; tunazungumzia maziwa au vp. Habari za nyama ni baadaye.
Hata hivyo mkuu, zingatia kwamba chochote kile(Anything) mtu anachokula bila kuzingatia kiasi huweza (i.e. sio lazima) kupata madhara. Uliza chochote kile (food) alacho mtu nikuambie madhara yake.
 
Madhara ya vingine vinavyoliwa ni common na hayana excrutiate consequences kama nyama ya nguruwe.
Kwenye maziwa mkuu nitarudi hapa maana hatuwezi ongea basi na ithibati ya hiko kitu.
 
Naona ISIS wameshavamia uzi wa kumkandia my wetu na viutaalam uchwara vya kuchambua nyama yake hapo ukikagua vyeti vyao wa F 6 na D1, nyama wale wemgine allergy mpate nyie mnachekesha
Aaah au siyo!?
😂😂😂😂😂
 
Take this: Bila kujali chanzo cha maziwa; maziwa YOTE ni chakula na mtu akitaka anaweza kuyala bila shida yoyote na hakuna madhara.
Sasa tukianza kuingiza humo mambo ya Imani, Mila, Desturi na Ubinafsi ndo hapo tunakuwa na kutengana - Ila maziwa yatabaki kuwa ni maziwa na ni chakula. Ni juu yako ww binafsi uamue kusuka au kunyoa.
Sawaaa
 
Ni sahihi mkuu kwasababu nyama ya nguruwe yenyewe ina vimelea vya minyoo yenyewe kama yenyewe.
Je, Ni kila nyama ya nguruwe ( i.e. every pork, bacon or swine meat) au ni specific (only and if only) kwa nyama ya nguruwe aliye na uambukizo wa minyoo hiyo?
 
Najua wapo wanaokula na wasiokula nyama ya nguruwe, lakini pia wanaokula nyama ya nguruwe wanaisifia kuwa ni tamu sana hasa iki rostiwa vizuri ichanganywe na kamchicha kwa mbali ni full burudani.

Swali langu ni je? kwanini nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe? je maziwa ya nguruwe yana athari zozote kwa binadamu? kama ni ndiyo kwanini nyama yake inaliwa?

Mwenye majibu atujuze tafadhali.

View attachment 3044191
ni ubunifu tu we anza kumkamua utaona watu wakiiga kumkamua
 
Je, Ni kila nyama ya nguruwe ( i.e. every pork, bacon or swine meat) au ni specific (only and if only) kwa nyama ya nguruwe aliye na uambukizo wa minyoo hiyo?
Bacon huwa ni ngumu sana kuleta shida hiyo tuitoe.
Swine ni nyama ambayo ina maradhi unaweza kupata madhara mengi sana kupitiliza mkuu.
Ila pork ya kawaida kama ikipikwa vizuri vile vimelea vya minyoo ya Taenia Sollium huwa ni ngumu kuleta athari,kitakachobaki kuleta athari ni excess bad fats iliyopo katika nyama basi.
 
Huna hadhi ya kubishana na mimi we jobless,kama vipi kamkamue kwani umezuiwa?kamua punda Son of bitch.
Ulitumwa uni quote!?
Mbona wenzako nilijadiliana nao kiustaarabu na kihekima??
Kwanini wewe mbwa malaya ulokosa adabu ukaja pasi na hekima ukaanza na matusi!?
Halafu mwenye uwezo hajitambi,una uhakika mimi jobless!!??
Usikute nabishana na MALAYA ALIYEKOPWA UCHI HAPA.
Ngoja niku block maana huwa sinunui malaya nimeoa ALHAMDULILLAH.
Kajiuze unapojiuzaga.
Ngoja niku ignore MALAYA MBWA WEWE.
 
Kwamba waliotoa tuzo wamekula nguruwe tu maishani mwao😅😅😅🤣
Kwanza waliotoa tuzo kuna nyama nyingi hawajagusa dadaangu na I bet ngamia nyama ya kwanza,maana nchi nyingi zinachukulia ngamia nyama ya kiislamu/kiarabu 😂😂😂😂😂😂😂.
Kuna nyama pori nyingi ni tamu sana kuliko nguruwe,jaribu kuzitafuta.
Kamle digidigi,pofu na mbogo maji halafu rejelea hapa mkuu.
 
Back
Top Bottom