Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Dah! Umenikumbusha mbali sana. Enzi hizo za utoto tulikuwa tunakusanyika tunatengeneza mduara halafu mmoja anakaa katikati kuimbisha:
Nyama nyama nyamaaa,? nasi tuliozmzunguka tunaitika NYAMAAA.
Anaendelea lakini kwa haraka: Ya ng'ombeee?; tunaitika NYAMAAA
Ya mbuziiii? - tunaitika NYAMAAAA
Ya Fisiiii? - m;m;m hakuna anayeitika.
Ya kuku? - NYAMAAA
Ya mbwaaa? - a' m'm'