Kwanini Nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe?

Kwanini Nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe?

Kabla hatujafika mbali mleta Uzi kwanza Ulishaona Meno ya Nguruwe Vizuri 🤔
 
Mguruwe huzaa kulingana na idadi ya matiti yake!
Akiwa na matiti 12, atazaa watoto 12 na kila mtoto ananyonya titi lake, ng’ombe ana matiti manne ila anazaa mtoto mmoja, nadra sana kizaa watoto wawili so anakuwa na maziwa ya ziada ndio hukamuliwa! Nguruwe hawezi kuwa na maziwa ya ziada
Mbona kuna ng'ombe wa maziwa, kwanini watu wasifuge nguruwe wa maziwa.
 
Ngoja waje kukupa muongozo...


Cc: Mahondaw
1721234711620.png
 
... jamaa wanavyopenda kuwakera KOBAZI si muda mrefu utasikia wanauza mtindi wa ndudu!
YAANI UMEISHAWAPA BUSINESS IDEA!
😅
 
Maziwa yapo sema demand ndo ndogo. Mara kadhaa walevi wanaotaka kuacha pombe wamekuwa wakipewa haya maziwa.😅

Ladha yaka haina utofauti sana na ng'ombe sema yenyewe yana maji kwa wingi na nimazuri sana kwa namna yake ukiandaliwa huwezi tofautisha na ya ng'ombe.

Na ni fursa pia kwa wale ambao wana allergy ya maziwa ya ng'ombe.
ea9u1M3L_400x400.jpg
 
Najua wapo wanaokula na wasiokula nyama ya nguruwe, lakini pia wanaokula nyama ya nguruwe wanaisifia kuwa ni tamu sana hasa iki rostiwa vizuri ichanganywe na kamchicha kwa mbali ni full burudani.

Swali langu ni je? kwanini nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe? je maziwa ya nguruwe yana athari zozote kwa binadamu? kama ni ndiyo kwanini nyama yake inaliwa?

Mwenye majibu atujuze tafadhali.


View attachment 3044191
Anazaa watoto wengi , ukikamua ,vitoto vitapata wapi maziwa
 
Back
Top Bottom