Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
haya ndio yale Maswali yasio na kichwa wala miguu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa plan tiyare akijilengesha kunguruwe tu na bahati mbaya mmiliki ( mfugaji) na mfahamu imeisha hiyo😂😂Onja utupe mrejesho mkuu
Swali zuri ila litajibiwa kimasihara
Ukiamua kamua,hakuna anayekukataza mbona sababu inajitosheleza otherwise we ni complete moronHilo sio jibu sahihi.
Kuna ng'ombe wa maziwa tu,wanafugwa kwaajili ya maziwa.
Kwanini msifuge nguruwe wa maziwa!?
Huyo mdudu ana laana😂Najua wapo wanaokula na wasiokula nyama ya nguruwe, lakini pia wanaokula nyama ya nguruwe wanaisifia kuwa ni tamu sana hasa iki rostiwa vizuri ichanganywe na kamchicha kwa mbali ni full burudani.
Swali langu ni je? kwanini nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe? je maziwa ya nguruwe yana athari zozote kwa binadamu? kama ni ndiyo kwanini nyama yake inaliwa?
Mwenye majibu atujuze tafadhali.
View attachment 3044191
Huyu jamaa kweli kadata,anashindwa kutofautisha kati ya livestock na pet.Paka na mbwa wanaliwa nyama? soma vizuri bandiko mkuu
Look at this dunderhead.Ukiamua kamua,hakuna anayekukataza mbona sababu inajitosheleza otherwise we ni complete moron
Eti ulikamue hili limdudu lazima likung'oe puaUzi usikose kapicha ka mrembo
View attachment 3044186
Ghafla itakuwa bidhaa adimuWaseme yanaongeza nguvu za kiume
Kuku hanyonyeshiMwisho wa siku utauliza kwa nini kuku hatoi maziwa ila analiwa!
Uzi usikose kapicha ka mrembo
View attachment 3044186
Anavyoandamwa jamani ila ndo anazidi kujinenepea
Hili week mahi amepelekwa mjini sana. Goodthing ni kwamba amejaaliwa ukimya na ushindi siku zoteee. 😂😂Hii ni wiki yake😂