Kwanini Nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe?

Kwanini Nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe?

Kwanza waliotoa tuzo kuna nyama nyingi hawajagusa dadaangu na I bet ngamia nyama ya kwanza,maana nchi nyingi zinachukulia ngamia nyama ya kiislamu/kiarabu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Kuna nyama pori nyingi ni tamu sana kuliko nguruwe,jaribu kuzitafuta.
Kamle digidigi,pofu na mbogo maji halafu rejelea hapa mkuu.
Wote hao wamechemsha mbele ya kitimoto nyie km mnakufa kufeni ila ndo nguruwe kashachukua tuzo kiulaiinii na hatuachi kumla km ni maziwa nayo tutakunywa na manyoya yake yatapata kazi,

saiv moyo wake unatumika kama mbadala kwa wenye matatizo ya moyo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Bacon huwa ni ngumu sana kuleta shida hiyo tuitoe.
Swine ni nyama ambayo ina maradhi unaweza kupata madhara mengi sana kupitiliza mkuu.
Ila pork ya kawaida kama ikipikwa vizuri vile vimelea vya minyoo ya Taenia Sollium huwa ni ngumu kuleta athari,kitakachobaki kuleta athari ni excess bad fats iliyopo katika nyama basi.
Yeah! Na hapo ndo unaambiwa usile nyingi eti mpaka ushibe au kuikomoa - huo tayari ni ulafi.
 
Wote hao wamechemsha mbele ya kitimoto nyie km mnakufa kufeni ila ndo nguruwe kashachukua tuzo kiulaiinii na hatuachi kumla km ni maziwa nayo tutakunywa na manyoya yake yatapata kazi,

saiv moyo wake unatumika kama mbadala kwa wenye matatizo ya moyo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Mkuu; manyoya ya nguruwe ni mali ghafi ya kutengeneza brashi. ref: pig bristles were used for making brushes. They have been replaced by synthetic bristles. (Google.)
 
Mkuu; manyoya ya nguruwe ni mali ghafi ya kutengeneza brashi. ref: pig bristles were used for making brushes. They have been replaced by synthetic bristles. (Google.)
Kwahiyo mnyama mzima ni faida tupu

Watasema kinyesi, ni bonge moja mbolea ya ng'ombe haitii mguu inakaa ardhini kwa miaka hata 4 bila kuongeza mbolea ya aina yoyote
 
Wote hao wamechemsha mbele ya kitimoto nyie km mnakufa kufeni ila ndo nguruwe kashachukua tuzo kiulaiinii na hatuachi kumla km ni maziwa nayo tutakunywa na manyoya yake yatapata kazi,

saiv moyo wake unatumika kama mbadala kwa wenye matatizo ya moyo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Aaaagh wapi heart transplant bado haijapata maximum efficiency.
We mle ila haii mguu wa pofu ama digidigi.
 
yes sir!!! also there are very dangerous worms in pork meat."yaani kuna minyoo hatari mno kwenye nyama ya nguruwe ambao makazi yao huwa wanakimbilia kujificha kwenye ubongo wa binadamu ambapo hupelekea ata kifo"
Dah!.... Noma Sana hiii, ukiichemsha hiyo nyama vizuri si minyoo inakufa ?

DR Mambo Jambo
 
Dah!.... Noma Sana hiii, ukiichemsha hiyo nyama vizuri si minyoo inakufa ?

DR Mambo Jambo
Anazungumzia Taenia Solium au Kuna minyoo Mingine??

Maana Taenea na Minyoo mingine kama cysticercosis Ku Envade kwenye CNS ni Very Chronic Case na Ni rare sana..

Yaani ni mpaka Mtu huyu Minyoo hiyo Imeshachakaza Utumbo Mdogo ikachoka..

Simpendi Nguruwe Sili nguruwe na wala sitamani kula nguruwe Kwa sababu zangu za Kiroho na Huenda kidogo kiafya..
Ila siwezi kusingizia Minyoo
 
Hoja yako ni nini?
Unavyosikia ng'ombe wa maziwa ni wajibu maziwa yao yote wanywe ndama?
Kiasili nguruwe hakuumbwa kuwa chakula cha binadamu.
Kitimoto rost kilomoja na ugali wake pamoja na kachumbali,au kiti moto choma na ndizi nne pamoja na pilipili ,HIKI CHAKULA HATA MALAIKA WANGEKUWA WANAKULA WASINGEACHA SIO BINADAMU PEKEE.
 
unajua kuwa vitu vichafu vichafu ndo vina soko au hujui??
 
Hoja yako ni nini?
Unavyosikia ng'ombe wa maziwa ni wajibu maziwa yao yote wanywe ndama?
Kiasili nguruwe hakuumbwa kuwa chakula cha binadamu.
Nilishaeleza huko juu, ngโ€™ombe huwa wanatoa maziwa excess!
Acha ukilaza, ili ngโ€™ombe atoe maziwa sharti azae ndama akinyonya yale excess ndio binadamu huyatumia!
Kitu ambacho ni tofauti kwa nguruwe!
Watu wanakula nyoka na kenge, wee unasema nguruwe hakuumbwa kwa ajili chakula cha binadamu !
 
Kitimoto rost kilomoja na ugali wake pamoja na kachumbali,au kiti moto choma na ndizi nne pamoja na pilipili ,HIKI CHAKULA HATA MALAIKA WANGEKUWA WANAKULA WASINGEACHA SIO BINADAMU PEKEE.
Agiza mwanangu nakuja kulipa.
Mwambie yangu anifungie ntaenda kumpelekea shemeji yako.
 
Swali langu ni je? kwanini nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe? je maziwa ya nguruwe yana athari zozote kwa binadamu? kama ni ndiyo kwanini nyama yake inaliwa?
ungemaliza na binadamu kabsa maana nae hakamuliwi๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
WhatsApp Image 2024-10-16 at 19.49.43.jpeg
 
Back
Top Bottom