4 4 7mbatizaji JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 8,406 Reaction score 9,619 Oct 27, 2024 #181 King Jody said: View attachment 3135215 Click to expand... Nimecheka kijinga sana ,jf raha sana
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Oct 27, 2024 #182 Nasubiri mtu aanze kukamua na kuyatumia, huenda ni matamu sana.
machiaveli JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,225 Reaction score 5,055 Oct 27, 2024 #183 Yana harufu Fulani sijaipenda na mafuta mafuta nilikuwa nakunywaga kama dawa ya kuacha pombe na nilikua Nakamua nguruwe zangu mwenyewe
Yana harufu Fulani sijaipenda na mafuta mafuta nilikuwa nakunywaga kama dawa ya kuacha pombe na nilikua Nakamua nguruwe zangu mwenyewe
Benno Bongo JF-Expert Member Joined Jun 10, 2017 Posts 620 Reaction score 704 Oct 28, 2024 #184 Hizi pia zinaweza kuwa sababu: 1. Chakula anachokula, siyo nyasi tu 2. Kundi la mnyama(omnivores) 3. Hygiene ya mnyama 4. Haiba ya mnyama(anaweza akakung'ata ukiwa unamkamua) 5. Mfumo wake wa umeng'enyaji chakula (siyo ruminants)
Hizi pia zinaweza kuwa sababu: 1. Chakula anachokula, siyo nyasi tu 2. Kundi la mnyama(omnivores) 3. Hygiene ya mnyama 4. Haiba ya mnyama(anaweza akakung'ata ukiwa unamkamua) 5. Mfumo wake wa umeng'enyaji chakula (siyo ruminants)
King Jody JF-Expert Member Joined Oct 8, 2022 Posts 1,834 Reaction score 3,456 Nov 24, 2024 Thread starter #185