Kwanini nguruwe hauzwi minadani kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku?

Siyo sababu ni haramu, hata binadΓ mu hauzwi mnadani si kwa kuwa ni haramu.
Ah bhana! Mambo mengine ni kuyanyamazia tuu kwa sababu hao-hao wanaosema hichi Haram kile ni najis hii ni sunn'ah etc ndo hao hao waliokuwa wanaendesha ule mnada pale Bagamoyo karibu na deep sea pembeni ya lile kanisa (wanapokaanga samaki) huku babu zetu wakiwa na ile minyororo miguuni wamefungwa kwenye yale matofali ya zege na wanunuzi wakiwapekenyua watumwa hao mdomoni na etc kuona kama meno yote yapo intact n.k. Ni Aibu yao milele- ndo mana sijui kama itakaa itokee siku niwapende hao majamaa.
 
Tukiondoa sababu za Imani Kuna sababu nyingine Nje na hapo maana Nchi hii Haina Dini.


Hata kwenye maonyesho ya nanenane Huwa tunawaona mkuu
Sababu kuu ni dini, kwa kuheshimu baadhi ya wananchi wenye imani zao ambao zinawakataza kutotumia hao wanyama hata kama nchi haina dini. Na tunashukuru kwa watanzania kwa ujumla wao wameweza kuvumiliana na kushirikiana katika mambo yao ya kijamii bila kujali imanai au itikadi zao.
 
Mkuu lekebisha hapo..Hakuna MTU anae Mpendwa Nguruwe,Bali Nguruwe upendwa na Nguruwe wenzio...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…