Kwanini nguruwe hauzwi minadani kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku?

 
au beberu yn mbuzi dume ni kelele mwanzo mwisho lakini yupo mnadani. Ila Sijasikia wakisemwa watu ambao ndo wenye kelele nyingi zaidi ya mifugo inayouzwa hapo japokuwa watu hao hawauzwi.
Kelele sio sababu hata kidogo. Hawajui kanga huyo wakiwa Saba tu kelele za hapo ni shida
 
Sahihi mkuu lakini hapo hapo mnadani ukienda sehem ya nyama choma ukiuliza kitimoto Unapata.

Pia kwenye nanenane wapo nguruwe wengi tu. Hapo ndo napata ukakasi kwanini mnadani tu?
 
Umechemka hapo broo. Kumbuka huyo Mwamba shughuli yake ni pevu na ili ikamilike huchukua Nusu saa nzima (30 mins) jamaa yupo Top na mzigo wake (Total complete ejaculate) ni NUSU LITA na anaweza kurudia mara mbili kwa siku bila afya kutetereka.
Mkuu una Manisha manii yake (shahawa )ni kanusu Lita?
 
Wazee wetu nao walikuwa Walpole sana Ile unaing'ata then unaitema
 
Kama Toka enzi za nabii Musa ni najisi kwanini ngamia mnakula Ili Hali nae ni najisi vilevile?

Turudi kwenye Uzi husika achana na Imani.
Ngamia mimi sili kwa sheria ile ile iliyoanzia kwa musa na ipo kwenye quran na kama ukila unatakiwa utawadhe, utakula kama hakuna chakula kingine, na kama ukikosa itapekea kufa
 
Hawa kulungu Huwa siwajui kabisa mkuu. Nimeona Kitimoto kashika No1👏👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…