Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #301
Mkuu hiyo sababu yakiwekwa mazingira rafiki mbona inawezekana kabisa. Angalia comment no12Nguruwe hawezi kuvumilia jua lazima afe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hiyo sababu yakiwekwa mazingira rafiki mbona inawezekana kabisa. Angalia comment no12Nguruwe hawezi kuvumilia jua lazima afe
Hongera.Sawa nitafanya hivyo bibie
Huyo nae ni kiumbe hai mkuu kukuvua lazima 😹😹😹Mkuu jeshini kuna siku tumepangiwa kwenda kuhudumia nguruwe, nikapangwa banda linaitwa Muhimbili, kumbe ni wale wagonjwa! Imagine nguruwe mgonjwa... Sisahau hadi leo
Kanda ya Ziwa na baadhi ya minada ya kaskazini mkuuMnada Gani kwanza?😂huku kwetu mnadani kama wote,wewe uko wapi?
Jibu murua kabisa mkuu. Hivyo tutegemee miaka ijayo kuwaona na minadani Kwa hakika?Sababu ni hii: Nguruwe na nyama yake vimepata umaarufu siku za karibuni tu. I mean miaka ya nyuma kwenye 60, 70 na 80, nyama ya nguruwe haikuwa inaliwa kama sasa. Hata mabucha ya nyama ya nguruwe yalikuwa ni machache sana sana na nyama ya nguruwe ilikuwa inauzwa kwa msimu. i.e. mfugaji wa nguruwe (walikuwapo wachache sana) anapotaka kuchinja nguruwe, anatoa habari kwa majirani na watu wa karibu ili wakanunue nyama siku atapochinjwa. Kwa hiyo tunaweza kusema kuwa nguruwe hauzwi mnadani kwa sababu umaruufu wa nyama yake umeibuka siku hizi tu. Fanya uchunguzi utakuwa hata wazee wa zamani wengi walikuwa hawapendi nyama ya nguruwe. Na zaidi mambo ya ku-roast au kukaanga hayakuwepo kama sasa. Nguruwe wachache waliokuwepo walikuwa wanafungwa na kunenepeshwa ili yapatikane mafuta ya kupikia. Ilikuwa ni kawaida nguruwe anapochichwa watu wanakwenda kununua mafuta yake ili wakayatengeneze kwa kupikia chakula,
Ahsantee sana mkuu Kwa michango YakoKama nilivyosema zamani watu wengi walikuwa hawali kitimoto. Na pia enzi hizo kumtoa nguruwe point A mpaka B ilikuwa siyo kazi rahisi kwa sababu huwezi kuwaswaga kama mbuzi. Kipindi hicho magari na vyombo vya usafiri kwa ujumla vilikuwa hapa. Hivyo kuna combination ya sababu
1. Nyama ya nguruwe zamani ilikuwa hailiwi kama sasa hivyo kulikuwa hakuna uhitaji wa nguruwe wengi kwa mara moja.
2. Kuswaga nguruwe mpaka mnadani nayo ni shughuli kwa sababu hawana nidhamu kama mbuzi.
Kuhusu Hilo sijafanya research mkuuKwa nini Rolls Royce haiuzwi Magomeni na Hapo mlimani city kwa madalali.
Kweli kabisa mkuu. Ila tunaomba na wao watuvumilie tu kama sisi tunavyo wavumilia kutuchinjia mifugo yetu.Tatizo ndugu zetu wana nongwa sana, watasusa kwenda mnadan kununua hata vitu vingine kisa tu Kuna nguruwe. We c unaona hata kuku tunawapa wachinje, maana ukichinja wewe hawali.
Tunawapenda sana ndugu zetu, Ila wana noma sana.
Ni haramu kwako mkuuYule mdudu ni haramu hasaaaa afai hata kuonekana mtaani
Wazo lako Lina ukweli mkuu.Mahitaji ya Nguruwe ni makubwa na uzalishaji ni kidogo hvyo hawapo wa kutosha kupelekwa mnadani.
Ni wazo langu
Naungana na wewe mkuu 100% maana unaweza enda Kwa wafugaji zaidi3 wanakwambia hawauzi ama Wana wateja wao maalumu. Lakni kukiwa na soko lao sehemu huwezi koswa kabisa.Kwanza nakubaliana na wote walichangia mada
Nafikiri ni kwasababu ya
1)Nguruwe hawafugwi kwa wingi kama ng'ombe na mbuzi,kwahiyo hao soko lao linaishia majumbani tu.
2)Dhamiri.
Ukichanganya nguruwe na wanyama wengine kwenye biashara au sokoni tegemea kukosa wateja wa Imani Fulani na hii yaweza leta mkanganyiko kwenye jamii na hapa nakubaliana na Atacms
Mwisho:ukitoa nguruwe,wanyama karibia wote waliobaki wanauzika kwa watu wa Imani zote..
Nashauri nguruwe wawe na soko lao maalumu
Mkuu wakitengewa maeneo mazuri wakawa na mabanda Yao kama tunavyoona kwenye nanenane mbona inawezekana kabisa? Angalia comment no12 mkuuHuo mnada ungekuwa ni mbio mbio za kufukuza nguruwe maana hawajawahi tulia sehemu moja. Yaani ukiwa na hamu ya mbio unae sa mnada wa nguruwe mpaka jion umekimbia kilomita za kutosha.
Anaefuatia kwa kukosa utulivu ni mbuzi.
Labda Hivi karibu nimewahi fika mnada wa Katesh sikuwaona Tena sio mara1 sikuwahi kuwaona mkuu.Lakini siwezi kupingana nawewe huenda Kwa Sasa wanauzika na ni jambo jema kabisa asibaguliwe na yeye ni mnyama kama wanyama wengine tu.nenda minada ya mbulu kule manyara mkuu wa meza yupo kama kawa hii ni kwa viongozi haiwezi kuwa kila sehemu
Moshi zipo Nje Nje mkuu nenda maeneo ya mapipa hukoHahahaha! Bucha zenyewe za kificho
Mkuu pita polepole tuNimejuta kufungua huu uzi nilidhani umeandika nguru kumbe nguruwe
😎😎😎
Mkuu Rabi alisema kweli mti wenye matunda ndo hutupiwa mawe!! Kwakweli huyu kiumbe anapitia mengi sana lkn Hana habari naoHajawahi kuwa na baya lolotebali ni ss tu tunamnanga kupitiliza. Anastahili apewe maua yake.
Muhimu sana mkuu. Mimi nikienda viwanja bila kitimoto basi out yangu haijakamilika kabisa!! Mkuu wa meza naweza kumfuta alipo zaidi ya km10 mkuu imenitokea mara kadhaa hii.wazee wa kazi wapo 'mlangali ulayasi' kama unaelekea ludewa njombe kila tar 16 ya kila mwezi, wao ni kuuza nyama ya nguruwe tu tena wanakata nyama nyekundu tu na ile nyama nyeupe wanayeyusha mafuta wanayauza kwenye chupa. Mnyama ni mtamu sana aisee...ni ku enjoy tu!.
Nikifika minadani kitu cha kwanza ni kutafuta chimbo la nyama ya nguruwe kabla ya shughuli zilizonipeleka 😛 😛
Hai play mkuuTunadeliver ila kwa tabu sana...
Daah Huyu kachemshwaMtamu lakini