Kwanini nguruwe hauzwi minadani kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku?

Nguruwe nyama yake inauzwa kwenye mabanda machafu machafu pembeni kuna mfereji wa majitaka.
Hastahili kupelekwa mnadani macha atatuchafulia mazingira
 
Ni hivi, KIZURI CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA. Over 😂
 
Nguruwe nyama yake inauzwa kwenye mabanda machafu machafu pembeni kuna mfereji wa majitaka.
Hastahili kupelekwa mnadani macha atatuchafulia mazingira
Huyu kiumbe Kwa hakika ni mtamu sana. Imagine ukiwa na kachumbari,ndizi,na kapilipili Kwa mbali halafu mzinga wa nyagi upo pale daaah mkuu kama hujawahi jaribu fanya usisubiri kusimuliwa Kila na ulete mrejesho hapa.
 
Sio sehemu zote wanazouza kitimoto ni kuchafu, labda huko changanyikeni.
Maana yangu ni kwamba huwezi kuuza nyama ya ng'ombe au mbuzi mazingira machafu. Lazima upate leseni na mamlaka husika zikague na kukupa masharti.
Lakini kuuza nyama ya nguruwe wala huhitaji leseni na hakuna masharti hata yale ya formal dressing
 
Sio kweli, katafiti vizuri ukipata muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…