Kwanini nguruwe hauzwi minadani kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku?

Kwanini nguruwe hauzwi minadani kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku?

Nakubali ni nyama pendwa sana hata kwangu pia naikubali sana.

Utofauti wake ni ni hasa asiuzwe mnadani ukisema ni Luxury meat ni hoja nyepesi sana hii
Wewe utakua unajibu lako unalolitafuta, unaelewa maana ya luxurious meat ? Mzee hata soko ni uhakika...nguruwe utamkuta saa ngapi anasubiri kununiliwa mnadani ? Lakini nature yake tu pia kuanzia kidini Ndugu zetu wanaweza wasinunue chochote kwenye huo mnada....
Alafuu yule si mnyama anaeswaga ukiwatoa kuwapeleka kwenye mnada unaweza usirudi nae hata mmoja...wanafujo na kimbia kimbia unaweza ukasema Yesu amerudi na tayari ashawarushia mapepo tena...
 
Kwanza kabisa ukifuga nguruwe jua tu kila mda watu wanakufuata kukulizia vipi unamuzaaje huyo ambapo ni tofaut na wanyama wengine ambao unaweza kumfuga na kumaliza wiki bila mtu kukuuliza kama unamuuza huyo ila Nguruwe saasaaaa khaaa anatafutwa huyo we jaribu kupita nae tu hata mtaani kila mtu atakuuliza biashara hivuo huwezi kupeleka mnadani kitu kinachonunulika nyumbani yena kwa kugombaniwa na wateja
 
Wewe utakua unajibu lako unalolitafuta, unaelewa maana ya luxurious meat ? Mzee hata soko ni uhakika...nguruwe utamkuta saa ngapi anasubiri kununiliwa mnadani ? Lakini nature yake tu pia kuanzia kidini Ndugu zetu wanaweza wasinunue chochote kwenye huo mnada....
Alafuu yule si mnyama anaeswaga ukiwatoa kuwapeleka kwenye mnada unaweza usirudi nae hata mmoja...wanafujo na kimbia kimbia unaweza ukasema Yesu amerudi na tayari ashawarushia mapepo tena...
Mkuu hii ndo naweza kukubaliana nawewe.Ukisema Luxurious meat wengine watakuambia hata kuku kwao ni luxurious!!
 
Back
Top Bottom