Kwanini nguruwe hauzwi minadani kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku?

Sisi ndo wengi hapa nchini, nguruwe tunakula,nyie Kama hamli hameni nchi
Nyinyi wengi kwa Ndoa ya mpaka Kifo kiwatenganishe?Na wale bandika bandua je Nguruwe ni wachache sababu wanaokula ni wachache tofauti na Ng'ombe wanaoliwa na walio Wengi kafiri we.
 
Sisi makafiri ndo wengi hapa nchini,na kuniita kafiri hainipunguzii kitu na wewe utabaki kuwa nyuma yangu wewe mtoto wa nje ya ndoa,sawa?
 
Nchi ya wale wafuasi wa Muhammad S.a.w kwani ndo wamepigania Uhuru toka kwa mkoloni una jengine?
Wafuasi gani hao wa mudi waliopigania Uhuru wa hii nchi??, Nyerere baba wa taifa ni mfuasi wa huyo mudi kichwa?? Au huna akili??
 
U
Jf saalam.

Wakuu tukitazama tu Kwa jicho la kawaida hata bila kuingiza dini/Imani zetu hapa napata ukakasi sana.

Ni kwanini Nguruwe pamoja na kupendwa sana na watu lakini sijawahi ona kwenye minada ya kawaida nguruwe nae anauzwa kama ilivyozoeleka kuona ng'ombe na punda wakiuzwa kwanini kwakwe ni tofauti?

Tangu nianze kutembelea minada mikubwa nakiri wazi sijawahi ona nguruwe minadani.

Ndio swali ninalo jiuliza ni kwamba hairuhusiwi nguruwe kuuzwa minadani?View attachment 3140160
Nenda kongwa mnadani wanamuuza fresh tu Tena Kuna kamtaa kabisa ka nyama za kitimoto Hadi mishikaki ya kitimoto ya tsh 100,100
 
Kwetu ndo uko mnada wa nguruwe, kuliko hao wanyama wengine.
 
Jf saalam.

Wakuu tukitazama tu Kwa jicho la kawaida hata bila kuingiza dini/Imani zetu hapa napata ukakasi sana.

Ni kwanini Nguruwe pamoja na kupendwa sana na watu lakini sijawahi ona kwenye minada ya kawaida nguruwe nae anauzwa kama ilivyozoeleka kuona ng'ombe na punda wakiuzwa kwanini kwakwe ni tofauti?

Tangu nianze kutembelea minada mikubwa nakiri wazi sijawahi ona nguruwe minadani.

Ndio swali ninalo jiuliza ni kwamba hairuhusiwi nguruwe kuuzwa minadani?View attachment 3140160
We mchokozi sana aseh, hata mabucha ya huyo mnyama ni machache sana na yalipojengwa ni kwenye kauficho,jibu ni kwasababu haifai,kitaalamu anamaradhi uyu mnyama.
 
Jf saalam.

Wakuu tukitazama tu Kwa jicho la kawaida hata bila kuingiza dini/Imani zetu hapa napata ukakasi sana.

Ni kwanini Nguruwe pamoja na kupendwa sana na watu lakini sijawahi ona kwenye minada ya kawaida nguruwe nae anauzwa kama ilivyozoeleka kuona ng'ombe na punda wakiuzwa kwanini kwakwe ni tofauti?

Tangu nianze kutembelea minada mikubwa nakiri wazi sijawahi ona nguruwe minadani.

Ndio swali ninalo jiuliza ni kwamba hairuhusiwi nguruwe kuuzwa minadani?View attachment 3140160
Arusha kuna gulio moja wapo kila ijumaa
 
Ni kwa kuwa hawa wadudu ni wachafu sana, na mavi yao yananuka kama ya binadamu...
Hivyo watazua taharuki ya magonjwa ya mlipuko na kuchafua hali ya hewa ya mnadani............
Na pia zile kelele zao kama binadamu anataka kukata roho, ni kielelezo tosha hawafai kuliwa kama mboga...
Usiombe jirani yako afuge nguruwe, utatamani kuuiza nyumba ya kwa bei ya rejareja....
 
Wewe una matatizo binafisi na Nguruwe
 
Kuelekea mnadani…
 
Back
Top Bottom