Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

Mm nilitegemea NYERERE kwa exposure yako kubwa hiyo, ungefanya analysis vizuri kabisa mazuri na mabaya ya lisu na mbowe hivyo hivyo, I'li kuwachia wanachadema wachague wao, nimesikitika sana ww kuonesha uchawa wako hapa, ivi wewe ndio ulie chukua tunzo za uwandishi bora afrika? Sijajua vigezo wanavyotumia. Mm nilitegemea ww utoe mwanga kwa watanzania juu cha ya nani ni bora Kati ya lisu na mbowe? Ulichokifanya umeonyesha ushabiki (uchawa) na sio mwandishi wa kutoa elimu. Frankly speaking l disvalued u. Japo na ww ni maoni Yako na unabenefiti kutoka kwa Mbowe.
 
Yani mtu mwenyewe unaabudu mizimu nani atakuamini. Unasema Lissu ametumwa na maccm hivi unajua mmoja wapo wa waanzilishi wa chadema ni Daudi Balali ambaye ni ccm???. Unajua kuna Team mbowe wengi ambao ni wanachama halali wa chadema lakini wakati huo huo ni ccm?

Kama lissu hana mandate ya kuongoza chama kwa sifa unazozitaja kwanini mlimpitisha kuwania urais, maamuzi ambayo Mbowe mwenyewe mwenyekiti wako unaempigia debe ali approve na akampigia kampeni, kama Lissu hakuwa na sifa vipi kuhusu hao walimpigia kampeni mtu asiye na sifa???
Ngoja nipate lunch nitakurudia muabudu mizimu wewe.
Akikujibu niite
 
Mkuu alafu huyu eti ni mwandishi,amekuwa biased, kamsema lisu mabaya yake,tu bila kusema na ya Mbowe, audui wa taifa hili vijana wa chadema pia hafai, kabisa chawa
Huyo siyo kijana wa Chadema ni mwehu fulani pandikizi la Mbowe!
 
Nimeishia kusoma hapa tu, yaani leo hii Lissu aliyekua jasiri pekee kumface JPM na kuupa uhai siasa za upinzani kipindi kile cha udikteta ndio leo mnamuita anatumika na CCCM? yaani ali risk maisha hadi kupigwa risasi all that ili aje kutumika na CCM?

Nimekudharau sana hata kitabu chako nitakichoma moto, nilidhani upo intelligent kumbe ni just another Mbowe's pawn!! So embarrassing
Mkuu mm pia nimeumia sana kuona mwandishi ambae anasifika afrika anakuwa biased ,kasema mabaya ya lisu na mazuri ya Mbowe? Afrika people tunashida kichwani ,ivi wanatumia vigezo gani kuchagua wandishi bora? Kama huyu NYERERE ndio mwandishi bora wa afrika twice basi wote humu jamii forum ni wandishi bora sanaaaaaaaaa
 
Nimeishia kusoma hapa tu, yaani leo hii Lissu aliyekua jasiri pekee kumface JPM na kuupa uhai siasa za upinzani kipindi kile cha udikteta ndio leo mnamuita anatumika na CCCM? yaani ali risk maisha hadi kupigwa risasi all that ili aje kutumika na CCM?

Nimekudharau sana hata kitabu chako nitakichoma moto, nilidhani upo intelligent kumbe ni just another Mbowe's pawn!! So embarrassing
Hapo ndipo mnapokosea. Lissu hakusimama peke yake kum face JPM. Wakina Mbowe, Halima, Lema, Heche, Mnyika n.k. wote walipambana kikamilifu dhidi ya serikali ya JPM. Walipigwa, walitupwa rumande na walifungwa lakini waliendelea mpambano. Kuna Husna Amri Said na wenzake wa Chato ambae bila kujali kuwa pale ni kwa JPM walipambana kunyanyua bendera ya Chadema. Na wengi zaidi ambao bado wamo wanapambania chama na taifa lao. Wote hawa kwako ni bure, umemuona Lissu peke yake? Mnamuonaje Lissu shujaa kwa kupigwa na kusurvive risasi bila kutambua mchango mkubwa wa wanachama wenzake ambao walikataa kumpeleka kwenye hospitali za serikali na kumrusha kwa ndege kwenda Nairobi. Ni haki yenu kumpigia debe Lissu lakini hamna haki ya kufuta mchango mkubwa wa Mbowe na wenzake.

Amandla...
 
Kwa makala yako inaonyesha Chadema ni chama hakipo makini kwani walisimamisha mgombea wa urais asiye na uwezo hata wa kuingiza chama halafu wakasingizia Magufuli kaiba kura.
Kama Mbowe kaongoza chama miaka zaidi ya 20 na bado chama kinaendeshwa kwa kutegemea pesa za mfukoni mwa mtu Basi hafai.
Abdu ameanza kujulikana baada ya mama yake kuwa rais, Kama. Mbowe ana uwezo wa kuwasiliana na rais kwanini amtumie Abdu kushugulikia maswala ya mafao ya Lissu inaonyesha hata mngeingia madarakani James ndio angekuwa anavyofanya haya ya Abdu
 
Sawa mimi akili inakataa, kama haifai kugombea uenyekiti wa chama cha siasa kwanini hicho chama kilimteua kugombea nafasi nyeti ya Urais?

Nyie wanasiasa acheni kucheza na akili za watu. Fungeni midomo yenu mkiwa mnakula siyo kubwabwaja hovyo mnajishushia heshima bure.

Nyie ndo mlikuwa mnawatukana waliokuwa wanamtaka Hayati kuwa Rais wa kudumu lakini leo mnatetea mwenyekiti wenu kuwa wa milele.

Kama hivyo ndo akili inakubali basi bora niendelee kuwa na hii ya kwangu ambayo inakataa usanii wenu
Ninavyoelewa uhitaji mkubwa wa Rais mpya ni kuunda mpya mfumo wa utawala na dola katika nchi yetu. Kazi hiyo Lissu angeiweza sana. Lakini hilo hitaji haliko Chadema. Chadema kinahitaji kiongozi mpambanaji lakini mwenye uwezo pia wa kuhakikisha survival ya chama chake. Hiyo kazi Lissu haiwezi.

Amandla...
 
Wewe ni mtumishi wa idara ya usalama wa Taifa toka ulivyotekwa 2015

Ambayo ni idara ya ulinzi wa CCM

Mnampiga Vita Lissu kwa sababu ya kulinda vibarua vyenu ukiwa na Boniface Jacob, Malissa and .com

Mwaka huu hatutakubali Bora tugawane mbao chama kife chama kuwa chini ya ccm hapana !!

Hayo mawazo ya kutaka kutuletea January makamba au Gwajima kugomea urais hatutakubali..

Watu waliokipambania chama miaka nenda miaka Rudi ndio mnawatukana tu mnavyojisikia

Mwaka huu ndio tunataka tujue kweli chadema ni chama Cha umma au ni chama Cha familia ya Mbowe?

Pigeni promotion tu lakini mwaka huu ni Lissu!! Mkateni tuanzishe chama kipya mnapambana na Mungu, Umma na wakati hamtakaa mfanikiwe wajasiliamali wa kisiasa siasa sio biashara!!
Wewe sio mpiga kura CDM ,
Wacha kila mtu auze sera zake...

Kama unampenda TL sawa na wapo wanaompenda FAM...
Hoja zake dhidi ya TL ndio hizo zako ni zipi?
 
Sisi ndiyo Watanzania eti. Tunajuana, wote ni wale wale. Tofauti hawa wako Mboga mboga, hawa zambazarau na wale wako kwenye Soccos.
Mchukue mtu wa mboga mboga mpeleke Saccos atakushangaza, hivyo hivyo Mtu wa Sacoss mpeleke mboga mboga akushangaze. Tatizo siyo mifumo, tatizo ni sisi watanzania wenyewe.
 
Kwa akili yako inavyoelewa mtu wa aina hiyo ndiyo mliwapelekea watanzania akawe rais?

Kwa akili yake inavyoelewa ni kwanini ilitumika nguvu nyingi kuuharibu uchaguzi ule wakati ninyi wenye akili zenye kuelewa mlijua mnashindana na mtu ambaye hatoshinda? Mnajifanya hamjui kwamba kushindwa kwake kulitokana na kuharibiwa uchaguzi?

Kwa akili yako inavyoelewa kama mlijua asingeshinda, hofu yenu ni ipi hivi sasa hata mtumie nguvu nyingi na uongo mwingi kwa mtu mnayejua hana uwezo Kushinda?
Soma uelewe..si mara zote kushiriki uchaguzi ni lengo ni kushinda hiyo nafasi, lengo linaweza kuwa kukijenga chama zaidi kuliko kushinda nafasi mnayogombea!
 
Kwa maana nyingine CHADEMA hahihtaji mfumo mpya wa kiutawala ila nchi ndo inahitaji? Nchi hahitaji kiongozi mwenye kuhakikisha survival ya wananchi?

Vilevile kwa maana nyingine, ukiwa mwanachama wa CHADEMA kwako nchi haina maana bali chama?
Chadema haina dola. Mwenyekiti wa Chadema hateui IGP, wakurugenzi wa Halmashauri, Tume ya Uchaguzi, n.k. Hawa wote tumeona jinsi wanavyoweza kutumika vibaya kama Rais hayuko makini. Na mabadiliko katika taasisi hizo yataletwa na Rais peke yake.
Ukiwa mwanachama wa chama chochote cha msingi zaidi ni chama kuliko nchi kwa sababu katika muundo wetu nafasi yako katika chama ndio inayokuwezesha kuleta impact katika serikali. Kwa kifupi, hauwezi kushika nafasi yeyote ya kiutawala ( Rais, Spika n.k.) bila kuwa mwanachama wa chama.

Amandla...
 
We nawe poyoyo kweli, unataka kufananisha mfumo wa chama kimoja kipindi hiko na sasa,
Hata chama changu pendwa ccm kila miaka kumi tunabadilisha mwenyekiti
Mnabadilisha kwa sababu tu ameingia Rais mpya na si vinginevyo.

Amandla...
 
Well said. Chadema ni Mbowe na mbowe ni chadema......
Mimi nilishasema Tundu lissu ni mzuri ila hayuko financially stable. Hana tofauti na Lipumba, marehemu Mrema, Mbatia, Zitto na kadhalika.
Hata wanamapinduzi wengi ulimwenguni ukiwasoma walikuwa kwanza wanahakikisha Wana nguvu ya kiuchumi kufinance hayo mapinduzi. Sio wote pangu pakavu halafu mnaongozana. Mtafika wapi.
Aanzishe chama chake halafu aone kama ni rahisi. Useless
 
Japokuwa nilipata mashaka baada ya jamaa wa ZIKOMO kushinda na kulala sebuleni kwako pale Mbutu kabla hajakukabidhi ushindi na Tuzo, ila kwa uliyoandika hapa, naithibitisha Tuzo uliyopewa.

Mbowe ni profesa wa siasa, atamchezesha na kekundu na keusi halafu anamuuliza umeiona?

Apigwe nduli Lissu (wote tuitikie).... apigweeee!!!!
🤣🤣🤣🤣 Lisu amekua nduli tena
 
Back
Top Bottom