Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

Nimeona aibu kwa andiko la hovyo
 
Mbowe amekuwa BARIIDI sana mbele ya huyo Mama.

Twendeni na Lissu wajumbe atatuvusha.
Bahati nzuri tulimshauri humu alivyoingia kwenye maridhiano ya kitapeli na majizi ya CCM hakusikia hadi mwaka huu alipokamatwa ndio kukiri bora angewasikiliza kina Lissu waliomtahadharisha asiingie kwenye utapeli na kibibi cha Unguja.
 
Wewe ni chawa, m
aana Kwa lissu umec
In Kibaki's voice," Mavi ya kuku wewe"
 
..ni mpumbavu, limbukeni na mufilisi wa fikra anayeuliza chadema ina wabunge na madiwani wangapi kwa sasa..hata anayoongea ni sawa na sifuri, haelewi anachoongea!
 
Umeshakula mlungula🤣
 
Umri huo bado unakuwa chawa
 
Kwa akili yako inavyoelewa mtu wa aina hiyo ndiyo mliwapelekea watanzania akawe rais?

Kwa akili yake inavyoelewa ni kwanini ilitumika nguvu nyingi kuuharibu uchaguzi ule wakati ninyi wenye akili zenye kuelewa mlijua mnashindana na mtu ambaye hatoshinda? Mnajifanya hamjui kwamba kushindwa kwake kulitokana na kuharibiwa uchaguzi?

Kwa akili yako inavyoelewa kama mlijua asingeshinda, hofu yenu ni ipi hivi sasa hata mtumie nguvu nyingi na uongo mwingi kwa mtu mnayejua hana uwezo Kushinda?
 
Taratiibu tutamjua master planer wa shambulizi za kumuua Lissu!

Pumzika kwa Amani JPM ulisingiziwa mengi sana!
 
Kumbe siku zote Mbowe na genge lake wanatudanganya, wapo kutafuna pesa..
Sasa wanatishiwa kufurushwa wamepanic
 
Acheni ukabila nyie washaka
Una utindio wa ubongo wewe

Saikolojia yako imeathirika inaonekana

Mimi naunga mkono andiko nililosoma nikalielewa mwenyewe,unaniita mkabila.

Nchi huru hii,Kwani umelazimishwa kuelewa kama mimi,kama hujamuelewa,sema siungi mkono Hoja,sio kelele oooh ukabila

Mleta uzi hajakushikia bunduki,ukubali andiko lake

Stupid
 
Kuna mijitu mipumbavu sana CHADEMA. Kwa akili zao za kipambe hayajui kwamba yanakitusi na kukivuruga Chama.
Kumbe CHADEMA hawana lengo ya kujenga Chama bali wanagawana nafasi ili kupoozana tu.
Hawa wapambe wanajaribu kutaka kufuta kazi zote nzuri za Lissu pale Bungeni, hawagusi kabisa ubunge wake. Lissu ndiye aliyesimama na kumkabili Magufuli hadi Magu akaona huyu ni wa kumuua.
Mpaka nchi inajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu ilikuwa imepoteana kabisa.
Ni Lissu aliyekuja kuirudisha kwenye ramani.
 
..ni mpumbavu, limbukeni na mufilisi wa fikra anayeuliza chadema ina wabunge na madiwani wangapi kwa sasa..hata anayoongea ni sawa na sifuri, haelewi anachoongea!
Kwahiyo mafanikio ya Chama Cha kisiasa yanapimwa vipi wewe mwenye akili nyingi??
Kujenga OFISI??
Yaani mtu anakaa miaka 20 mafanikio yake ni kujenga OFISI??
Au kuvumilia ujinga wakati chama kinaonewa?
Kwani Mbowe angehama kwenda CCM chadema ingekufa?
So bila Mbowe hakuna chadema?
Hicho ni chama au mali ya mtu binafs?
 
Waliosema Magufuli alitaka kuiua Chadema, oneni wauaji pro wenyewe WA Chadema, Yericko Nyerere ni mdogo tu, katumwa kupima upepo!
 
Tuzo za mchongo zile huyu mchawi msimpe kichwa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…