😂😂😂😂😂Nimecheka sanaaaaa eti labda vipele vya kwenye mavuzi.naanzaje kujiua kisa bnadam tulojuana utu uzimani......ata si tunagharamia na tunaachwa vilevile na wanaume.ila tunaamini haikua bahat yangu😝.maisha yanaendeleaSababu wanawake wengi mapenzi hayawakost chochote labda vipele tu vya kwenye mavuz sababu ya kunyoa Sana Ila mwanaume unaweza kuta alikua anamgaramia mwanamke kwa kila kitu kafanya kila jitihada ndiomana mwanamke akimuacha anachanganyikiwa na kinacho mpelekea kujiua Sio mapenzi moja kwa moja mda mwingine hua ni msongo wa mawazo anajiukiza kafel wap au anamapungufu au hajaweza kumridhisha mwanamke wake mwanaume anajiulizaga vingi Sana mpaka kupelekea kujiua
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi takwimu umezipatia wapi?Katika mahusiano 90% ya wanawake wanakuwa na plan B ya nje hata kama hachepuki anajua kabisa kituo kinachofata ikitokea kuachana.
"Kujigaragaza topeni" [emoji118] kuna wadau wamekuelewa vibaya hapo hebu fafanua bibie, ni "TOPENI" kama topeni au ni "Topeni" kama kwenye matope ?Kwa sababu ninyi ni mabingwa wa kuficha hisia zenu, hata mkiachwa mnajitia wagumu kama hamjali vile wakati mmeumia mpaka mwisho. Mlimcheka sana yule baharia wa Hamida ila ile ni tiba kubwa sana ( sijasema wote mlie na kujigaragaza topeni).
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu wanawake wengi mapenzi hayawakost chochote labda vipele tu vya kwenye mavuz sababu ya kunyoa Sana Ila mwanaume unaweza kuta alikua anamgaramia mwanamke kwa kila kitu kafanya kila jitihada ndiomana mwanamke akimuacha anachanganyikiwa na kinacho mpelekea kujiua Sio mapenzi moja kwa moja mda mwingine hua ni msongo wa mawazo anajiukiza kafel wap au anamapungufu au hajaweza kumridhisha mwanamke wake mwanaume anajiulizaga vingi Sana mpaka kupelekea kujiua
Sent using Jamii Forums mobile app
"Kujigaragaza topeni" [emoji118] kuna wadau wamekuelewa vibaya hapo hebu fafanua bibie, ni "TOPENI" kama topeni au ni "Topeni" kama kwenye matope ?
《Caprichar o teu sorriso》
Duh! Aiseee sjui tunakwama wapi wadau , yaani demu unahangaikia hivyo? Halafu bado ukiachwa unajiua? Naona kama haupo siriaz.Mkuu nakuunga mkono upo sahihi kabisa. Na kwa kuongezea hapo, mwanamke yoyote at any time ana wanaume zaidi ya 10 wanaomsumbua kwenye simu, njiani, ofisini, nk wakimtaka kimapenzi. Kwahiyo wewe ukimuacha sawa anaweza kuumia roho lakini kitendo cha kujua kwamba anazo option nyingine nyingi tu tena za maana kuliko wewe, hua kinafuta kabisa wazo la kujidhuru. (Majibu ya wadada kwenye huu uzi ni uthibitisho)
Sasa shughuli ipo kwa mwenzangu na mie umepambana na kademu kako kamoja tu kama roho, umekafukuzia miaka saba mpaka kamekuja kukukubali kwa kukuonea huruma. Ili kasikuache maana unako hako hako kama roho, inabidi ujitutumue kukagharamia, kukasomesha, kukafungulia biashara na kukafurahisha kwa kila njia. BIG MISTAKE!! Mzee baba kakija kukupiga chini lazima uione dunia chungu na ukimbilie kujitoa uhai.
Ni ngumu sana kwa mwanaume mwenye wanawake kuanzia watatu na kuendelea kujiua eti kisa mmoja wao amemuacha.
Duh! Aiseee sjui tunakwama wapi wadau , yaani demu unahangaikia hivyo? Halafu bado ukiachwa unajiua? Naona kama haupo siriaz.
《Caprichar o teu sorriso》
Hahaha naona mmeanza kuja wale mlioelewa vice vesa.[emoji3][emoji3]
Kweli mkuu ila inavyoonekana wengi ni wale ambao unakuta mapenzi waliyachukulia ni ya kudumu na wakajitoa sanaa kumbe huyo mwanamke hajampa kipaumbele kiviiile , na hapo jamaa hana option B so anaona anaonewa ma dunia nzima .Mkuu tembea uyaone.. watu wana invest time and resources balaa. Wakiachwa ni kujinyonga au uchizi chagua mojawapo
Wanawake pia wanatongoza mkuu tena vibaya mno, na wengine wanapenda vibaya sana sema wanashindwa ku express hisia zao kwetu .Kuna muhitaji na muhitajika.
Kinachotuponza sisi ndio wahitaji.
Mwenzio barabarani, kazini ni anatongozwa karibu kila siku.