Kwanini ni nadra sana kusikia Mwanamke kajiua kwa ajili ya mapenzi kuliko Mwanaume?

Kwanini ni nadra sana kusikia Mwanamke kajiua kwa ajili ya mapenzi kuliko Mwanaume?

😘😘😘😘😘😘 nmekupa mabusu kabisa maana nmeona busu halitatosha😂
Ahsante walau msuli sasa umeshuka! Nisinge tembea aisee..
Lini utakuja kumpa the chai maana unaukwasi si wa makaratisi! Nawe usiwe mbinafsi ukaja mgasi..😉😜
 
Sababu wanawake wengi mapenzi hayawakost chochote labda vipele tu vya kwenye mavuz sababu ya kunyoa Sana Ila mwanaume unaweza kuta alikua anamgaramia mwanamke kwa kila kitu kafanya kila jitihada ndiomana mwanamke akimuacha anachanganyikiwa na kinacho mpelekea kujiua Sio mapenzi moja kwa moja mda mwingine hua ni msongo wa mawazo anajiukiza kafel wap au anamapungufu au hajaweza kumridhisha mwanamke wake mwanaume anajiulizaga vingi Sana mpaka kupelekea kujiua

Sent using Jamii Forums mobile app
Thread closed [emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante walau msuli sasa umeshuka! Nisinge tembea aisee..
Lini utakuja kumpa the chai maana unaukwasi si wa makaratisi! Nawe usiwe mbinafsi ukaja mgasi..😉😜
Hayo tutaongea chemba babe, hapa watu wengi
 
Jibu very smart ingawa lina comedy kidogo ndani yake.
Sababu wanawake wengi mapenzi hayawakost chochote labda vipele tu vya kwenye mavuz sababu ya kunyoa Sana Ila mwanaume unaweza kuta alikua anamgaramia mwanamke kwa kila kitu kafanya kila jitihada ndiomana mwanamke akimuacha anachanganyikiwa na kinacho mpelekea kujiua Sio mapenzi moja kwa moja mda mwingine hua ni msongo wa mawazo anajiukiza kafel wap au anamapungufu au hajaweza kumridhisha mwanamke wake mwanaume anajiulizaga vingi Sana mpaka kupelekea kujiua

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika mahusiano 90% ya wanawake wanakuwa na plan B ya nje hata kama hachepuki anajua kabisa kituo kinachofata ikitokea kuachana.
Na pia huwa tunachepuka kwa sababu na sio kwa tamaa ya macho maana mwanaume anachepuka lakini huwa hajui sababu ya kuchepuka na ukimfumania ukimwambia akakae na huyo uliyemfumania nae huwa hawezi kwendaaaa
 
Bullshit aside.

Wanaume tumelelewa tukiaminishwa sisi tunatakiwa kujikaza hata kama panauma na roho inauma. Unlike women, wao wanaweza kuexpress feelings zao za machungu.

Na katika saikolojia tunasema kusikilizwa ni dawa. Sasa wakati mwanamke likimtokea jambo na anapata wa kuongea nao mwanaume anakua bize kujifungia, kujitenga akideal na gumu lake.

Mfano, nikiwa gym moja hivi kuna jamaa aliporwa mkewe. Huyu jamaa alikua na body points zote, huge and cut, halafu mpole mtaratibu balaa. Hata usipomuona anasimamisha gari anakusalimia. Aliporwa mke na dereva wa lori mwembamba kama Dula Makabila.

Sasa kile kipande kikija kukulia kisa mapenzi utakichukuliaje? Anyway akapretend yuko fine ila akaanza kupungua kwa kasi, ulevi nao ukatamalaki. Anakuja gym kalewa akiambiwa anazua varangati la hatari.

Siku hizi sijui yuko wapi. Huku mbinguni simuoni pia kwahiyo mtakua naye huko huko.
Kumbe mwenzetu uko mbinguni🙄🙄
 
Sababu ni kuwa mwanaume anapambana sana ku maintain jimbo hasa wale wanaojimilikisha mademu level za European brands (slayqueen).

Mie nimejichagulia mwanamke level ya Toyota (Wife tirio). Pancha sio nyingi wala siwazi hata akisema tuachane nasonga mbele na Yesu cha muhimu uhai tu.

Ujumbe:
Masela Tusijimwambafai, kamua kwa uwezo!
 
Mapolisi na Askari magereza ndio vinara wa kujidedisha sababu ya mbunye

Mbunye ndiyo nini Ndugu? Hili neno na hata lile la sijui Popoma huwa naliona na nakutana nayo sana hapa JamiiForums.
 
Back
Top Bottom