Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Mbunye ni Tukuyu for saleMbunye ndiyo nini Ndugu? Hili neno na hata lile la sijui Popoma huwa naliona na nakutana nayo sana hapa JamiiForums.
Mbunye ni Tukuyu for saleMbunye ndiyo nini Ndugu? Hili neno na hata lile la sijui Popoma huwa naliona na nakutana nayo sana hapa JamiiForums.
😊😊 👏👏Jf ..mtaani..kwenye mzururo..kote tunapendwa..eti uniache niwaze kujiua..asubutuuu😎
😅😅kwaiyo wanaona Bora wafe tu duhWanaume wana hasira sana kuliko wanawake na pia hawapendi kuonekana wameshindwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwakweli bado sijaona cha kunifanya nifikirie kujiua kwenye mapenzi!!
Mambo yakienda mrama si unamove on tu, yaan nikatishe uhai wangu niache starehe na raha zote za dunia hii eti kisa just a random guy kaniacha sjui kanisaliti[emoji23][emoji23] ni uchinga wa karne
Kenge mmoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Unaaanzaje na wanaume wote hawa mjini mmmm ujiue 7bu ya kenge m1 ambae hata shughul yenyewe uckute ilkua ya kuboost na alkasusu ....unatafuta mwngne Life goes on
Sent using Jamii Forums mobile app
Songa mbele Kama injili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Yani niuache wali maharage duniani kisa m b o o [emoji23][emoji23][emoji23] hataa malaika watanishangaa kwa kweli. Ukiniacha naachika, napendeza nanukiaaa nasonga mbele kama injili[emoji1]
Unasonga mbele na Yesu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Sababu ni kuwa mwanaume anapambana sana ku maintain jimbo hasa wale wanaojimilikisha mademu level za European brands (slayqueen).
Mie nimejichagulia mwanamke level ya Toyota (Wife tirio). Pancha sio nyingi wala siwazi hata akisema tuachane nasonga mbele na Yesu cha muhimu uhai tu.
Ujumbe:
Masela Tusijimwambafai, kamua kwa uwezo!
Hakuna namnaaa ... kama Mungu kakupangia huyo atakuwa wako, atakua tu.. ila kama sio atakuonesha mapema... kuachana kupo na ni kawaida kwenye mahusiano... lakini haifanyi mtu ujitoe uhai kisa ulimpenda...Songa mbele Kama injili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna namnaaa ... kama Mungu kakupangia huyo atakuwa wako, atakua tu.. ila kama sio atakuonesha mapema... kuachana kupo na ni kawaida kwenye mahusiano... lakini haifanyi mtu ujitoe uhai kisa ulimpenda...
Unasongaaa mbeleee tuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unaweza kujiua?Kujiua si jambo zuri ila tambua kuwa anayependa ni mwanaume, mwenye mahaba ni mwanaume wanawake hawana!
Nilichokiona binadamu "ME"+"KE" si kiumbe chenye kuhodhiwa kwa matumaini ya 100 kwa 100! Ni kiumbe mwenye silaha ya makali yenye pande mbili.
Vizuri[emoji7]Nilichokiona binadamu "ME"+"KE" si kiumbe chenye kuhodhiwa kwa matumaini ya 100 kwa 100! Ni kiumbe mwenye silaha ya makali yenye pande mbili.
Nilichojifunza ni kuishi kati kwa kati: Nikimpenda mwanamke ama kumkubali mtu simpendi sana kwani inawezekana siku akabadilika akawa ni adui yangu. Ikitokea kama nimechukizwa naye bado nafasi ya upendo kwangu kwake bado ipo, huenda siku akaja kuwa ni rafiki yangu ama ni mwandani wangu kwa maana suala la mapenzi.
Nilishachagua kushaurika, kuukubali ukweli hata kama ni mchungu, hisiya ziwe nyuma akili iwe mbele na nilisharidhia kwenye baadhi ya mazingira kuonekana mjinga.
Siwezi kujiua! Akinitenda share yangu kubwa ya mapenzi nitaihamishia kwa Mungu.
Kupenda kwenyewe hawajuiMaandiko yanaonyesha mwanamke ajaumbwa kupenda.
Yeye kazi yake ni kuheshimu na kutii tu.
Wanaume ndio tumeumbwa kupenda.
Makubwa eti ujiue kwa shughuli ya boosting [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inahusu?Unaaanzaje na wanaume wote hawa mjini mmmm ujiue 7bu ya kenge m1 ambae hata shughul yenyewe uckute ilkua ya kuboost na alkasusu ....unatafuta mwngne Life goes on
Sent using Jamii Forums mobile app
👏👏👏📌Yani niuache wali maharage duniani kisa m b o o 😂😂😂 hataa malaika watanishangaa kwa kweli. Ukiniacha naachika, napendeza nanukiaaa nasonga mbele kama injili😄
Ndiyo chakushangaza hapo, anagoma kabisa anaweza hata kujizuru sasa unamwambia kama mke hafai basi baki huko huko haaaa haaaa ngoma nzito!Na pia huwa tunachepuka kwa sababu na sio kwa tamaa ya macho maana mwanaume anachepuka lakini huwa hajui sababu ya kuchepuka na ukimfumania ukimwambia akakae na huyo uliyemfumania nae huwa hawezi kwendaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mieMbunye ni Tukuyu for sale